yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,225
- 4,906
Kote mbali hivyo2020 tuchague mtu mwenye afya ya ubongo
Kote mbali hivyo2020 tuchague mtu mwenye afya ya ubongo
Naomba niongezee kidogo,pamoja na maprofeseri na madocter wetu,ambao ndio tulitegemea wasomi wa kulikomboa hili taifaTanzania ni kielelezo cha nchi zenye umaskini wa fikra uliokithiri. Ukitaka kujua hilo mwangalie rais wao.
Hatuna ma prof wala madocNaomba niongezee kidogo,pamoja na maprofeseri na madocter wetu,ambao ndio tulitegemea wasomi wa kulikomboa hili taifa
Eeh tudokeze basi nasi tuwajue.Baada ya magufuli kuingia madarakani ndio Nimeelewa nyumbu ni kinanani
Siasa zetu za kiafrika ni above everything mkuu hao maprofesa na madocta ni njaa tu hamna kitu.Naomba niongezee kidogo,pamoja na maprofeseri na madocter wetu,ambao ndio tulitegemea wasomi wa kulikomboa hili taifa
Wangeweka mazingira ya watu na makampuni binafsi kuendesha mashirika ya ndege, sio serikali.
Wapandaji wapo au sisi tunataka heshima tu...Kumbe ndio maana anajenga international airport chattle ili kuleta heshima ya "nchi ya chattle"
Umepanda ndege Mara ngap mkubwa au unashabikia tu...Ni ajabu karne ya leo kuna watu hawajui faida za usafiri mzuri na wa kuaminika katika nchi! Nashangaa watu wenye weledi na kisomo kuhoji umuhimu wa ndege na reli!
Mkubwa... kinachofanya Afrika irudi nyuma ni ubinafsi wetu. Angalia wewe ulivyoonyesha ubinafsi ie Unafikiri kitu mpaka kikufaidishe wewe personally ndiyo kinakuwa na faida! Siyo lazima kupanda ndege ili uishabikie. Nisipopanda mimi atapanda mtu mwenye shughuli muhimu ambayo pengine inaweza kuwa na faida kwangu kuliko hata huko kupanda. Fikiria uko Mtwara kijijini na umetokea mlipuko wa ugonjwa ambao unahitaji wataalam haraka au samples za laboratory kusafirishwa kwa haraka kupimwa Muhimbili! Ndege haitakuwa na faida?Umepanda ndege Mara ngap mkubwa au unashabikia tu...
Kwa reli nakubali. Ila ndege hapana. Unajua watanzania wangapi wanapanda ndege? Hata km akileta 10,000 ni kazi bure.Ni ajabu karne ya leo kuna watu hawajui faida za usafiri mzuri na wa kuaminika katika nchi! Nashangaa watu wenye weledi na kisomo kuhoji umuhimu wa ndege na reli!
Mkubwa... kinachofanya Afrika irudi nyuma ni ubinafsi wetu. Angalia wewe ulivyoonyesha ubinafsi ie Unafikiri kitu mpaka kikufaidishe wewe personally ndiyo kinakuwa na faida! Siyo lazima kupanda ndege ili uishabikie. Nisipopanda mimi atapanda mtu mwenye shughuli muhimu ambayo pengine inaweza kuwa na faida kwangu kuliko hata huko kupanda. Fikiria uko Mtwara kijijini na umetokea mlipuko wa ugonjwa ambao unahitaji wataalam haraka au samples za laboratory kusafirishwa kwa haraka kupimwa Muhimbili! Ndege haitakuwa na faida?
Haraka ya wapi mbona ndege yenyewe imetumia siku tano zaidiUnataka wote tuwe tunatumia basi hata kama tunaharaka.