Rais Magufuli na Lissu wakutanishwe

Rais Magufuli na Lissu wakutanishwe

Sikubaliani na ushauri wako kwa sababu ya aya hiyo hapo. Umekiri na huo ndio ukweli.

Nimekuwa nikisisitiza kuwa Siasa katika demokrasia ya vyama vingi kwenye Nchi maskini au zinazoendelea ni dhana ya "wagawanye watawalike" (divide and rule). Upinzani si wa kupanua wigo wa Itikadi, Sera na Mikakati ya kimaendeleo ila wa wanasiasa kupata nafasi ya kuingia madarakani. Ushahidi ni kauli na matendo ya wanasiasa wa upinzani, kwa mifano ifuatayo:

1) Wamekuwa wakiitisha mikutano na wanahabari au kuandika kwenye kurasa za mitandao ya kijamii kudai Tume Huru ya Uchaguzi - nia ni kuwa na Tume itayowaweka madarakani na siyo wapiga kura.

2) Wameshindwa Uchaguzi kwenye sanduku la kura wakahamasisha "maandamano yasiyo na kikomo" wakisahau kuwa kuna makundi ya jamii wanayodai yanaonewa (kutekwa, watumishi kunyimwa nyongeza za mishahara, nk) lakini hawakuhamasisha "maandamano yasiyo na kikomo".

3) Walioshindwa kwenye sanduku la kura wanajikusanya DSM kuanzisha "maandamano yasiyo na kikomo" badala ya kwenye majimbo yao wanakodai wameibiwa kura ili wapiga kura wao wawaunge mkono, hakika nia yao ni ovu ya uvunjifu wa amani.

Je, hili kundi la wanasiasa unaotaka Serikali na vyombo vyake wakae meza moja ya majadiliano litawakilisha jamii au maslahi yao binafsi?

Nimecheka kwa nguvu haya mawazo ya kizee uliyoongea hapa.
 
Hakuna ubishi kwamba vyama vyote vya siasa vinawapenzi wao ukionesha mapenzi ya chama chako haihalalishi kwamba wote wanakubaliana na wewe.

Tumechelewa sana wacha nchi hii ijengwe na iwekwe sehemu salama hata kama italazimu wachache kuumia na baada ya hali kuwa shwari hapo ndipo maafikiano au haki za binadamu na mazagazaga yote yanayofanana na hayo yatafuatwa.

Miaka mingi iliyopita tulipitia kwenye ufisadi,ubaguzi,wizi wa mali za umma nk.dawa imepatikana tuwape nafasi watutoe tulipo kwama.
 
Tunaweza kukataa na kupinga Ila dalili zote ziko bayana Taifa limemegeka kisiasa, kihisia, kimitazamo, na kivitendo.

Kuna roho ya ubinafsi na majivuno inazidi kusimika mizizi katika taifa hili. Kuna wanojiona ni bora na wanastahili vyote, na wengine wanajiona kuchukiwa, kutotambulika, kutokuwa na haki hata ya kuheshimiwa mitazamo yao.

Kilichotufikisha hapa hakijaanza leo wala jana. Tunachokishuudia ni matokeo ya roho iliyopaliliwa na kunyeshewa maji kwa muda Sasa. Na kadri tunavyochelewa kuchukua hatua hali itakua mbaya Sana.

Siasa zetu zimekua chanzo Cha utengano huu. Sio kwetu tu siasa imekua chanzo Cha anguko la umoja wa kitaifa bali duniani kote siasa ugawa watu. Hili utokea kwa kuwa siasa pasina shaka ni ulaji na mamlaka. Wahenga husema palipo na ulaji hapakosi fitina, Ila ni wajibu wetu kuonyesha ustaarabu na utu.

Wazee wako kimya, watumishi wa Mungu tayari wamekubali ku take side na kuendeleza mpasuko huu. Wasomi wamekubali kubaki neutral. Wengine wamechagua kuwa kimyaa kabisaa ili kuzipa amani fake familia zao na kujihakikishia mkate mezani. Kifupi njaa na uchu wa madaraka umefubaza kalamu zao na kuamua kuisariti Taifa hili.

