Rais Magufuli na Lissu wakutanishwe

Rais Magufuli na Lissu wakutanishwe

Usijae kibuli na dharau ndugu. Unafaidika nini na mpasuko huu?
Mpasuko nyumbani kwako ukikosa cheo wewe ndio uite mpasuko kura za Lissu milioni moja akutane na Magufuli aliyepata kura milioni 12 waongee Nini?

Magufuli piga kazi
 
Big NO. haiwezekani mtu anaezunguka dunia yote kujaribu kuchafua image ya nchi yetu eti akutanishwe na Rais mzalendo kama JPM. yeye Lissu ndo anapaswa kuja kuomba msamaha kwa JPM kwa anayoyafanya huko ughaibuni
 
Mods naomba futa delete hii uzi..usituletee habari za Lissu huyu ambaye kamtuma Amsterdam awashtaki Magufuli, na vyombo vyote vya usalama na NEC eti ICC..Lissu hatumuhitaji wacha akae hukohuko aende zake..tena mwambie wananchi Wana hasira asiwachokoze kabisa..akomee huko..Hana uwezo wa kushirikiana na Magufuli..mtoto mdogo yule..aendelee kupambana na afya Yake baasi..kiukweli wananchi hawataki kumsikia kabisa Wala kumwona..asidhani anapendwa anajidanyanya..Lissu huyu aliyetaka kutuingiza shimoni katika suala la makinikia..loh..Tena asitujaribu..huyu anayeponda kazi zote zilizofanywa na Magufuli leave kutumia Kodi zetu wananchi...pumbafff kabisa...haoni jema lolote..yule hafai hata kuwa mwenyekiti wa Kijiji..labda mwenyekiti wa kitongoji.
Lissu huyu mtetezi wa mashoga..loh..unataka watoto wetu wa kiume waambukizwe hizo tabia jomba..be careful..Lissu huyu aliyekuwa akimtukana Magu na serikali..huyuhuyu eti leo sijui Nini maongezi...st...up..i.d...moda futa uzi huu..kwanza Tanzania yetu inaa amani na watu wanachapa kazi Kama kawaida..wameshafunga ukurasa wa siasa..tuonane 2025
Naunga mkono mambo mengi sana uliyoandika hapa. JPM hapaswi KABISA kumpatia nafasi huyo dalali Mzungu. Hana nia njema na ustawi wa nchi yetu nzuri ya Tanzania. Umetaja makinikia, nimekumbuka mambo mengi sana.
 
Tunatamani kuona taifa linalochapa kazi huku likiwa na mshikamano. Juhudi zifanyike kuziba nyufa zote. Sio sifa wewe kufurahi huku mwezako ana nung'unika
Nyufa zipi wewe Lissu ni muhuni Kama wahuni wengine yeye siameamu kushirikiana na shetani mwache aendelee aone Kama atafanikiwa
 
Ungetusaidia sana iwapo ungeanza kwa kufafanua neno MPASUKO. Baada ya hapo utueleweshe huo MPASUKO uko wapi? Maana Uchaguzi Umekwisha, maisha yanaendelea kama kawaida na intact tumeshajisahaulia Uchaguzi maana tumeshampata Rais Magufuli chaguo la wengi.

Queen Esther
 
Hawa jamaa wanaongelea mpasuko wa ardhi, au sijui nini??? Yaani mtu ashindwe Uchaguzi kihalali, maandamano yabume, halafu aombe maridhiano? Kwa lipi? Yeye ndiye anapaswa kuwaomba msamaha Watanzania kwa kuwahadaa, kuwadanganya, kuwazushia viongozi, kuwatukana, kuizodoa nchi, kutamani tushtakiwe na kunyimwa misaada & mikopo, kupinga kila kitu, kuchochea fujo na machafuko na kuwaibia pesa zao raia wema.
Hawana uwezo wa kuleta mpasuko, kungekuwa na tofauti ya kura kama 10 000 elfu kumi hapo unaweza na ni sawa kuongelea kuhusu mpasuko lkn tofauti ya kura > milioni 10 halafu mnaongelea mpasuko ?
 
Mahera anakupoteza, ukweli ni Lssu kura mil 7 Jiwe mil 6, waliojitokeza hawakuzidi mil 15
Shame on you with your erythrocytic mindset! Hizo kura azitoe wapi??? Chama chenyewe ni butu halafu mtawapata wapi wapiga-kura???
 
Yaani JPM akae na huyo Amber Ruth wa Ubeligiji ili iweje? Nchi yetu iko salama, haki ya kutosha kwa kila raia mwema, uhuru upo kwa kila mtu aliye mwema hayo mengine ni propaganda tu na kelele za mbwa kama alivyosema askofu Gwajima
 
Msingi wa hoja hii sio mashindano Bali malidhiano
Hawana uwezo wa kuleta mpasuko, kungekuwa na tofauti ya kura kama 10 000 elfu kumi hapo unaweza na ni sawa kuongelea kuhusu mpasuko lkn tofauti ya kura > milioni 10 halafu mnaongelea mpasuko ?
 
Msimchezee Mungu nyie mafiraunii...maneno adhimu unayajua wewe lakini sio huyo kibaraka wa mabeberu na Amsterdam wake...msifanye wananchi tukaanza kutoa matusi ya nguoni bureeee...he can go to hell Kama mmoja alivyosema
Huna haja ya kutoa matusi . Jenga hoja tu
 
Bora Lissu ameenda kukutana na Mabeberu kama angekubali kukaa na Magombe kutafuta suluhisho wangempotezea muda tu. Mfano hai ni Maalimu Sefu alikutana na magombe kuhusiana muafaka si walimbabaisha tu mwisho muwafaka wakaupiga na chini.
 
Kuendeleza uhasama hakuponyi bali kunazamisha jahazi. Rais wetu tutamtia nguvu na hamasa awe sehemu ya kuiponya jamii yetu
 
Mpasuko upi uliopo mpaka wakutanishwe?
Lissu na wafuasi wake wachache wamechagua The Haugue na vikwazo kwa nchi yetu ndo chaguo lao kwasasa.
JPM aendelee kuwapiga spana mpaka mwisho.
 
HOJA MURUA katika ubora wake,tatizo inachangiwa kikada mno,labda kwa kuwa makada wana maslahi binafsi na vyama vyama vyao,yaani wana ajira huko zinazowapa mkate.Pengine ni wanufaika huko ndiyo maana wanatoa hoja zenye ukakasi,kejeli,kiburi,majivuno,dharau zisizoakisi amani na mshikamano wa Taifa.Hizi si siasa ni uhuni,Lissu ni Mtanzania anayeipenda nchi yake kizalendo si adui wa Taifa,propaganda chafu dhidi yake ni ulimbukeni tu usio na tija kwa Taifa.Hoja hapa ni kuwepo kwa maridhiano no matter msuguano ni mkubwa au mdogo kiasi gani.Kutegemea viongozi wa dini waone hili ndiyo watoe wito wa maridhiano ni nadra sana kutokana na wengi wao kuwa waoga.Hili suala la maridhiano linataka haiba na utashi wa kisiasa,ni jambo muhimu ambalo litatoa muelekeo chanya wa Taifa
Wana heri waipendao njia ya mshikamano na amani
 
Back
Top Bottom