Rais Magufuli: Ndege ndio heshima ya nchi

Leo rais amefurahi saana mpaka mm mkulima nikajisikia aibu,ndege pekee Q8 anashoboka vile! Siku ikija boing atafanya ziara ya dharula!
Ushapanda ndege mara ngapi?
 
Rais Magufuli: Tanzania tulikuwa hatuna ndege. Ndege ndio heshima ya nchi![emoji38][emoji38][emoji38]

> Tumeingia madarakani nikasema lazima tuwe na ndege. Wakasema pesa atapata wapi? Nikasema pesa ziko kwa Mafisadi na watazitema hata ikibidi kwa kutapika

ngoja kwanze nilale,punde nitarejea[emoji41][emoji41][emoji41]
Jamaa mshamba kweli. Anadhani usukumani kwamba kila nyumba iwe na baiskeli? Ushamba gani huu??
 
Rais Magufuli: Tanzania tulikuwa hatuna ndege. Ndege ndio heshima ya nchi![emoji38][emoji38][emoji38]

> Tumeingia madarakani nikasema lazima tuwe na ndege. Wakasema pesa atapata wapi? Nikasema pesa ziko kwa Mafisadi na watazitema hata ikibidi kwa kutapika

ngoja kwanze nilale,punde nitarejea[emoji41][emoji41][emoji41]
Huyu jamaa amezidi kwa ushamba. Kavaa viatu oversize
 
FB_IMG_1522689643954.jpeg
 
watu bado wapo nyuma sana hawajui faida ya "chopa kuwa nchini" basi nahc hata hawajui umuhimu wa baiskeli zao zinazowawezesha kla cku kwenda vjiji jirani...bado hawajui nn maana usafili wa haraka.
 
Kweli ni heshima ya nchi kama tutafika kama Emirates au British airways
Tuondoe siasa kwenye masuala ya biashara heshima itakuja yenyewe.
 
Tulikuwa tunataka Ndege lakin sio hizi Mbovu zinazotoka kanada kwa siku 5
Kasome kabla ya kupayuka...hizo ndege siyo jet plane hivyo spidi si kali na hazina uwezo wa masafa marefu non stop, Tanki lake la mafuta siyo la masafa marefu...haiwezi ruka 8 hrs non stop. Pia ilikuwa na marubani 2 tuu..na hata ilikuwa haina cabin crew wowote...so ulitegemea ije non stop!? No lazma iwe na vituo for refuel na marubani kupumzika.
 
Rais Magufuli: Tanzania tulikuwa hatuna ndege. Ndege ndio heshima ya nchi!!

> Tumeingia madarakani nikasema lazima tuwe na ndege. Wakasema pesa atapata wapi? Nikasema pesa ziko kwa Mafisadi na watazitema hata ikibidi kwa kutapika

ngoja kwanze nilale,punde nitarejea[emoji41][emoji41][emoji41]

Hajakosea Mh. rais.....ni kweli nchi hii ilikuwa inaliwa sana na watu wachache ambao walikuwa wanadekezwa na tawala zilizopita.
 
Kasome kabla ya kupayuka...hizo ndege siyo jet plane hivyo spidi si kali na hazina uwezo wa masafa marefu non stop, Tanki lake la mafuta siyo la masafa marefu...haiwezi ruka 8 hrs non stop. Pia ilikuwa na marubani 2 tuu..na hata ilikuwa haina cabin crew wowote...so ulitegemea ije non stop!? No lazma iwe na vituo for refuel na marubani kupumzika.
Iyo panga boi mbona inafungwa mlango kwa nje ...kama sero za jela
 
Back
Top Bottom