Nani anaweza kututoa kwenye janga hili?

Bila kupepesa macho JPM na LISSU wanaweza kulisahidia Taifa hili.

JPM- unazo nyenzo, unawajibika kikatiba, unawajibika kisiasa, na unawajibika kiimani kuongoza juhudi za kulijenga taifa hili na kuziba mpasuko. Kuchukua wajibu huu sio udhaifu na kujishusha Ila ni kuonyesha njia na kuwajibika. Utakumbukwa zaidi ukilifanikisha ili kuliko kuamua kukaa kimyaa. Heri wapatanishi maana wataitwa wana wa Mungu.

LISSU- Kama mwanasiasa unawajibika kikatiba kuilinda amani ya taifa hili. Unawajibika kiimani kusamehe na kuachilia. Unawajibika kiraia kutii na kukubali kunyenyekea mamlaka. Utakumbukwa zaidi kwa kuongoza maridhiano ya kitaifa kuliko kufanikisha mashindano .

Kwa wanaowazunguka wawili hawa, mnao wajibu wa kutuliza majeraha, kuponya nafsi zao, na kusisitiza malidhiano, na sio kuwajaza sifa, hasira na viburi.

Msione kwa kuwa mnafaidika leo kwa kushabikia umwamba huu mkaona haya ndo maisha. Hakika hiyo itakua dhambi kubwa sana mbele za Mungu na Jamii ya watanzania.

Tunapenda kuona umoja na mshikamano wa taifa hili kuliko uhasama na maumivu tunayoyashuudia leo katika kona nyingi za taifa hili.

Mwisho wa waraka huu, nitoe rai kwa wanajeshi wanobeba silaha kwa jina la Tanzania kamwe mtusaidie kurejesha tumaini na heshima ya taifa hili. Tulisifiwa na mataifa mengi duniani coz jeshi letu liliheshimu uhai wa raia zake , na liliwalinda kwa adui awaye yote. Ila leo ni haibu kuona raia zetu wanauawa na wanajeshi wetu na maafisa usalama. Tafadhari mjizuie, mtangulize weledi na utu na muwalinde raia wa taifa hili bila upendeleo.

Nashusha kalamu yangu chini. Nimetimiza wajibu wangu na ninaomba record iwekwe bayana.

Heri mpatanishi maana ataitwa mwana wa Mungu.

Ainone:

1: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Jonh Pombe Magufuli

2: Mh. Tundu Antipas Lissu

3: Marais wastaafu

4: Wakuu wa majeshi ya Tanzania

5: Viongozi wa vyama vya siasa

6: Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mkuu,

Wakutanishwe kwa sababu zipi ukiwaacha wengine 13 waliogombea Urais?

Unayetamani akutanishwe na mh. Rais je, amekiri kwamba uzushi wa tuhuma alioutoa hadharani kwamba alifanya makosa ya kijinai?

Baadhi ya tuhuma alizotoa Tundu Antipas Mughwai Lissu ni hizi ambazo anatakiwa azithibitishe kwenye mamlaka ya mahakama
1. Kupora ardhi hekari 25,000 huko Kihanga Karagwe akishirikiana na Innocent Bashungwa bila ushahidi wa tuhuma hizo
2. Kajenga uwanja wa ndege wa kimataifa Chato kwa ajili ya mama yake na mkewe
3. Kwamba aliamuru vyombo vya ulinzi na usalama yeye apigwe risasi;
4. Kwamba anateua viongozi mbalimbali kwa kada tofauti ambao ni ndugu zake au wanaotoka kanda ya ziwa pekee bila kuzingatia, sifa, vigezo, uwezo na utendaji bora wa kazi;
5. Kwamba ni mbaguzi wa dini kwa kuwanyima waislamu nafasi za uongozi na kupendelea wakiristo tu;
6. Kudhalilisha, kutukana, kufokea viongozi na maaskari wa vyombo vya ulinzi na usalama (kitendo hicho hakikuwa ni kukemea ikla kujivika mamlaka asiyokuwa nayo);
7. Kuchafua sifa za nchi ya Tanzania kwa sababu binafsi za kisiasa na washirika wake wenye nia OVU na taifa la Tanzania kwa kufiklia hatua kushawishi taasisi mbalimbali na wawakilishi wa mbalimbali kuisuia, kutoshirikiana nayo hasa viongozi wa ngazi za juu ili kufanikisha nia yake isiyo bayana kwa manufaa ya nchi;

