sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,237
- 8,999
Mkurugenzi wa ATCL amesema hiyo ni huduma kama ilivo hospital na shule, Hospital au shule hajalishi unapata faida au hasara cha msingi wanachi wako wapate huduma bora. hupo hapo!!!?Heshima ya nchi ni ndege wakati zinaingiza hasara ya bilioni 223.1 ndani ya miaka miwili tu!?
Woooooyooooo!!! 😱😱😱