Rais Magufuli na Lissu wakutanishwe

Rais Magufuli na Lissu wakutanishwe

big NO. haiwezekani mtu anaezunguka dunia yote kujaribu kuchafua image ya nchi yetu eti akutanishwe na rais mzalendo km jpm. yeye lissu ndo anapaswa kuja kuomba msamaha kwa jpm kwa anayoyafanya huko ughaibini
Unayaona ya ughaibuni tu na kujifanya kipofu kwa yanayotokea nchini.???

Hekima inasema migogoro na umwamba havina faida.

Tulidhiane
 
Mwaka wa ngapi? Tangu 1995


Miaka 30 utaona just the same CCM and same people
Ninachofurahi ni kuwa mbinu yenu ya kuwaua na kuwatesa wapinzani wenu sasa imepata dawa rasmi. Mkianza kuchunguzwa rasmi na icc na kutolewa arrest warrant ndo mtajua kuwa mnatakiwa kuheshimu maamuzi ya wananchi au la!
 
Naunga mkono mambo mengi sana uliyoandika hapa. JPM hapaswi KABISA kumpatia nafasi huyo dalali Mzungu. Hana nia njema na ustawi wa nchi yetu nzuri ya Tanzania. Umetaja makinikia, nimekumbuka mambo mengi sana.
No, hii Ni roho ya visasi tu
Watanzania tusiipe nafasi
 
HOJA MURUA katika ubora wake,tatizo inachangiwa kikada mno,labda kwa kuwa makada wana maslahi binafsi na vyama vyama vyao,yaani wana ajira huko zinazowapa mkate.Pengine ni wanufaika huko ndiyo maana wanatoa hoja zenye ukakasi,kejeli,kiburi,majivuno,dharau zisizoakisi amani na mshikamano wa Taifa.Hizi si siasa ni uhuni,Lissu ni Mtanzania anayeipenda nchi yake kizalendo si adui wa Taifa,propaganda chafu dhidi yake ni ulimbukeni tu usio na tija kwa Taifa.Hoja hapa ni kuwepo kwa maridhiano no matter msuguano ni mkubwa au mdogo kiasi gani.Kutegemea viongozi wa dini waone hili ndiyo watoe wito wa maridhiano ni nadra sana kutokana na wengi wao kuwa waoga.Hili suala la maridhiano linataka haiba na utashi wa kisiasa,ni jambo muhimu ambalo litatoa muelekeo chanya wa Taifa
Huwezi kumdanganya mtu wewe. Huyo kibaraka ni sly pretender na mzushi mwanzo mwisho. Hawezi hata kulionea huruma taifa lake anachotaka ni watu waandamane, machafuko yatokee, watu wafe ili ajizolee pointi za kisiasa. Huo ni unafiki usio na kiwango. Unasema anaipenda nchi yake??? Usiwe mwepesi kusahau kiasi hicho!
 
Nyufa zipi wewe Lisu ni muhuni Kama wahuni wengine yeye siameamu kushirkiana na shetani mwache aendelee aone Kama atafanikiwa
Usifumbe macho. Thread hii pia ina afirm kuwa mpasuko upo. Mmejaa asira kuliko hata Rais wetu. Kifupi nyie hamtutakii amani watanzania wenzenu
 
Ungetusaidia sana iwapo ungeanza kwa kufafanua neno MPASUKO. Baada ya hapo utueleweshe huo MPASUKO uko wapi? Maana Uchaguzi Umekwisha, maisha yanaendelea kama kawaida na intact tumeshajisahaulia Uchaguzi maana tumeshampata Rais Magufuli chaguo la wengi.

Queen Esther
Malikia Easther usiwe kipofu. Kiburi na majigambo ni Mama wa jeuri na anguko. Kumbuka malikia mwenzako Vashit kiburi kilipompanda ndio anguko lake lilifuata na wewe ukapewa nafasi.

Lakini kumbuka ulikua mnyenyekevu na mwana wa amani
 
Usifumbe macho. Thread hii pia ina afirm kuwa mpasuko upo. Mmejaa asira kuliko hata Rais wetu. Kifupi nyie hamtutakii amani watanzania wenzenu
Lissu ameyataka mwenyewe!! Over confidence ya kijinga, ulimbukeni,tamaa, ubinafsi uliopitiliza ndivyo vimemponza!!!

Ni kweli Rais ni mlezi/kiongozi wa watanzania wote, lakini mtanzania aki mis"behave" anasemwa , akisikia aliyosemwa akajirekebisha ana rudishwa kundini, akishupaza shingo anaachwa!!!

Lissu kashupaza shingo!
 
Kauli kama hizi ndio mafuta ya taa katika utambi unaofuka moshi. Natamani kuona Kauli za kujenga na sio kubeza
Hakuna kauli yoyote zaidi ya kumkataa muhuni na kibaraka. Lissu sio special katika nchi hii asalie hukohuko kwa mabwana zake.
 
Uwezi adhibiwa bila kosa. Kama mambo yako shwari huna haja ya kujaa asira kiasi hiki
Hawa jamaa wanaongelea mpasuko wa ardhi, au sijui nini??? Yaani mtu ashindwe uchaguzi kihalali, maandamano yabume, halafu aombe maridhiano? Kwa lipi? Yeye ndiye anapaswa kuwaomba msamaha Watanzania kwa kuwahadaa, kuwadanganya, kuwazushia viongozi, kuwatukana, kuizodoa nchi, kutamani tushtakiwe na kunyimwa misaada & mikopo, kupinga kila kitu, kuchochea fujo na machafuko na kuwaibia pesa zao raia wema.
 