Sasa wito wa mh. Tundu Lissu kufanya maridhiano kwa kitu gani kilichotokea kusababisha wakutanishwe wawili pekee wakati yeye ndiye aliyeongoza kumshambulia kwa tuhuma zisizothibitishwa wakato wote aliposimama jukwaani?

Tundu Lissu anatakiwa awe na nidhamu, mtiifu na aache kiburi, ujeuri, majivuno, dharau nakujiona msomi zaidi ya yeyote; alichokuwa anakionesha shuleni na JKT kule Makutupora ambako kutokana na misimamo yake kulikuwa na migongano mingi sana na makamanda (koplo an MP)
6. Kwamba
 
Ninachofurahi ni kuwa mbinu yenu ya kuwaua na kuwatesa wapinzani wenu sasa imepata dawa rasmi. Mkianza kuchunguzwa rasmi na icc na kutolewa arrest warrant ndo mtajua kuwa mnatakiwa kuheshimu maamuzi ya wananchi au la!
Magufuli ni rais wako hadi 2025 utake usitake
 
Chafuuuu,
Aende akukatane na waliomtuma kulazimisha biashara ya ushoga iwe harali
Tunaweza kukataa na kupinga Ila dalili zote ziko bayana Taifa limemegeka kisiasa, kihisia, kimitazamo, na kivitendo.

Kuna roho ya ubinafsi na majivuno inazidi kusimika mizizi katika taifa hili. Kuna wanojiona ni bora na wanastahili vyote, na wengine wanajiona kuchukiwa, kutotambulika, kutokuwa na haki hata ya kuheshimiwa mitazamo yao.

Kilichotufikisha hapa hakijaanza leo wala jana. Tunachokishuudia ni matokeo ya roho iliyopaliliwa na kunyeshewa maji kwa muda Sasa. Na kadri tunavyochelewa kuchukua hatua hali itakua mbaya Sana.

Siasa zetu zimekua chanzo Cha utengano huu. Sio kwetu tu siasa imekua chanzo Cha anguko la umoja wa kitaifa bali duniani kote siasa ugawa watu. Hili utokea kwa kuwa siasa pasina shaka ni ulaji na mamlaka. Wahenga husema palipo na ulaji hapakosi fitina, Ila ni wajibu wetu kuonyesha ustaarabu na utu.

Wazee wako kimya, watumishi wa Mungu tayari wamekubali ku take side na kuendeleza mpasuko huu. Wasomi wamekubali kubaki neutral. Wengine wamechagua kuwa kimyaa kabisaa ili kuzipa amani fake familia zao na kujihakikishia mkate mezani. Kifupi njaa na uchu wa madaraka umefubaza kalamu zao na kuamua kuisariti Taifa hili.

Nani anaweza kututoa kwenye janga hili?

Bila kupepesa macho JPM na LISSU wanaweza kulisahidia Taifa hili.

JPM- unazo nyenzo, unawajibika kikatiba, unawajibika kisiasa, na unawajibika kiimani kuongoza juhudi za kulijenga taifa hili na kuziba mpasuko. Kuchukua wajibu huu sio udhaifu na kujishusha Ila ni kuonyesha njia na kuwajibika. Utakumbukwa zaidi ukilifanikisha ili kuliko kuamua kukaa kimyaa. Heri wapatanishi maana wataitwa wana wa Mungu.

