ivanov sergei
Member
- Mar 4, 2018
- 72
- 27
Chadema si ndo walimponda Jk kuwa nchi haikuwa hata na chopa1, leo ndege zimeletwa,wanaponda.Hapa nilichoka kabisa ...Ndege ndio heshima ya nchi ?
Aliye elewa anisaidie mimi bado nalitafakari hili
Natamani ningezaliwa usukumani labda ndio ningemuelewa
Kesho utasikia Mkolomije mmoja anasema manguo yao ya Kung'aa na marangi rangi ndio heshima ya Wasukuma
Shame on us Africans