Mwizi wa kura, mjivuni, mjenga chuki, muuaji, mzandiki,na asiyefuata demokrasia hatufai. Tunataka Uhuru, Haki, na Maendeleo ya Watu. Atuachie Ikulu yetu.
Mwizi wa makinikia na rasilimali za nchi, majivuno ya kujua eti English, mjenga chuki na mpenda maandamano na machafuko, anayetaka watu wafe ili apate visingizio vya kushindwa uchaguzi, mnafiki, mzandiki -- anataka kula Tanzania na kustarehe ughaibuni, asiyekubali kuwa demokrasia ina mipaka yake.

Tunataka uhuru wa kweli dhidi ya mabeberu kutuchagulia kiongozi na uhuru wenye mipaka; haki yenye wajibu na maendeleo ya watu na vitu. Hatutaki maneno matupu, tunataka kazi na ustawi na fanaka na maendeleo.
 
Yaani JPM akae na huyo Amber Ruth wa Ubeligiji ili iweje? Nchi yetu iko salama, haki ya kutosha kwa kila raia mwema, uhuru upo kwa kila mtu aliye mwema hayo mengine ni propaganda tu na kelele za mbwa kama alivyosema askofu Gwajima
Kiburi na upofu

Tunaomba malidhiano
 
Sikubaliani na ushauri wako kwa sababu ya aya hiyo hapo. Umekiri na huo ndio ukweli.

Nimekuwa nikisisitiza kuwa Siasa katika demokrasia ya vyama vingi kwenye Nchi maskini au zinazoendelea ni dhana ya "wagawanye watawalike" (divide and rule). Upinzani si wa kupanua wigo wa Itikadi, Sera na Mikakati ya kimaendeleo ila wa wanasiasa kupata nafasi ya kuingia madarakani. Ushahidi ni kauli na matendo ya wanasiasa wa upinzani, kwa mifano ifuatayo:

1) Wamekuwa wakiitisha mikutano na wanahabari au kuandika kwenye kurasa za mitandao ya kijamii kudai Tume Huru ya Uchaguzi - nia ni kuwa na Tume itayowaweka madarakani na siyo wapiga kura.

2) Wameshindwa Uchaguzi kwenye sanduku la kura wakahamasisha "maandamano yasiyo na kikomo" wakisahau kuwa kuna makundi ya jamii wanayodai yanaonewa (kutekwa, watumishi kunyimwa nyongeza za mishahara, nk) lakini hawakuhamasisha "maandamano yasiyo na kikomo".
3) Walioshindwa kwenye sanduku la kura wanajikusanya DSM kuanzisha "maandamano yasiyo na kikomo" badala ya kwenye majimbo yao wanakodai wameibiwa kura ili wapiga kura wao wawaunge mkono, hakika nia yao ni ovu ya uvunjifu wa amani.

Je, hili kundi la wanasiasa unaotaka Serikali na vyombo vyake wakae meza moja ya majadiliano litawakilisha jamii au maslahi yao binafsi?
True. Hawana sera mbadala. Ila wana nia mbadala -- kuingia Ikulu, kushika dola ili kula na kuwafurahisha wafadhili wao walafi na vipofu.
 
Uko serious kweli wewe, yaani rais mteule akutanishwe na msaliti wa nchi asiye na faida yeyote ndani ya taifa letu? Hivi wewe unaweza kula na mchawi?
 
Mwambie Lissu awe na siasa za heshima, lugha nzuri.akajifunze kwa Slaa

Nje ya hapo mtaomba po sana, mtaongea lugha zote, watu washa wa ignore

Kama Lissu wazazi wake wako ubelgiji sawa

Aache kuongea shits, mpaka anakufa baadae ata loose kabisa popularity kama Mrema

Yeye ndio ajishushe
Kwa bahati mbaya kabisa, hawezi kujifunza kamwe, he thinks he is full of all knowledge to be had; lichama la hawa jamaa huwa halijifunzagi. Poor losers!
 
Kwanza wazungu wamemtolea nje hoja za kuiwekea vikwazo tanzania, raia wa marekani na ulaya kwa sasa tanzania is their second home hawawezi kukubali ku-distabilize nchi hii yene asali na maziwa, nchi ambayo kwa utalii ni bora duniani, rushwa imepungua hadi kuwa nchi ya 26 out of 173 countires in the world. Sera za uwekezaji zinatoa usawa kwa wote, wawekezaji wanalindwa. Tanzania ni sehemu salama zaidi duniani kwa sasa hasa kwa ugonjwa wa corona na pia kiulinzi, hakuna mauaji ya wazungu wala kubaguliwa.

Kifupi Lissu amegundua kuwa kuwa nje ya mfumo wa kufanya maamuzi makubwa kwa nchi kama bunge chadema wanajifuta wenyewe, hawatakuwa tofauti na CHAUMMA kwani platform ya kufanya siasa hawatakuwa nayo maana bungeni hawapo. Yeye atulize mshono jpm ana huruma sana anaweza kuwasikiliza lakini kizabina zabina cha kuchafua nchi wakome kabisa.

JPM atawasikiliza kama watamtambua kuwa rais wa nchi na amiri jeshi mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama na ni mwajiri namba moja serikalini
 
Back
Top Bottom