LISSU- Kama mwanasiasa unawajibika kikatiba kuilinda amani ya taifa hili. Unawajibika kiimani kusamehe na kuachilia. Unawajibika kiraia kutii na kukubali kunyenyekea mamlaka. Utakumbukwa zaidi kwa kuongoza maridhiano ya kitaifa kuliko kufanikisha mashindano .

Kwa wanaowazunguka wawili hawa, mnao wajibu wa kutuliza majeraha, kuponya nafsi zao, na kusisitiza malidhiano, na sio kuwajaza sifa, hasira na viburi.

Msione kwa kuwa mnafaidika leo kwa kushabikia umwamba huu mkaona haya ndo maisha. Hakika hiyo itakua dhambi kubwa sana mbele za Mungu na Jamii ya watanzania.

Tunapenda kuona umoja na mshikamano wa taifa hili kuliko uhasama na maumivu tunayoyashuudia leo katika kona nyingi za taifa hili.

Mwisho wa waraka huu, nitoe rai kwa wanajeshi wanobeba silaha kwa jina la Tanzania kamwe mtusaidie kurejesha tumaini na heshima ya taifa hili. Tulisifiwa na mataifa mengi duniani coz jeshi letu liliheshimu uhai wa raia zake , na liliwalinda kwa adui awaye yote. Ila leo ni haibu kuona raia zetu wanauawa na wanajeshi wetu na maafisa usalama. Tafadhari mjizuie, mtangulize weledi na utu na muwalinde raia wa taifa hili bila upendeleo.

Nashusha kalamu yangu chini. Nimetimiza wajibu wangu na ninaomba record iwekwe bayana.

Heri mpatanishi maana ataitwa mwana wa Mungu.

Ainone:

1: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Jonh Pombe Magufuli

2: Mh. Tundu Antipas Lissu

3: Marais wastaafu

4: Wakuu wa majeshi ya Tanzania

5: Viongozi wa vyama vya siasa

6: Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Tunaweza kukataa na kupinga Ila dalili zote ziko bayana Taifa limemegeka kisiasa, kihisia, kimitazamo, na kivitendo.

Kuna roho ya ubinafsi na majivuno inazidi kusimika mizizi katika taifa hili. Kuna wanojiona ni bora na wanastahili vyote, na wengine wanajiona kuchukiwa, kutotambulika, kutokuwa na haki hata ya kuheshimiwa mitazamo yao.

Kilichotufikisha hapa hakijaanza leo wala jana. Tunachokishuudia ni matokeo ya roho iliyopaliliwa na kunyeshewa maji kwa muda Sasa. Na kadri tunavyochelewa kuchukua hatua hali itakua mbaya Sana.

Siasa zetu zimekua chanzo Cha utengano huu. Sio kwetu tu siasa imekua chanzo Cha anguko la umoja wa kitaifa bali duniani kote siasa ugawa watu. Hili utokea kwa kuwa siasa pasina shaka ni ulaji na mamlaka. Wahenga husema palipo na ulaji hapakosi fitina, Ila ni wajibu wetu kuonyesha ustaarabu na utu.

Wazee wako kimya, watumishi wa Mungu tayari wamekubali ku take side na kuendeleza mpasuko huu. Wasomi wamekubali kubaki neutral. Wengine wamechagua kuwa kimyaa kabisaa ili kuzipa amani fake familia zao na kujihakikishia mkate mezani. Kifupi njaa na uchu wa madaraka umefubaza kalamu zao na kuamua kuisariti Taifa hili.

Nani anaweza kututoa kwenye janga hili?

Bila kupepesa macho JPM na LISSU wanaweza kulisahidia Taifa hili.

JPM- unazo nyenzo, unawajibika kikatiba, unawajibika kisiasa, na unawajibika kiimani kuongoza juhudi za kulijenga taifa hili na kuziba mpasuko. Kuchukua wajibu huu sio udhaifu na kujishusha Ila ni kuonyesha njia na kuwajibika. Utakumbukwa zaidi ukilifanikisha ili kuliko kuamua kukaa kimyaa. Heri wapatanishi maana wataitwa wana wa Mungu.

