Rais Magufuli na Lissu wakutanishwe

Rais Magufuli na Lissu wakutanishwe

Napinga binadamu kukutana na Shetani
Kweli kabisa Binadamu tumempuuza na kumgomea ushetani wake.
Tanzania kaiona kama moto wa jehanam KAKIMBIA!
Akitaka maridhiano aje home kwanza azunguke nchi nzima kutubu mbele ya watanzania.
Tukimsamehe - ndo tutamruhusu aonane na RAIS wetu.
 
Ndugu, CCM wamefika kiwango cha juu kabisa cha kujiamini na kiburi. Kwa hatua waliyofikia CCM hadi kufikia kuua watu na kuwapora maamuzi yao mchana kweupe alafu wakiambiwa wanaleta majibu ya kiburi, ngebe na jeuri sasa upinzani ni sahihi wachukue tu msaada kutoka nje. Hakuna wa kuwazuia CCM zaidi ya vyombo vya nje.

Tupelekane tu ICC ili watu wajue udhalimu haulipi
 
Kweli kabisa Binadamu tumempuuza na kumgomea ushetani wake.
Tanzania kaiona kama moto wa jehanam KAKIMBIA!
Akitaka maridhiano aje home kwanza azunguke nchi nzima kutubu mbele ya watanzania.
Tukimsamehe - ndo tutamruhusu aonane na RAIS wetu.
Sasa ni wakati wenu pia kuiona Tanzania jehanam. Lazima Safari hii mtajifunza kuwa udhalimu haulipi
 
Mwambie Lissu awe na siasa za heshima, lugha nzuri.akajifunze kwa Slaa

Nje ya hapo mtaomba po sana, mtaongea lugha zote, watu washa wa ignore

Kama Lissu wazazi wake wako ubelgiji sawa

Aache kuongea shits, mpaka anakufa baadae ata loose kabisa popularity kama Mrema

Yeye ndio ajishushe
Sema umewaignore wewe. Watu sasaivi wanafanya Silent movement ambayo ndo mbaya zaidi
 
Tundu Lissu hana athari yoyote nchini aendelee kuishi huko huko Ubeligiji Rais wetu hana muda wa kukaa naye Kuna miradi na mipango mingi ya kufanya ili kuendeleza nchi

Hayo mawazo yako ni mawazo mfu watzw wameamua kuchagua maendeleo na so matusi.

Rais panga Safi yako ya Uongozi tupige kazi Mambo ya Tundu Lissu tupilia mbali kabisa haya nafasi ndani ya miaka hii 5
 
Endeleeni tu kujitia ujinga. Mmepigwa upofu hamjui kinachokuja. Kwa taarifa yako jiandae kuona arrest warrant ya ICC dhidi ya Magufuli na watu wake huku mkiwekewa vikwazo vya kufa mtu.
 
Sishauri hata kidogo kwa Rais mzalendo kama JPM kukutana na Lissu(Jonas Savimbi) msaliti na mwenye chuki ambaye ana nia ovu juu ya taifa letu,kwanza Lissu ana jipya gani hadi akutanishwe na JPM ,kwanini isiwe Mahona,Rungwe au Membe? ,mtu aliyekataliwa na watanzania kwa asilimimia 80+ akutanishwe na Rais kwa jipya lipi?

Mwacheni ale jeuri yake,Lissu ni jamii ya watu wasiofaa kuigwa hata kidogo, na tena hili ni fundisho kwa viongozi wa vyama vya siasa kuwa licha ya ushindani wa kisiasa bado uzalendo unahitajika ,kwa hili la mbowe kumpa mtu ridhaa ya kugombea urais ilikhali mtu mwenyewe hana nidhamu ,uzalendo wala staha eti agombee Urais wa JMT na baadae kukiua chama nifundisho kubwa sana kwake.
 
[QUO="Missile of the Nation, post: 37303678, member: 490108"]
Wakikutana waongee Kiingereza!
[/QUOTE]
Tena Iwe pale mlimani na iwe live TBC wana wa nchi wote tuone
 
Rais akutanishwe na kibaraka wa mabeberu ili iweje? Acheni kumtafutia promo za kitoto hapa. Amekimbia, amejipanga kuichafua nchi yetu kwa kutumiwa na mabeberu wanotaka kuja kuchuma. Hana uzalendo wowote kwa nchi yetu. Yeye aishi huko huko, hatumhitaji.
Tutaijenga upya chadema aliyoibomoa. Let him go to hell
Kwani nini mlishindwa kumzuia asikimbie na mmemshitaki kwa makosa ya uchochezi.
 
Back
Top Bottom