Rais Magufuli: Ndege ndio heshima ya nchi

Rais Magufuli: Ndege ndio heshima ya nchi

Hapa nilichoka kabisa ...Ndege ndio heshima ya nchi ?

Aliye elewa anisaidie mimi bado nalitafakari hili

Natamani ningezaliwa usukumani labda ndio ningemuelewa

Kesho utasikia Mkolomije mmoja anasema manguo yao ya Kung'aa na marangi rangi ndio heshima ya Wasukuma
 
Heshima ya nchi ni ndege wakati zinaingiza hasara ya bilioni 223.1 ndani ya miaka miwili tu!?
Woooooyooooo!!! 😱😱😱

Rais Magufuli: Tanzania tulikuwa hatuna ndege. Ndege ndio heshima ya nchi!

> Tumeingia madarakani nikasema lazima tuwe na ndege. Wakasema pesa atapata wapi? Nikasema pesa ziko kwa Mafisadi na watazitema hata ikibidi kwa kutapika

ngoja nilale kwanze..[emoji41][emoji38][emoji38]
 
Ni ajabu karne ya leo kuna watu hawajui faida za usafiri mzuri na wa kuaminika katika nchi! Nashangaa watu wenye weledi na kisomo kuhoji umuhimu wa ndege na reli!
 
Rais Magufuli: Tanzania tulikuwa hatuna ndege. Ndege ndio heshima ya nchi![emoji38][emoji38][emoji38]

> Tumeingia madarakani nikasema lazima tuwe na ndege. Wakasema pesa atapata wapi? Nikasema pesa ziko kwa Mafisadi na watazitema hata ikibidi kwa kutapika

ngoja kwanze nilale,punde nitarejea[emoji41][emoji41][emoji41]
Huyu jamaa ni jiwe, jiwe halina ufahamu Wala akili
 
vinchi kama vya kwetu reli sawa, siyo ndege. Zilzopo zinatema hasara tupu. Aviation industry ni ngumu sana kwa vinchi kama vyetu
Mkuu hapana. Hata hizi zetu zinahitajika. Tena kama unaisimamia vizuri ina faida nyingi sana. Tusiangalie tu kwenye shirika kuleta faida. Tuangalie kwenye usafirishaji wa mizigo, dawa na vitu muhimu ndani ya nchi na kwa haraka.
 
Ni ajabu karne ya leo kuna watu hawajui faida za usafiri mzuri na wa kuaminika katika nchi! Nashangaa watu wenye weledi na kisomo kuhoji umuhimu wa ndege na reli!
Yaani baadhi ya Watz hadi wanaboa, kwa umbea! utadhani asili yao ni mbeyer.[emoji23] [emoji124]
 
Kuendesha mashirikaya ndege kisiasa ni chanzokikubwa sana cha mashirika hayo kushindwa kujiendesha kwa faida na kufa.

Heshimaya nchi haijengwi kwa kuwa na ndege zenye thamani, inajengwa kwa kuthamini utu.
Da! Unakaribishwa sana kwani ulipotea. Busara zako zilikosekana.
 
Back
Top Bottom