LISSU- Kama mwanasiasa unawajibika kikatiba kuilinda amani ya taifa hili. Unawajibika kiimani kusamehe na kuachilia. Unawajibika kiraia kutii na kukubali kunyenyekea mamlaka. Utakumbukwa zaidi kwa kuongoza maridhiano ya kitaifa kuliko kufanikisha mashindano .

Kwa wanaowazunguka wawili hawa, mnao wajibu wa kutuliza majeraha, kuponya nafsi zao, na kusisitiza malidhiano, na sio kuwajaza sifa, hasira na viburi.

Msione kwa kuwa mnafaidika leo kwa kushabikia umwamba huu mkaona haya ndo maisha. Hakika hiyo itakua dhambi kubwa sana mbele za Mungu na Jamii ya watanzania.

Tunapenda kuona umoja na mshikamano wa taifa hili kuliko uhasama na maumivu tunayoyashuudia leo katika kona nyingi za taifa hili.

Mwisho wa waraka huu, nitoe rai kwa wanajeshi wanobeba silaha kwa jina la Tanzania kamwe mtusaidie kurejesha tumaini na heshima ya taifa hili. Tulisifiwa na mataifa mengi duniani coz jeshi letu liliheshimu uhai wa raia zake , na liliwalinda kwa adui awaye yote. Ila leo ni haibu kuona raia zetu wanauawa na wanajeshi wetu na maafisa usalama. Tafadhari mjizuie, mtangulize weledi na utu na muwalinde raia wa taifa hili bila upendeleo.

Nashusha kalamu yangu chini. Nimetimiza wajibu wangu na ninaomba record iwekwe bayana.

Heri mpatanishi maana ataitwa mwana wa Mungu.

Ainone:

1: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Jonh Pombe Magufuli

2: Mh. Tundu Antipas Lissu

3: Marais wastaafu

4: Wakuu wa majeshi ya Tanzania

5: Viongozi wa vyama vya siasa

6: Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
I support the idea so long as the same will be a springboard for a major democratic and constitutional reform in the country, otherwise it a waste of time and resources. I do not trust JPM and his ruling party. He promised the world a fair and free election which ended up into chaos, sham, and heavily rigged.
 
Tunaweza kukataa na kupinga Ila dalili zote ziko bayana Taifa limemegeka kisiasa, kihisia, kimitazamo, na kivitendo.

Kuna roho ya ubinafsi na majivuno inazidi kusimika mizizi katika taifa hili. Kuna wanojiona ni bora na wanastahili vyote, na wengine wanajiona kuchukiwa, kutotambulika, kutokuwa na haki hata ya kuheshimiwa mitazamo yao.

Kilichotufikisha hapa hakijaanza leo wala jana. Tunachokishuudia ni matokeo ya roho iliyopaliliwa na kunyeshewa maji kwa muda Sasa. Na kadri tunavyochelewa kuchukua hatua hali itakua mbaya Sana.

Siasa zetu zimekua chanzo Cha utengano huu. Sio kwetu tu siasa imekua chanzo Cha anguko la umoja wa kitaifa bali duniani kote siasa ugawa watu. Hili utokea kwa kuwa siasa pasina shaka ni ulaji na mamlaka. Wahenga husema palipo na ulaji hapakosi fitina, Ila ni wajibu wetu kuonyesha ustaarabu na utu.

Wazee wako kimya, watumishi wa Mungu tayari wamekubali ku take side na kuendeleza mpasuko huu. Wasomi wamekubali kubaki neutral. Wengine wamechagua kuwa kimyaa kabisaa ili kuzipa amani fake familia zao na kujihakikishia mkate mezani. Kifupi njaa na uchu wa madaraka umefubaza kalamu zao na kuamua kuisariti Taifa hili.

Nani anaweza kututoa kwenye janga hili?

Bila kupepesa macho JPM na LISSU wanaweza kulisahidia Taifa hili.

JPM- unazo nyenzo, unawajibika kikatiba, unawajibika kisiasa, na unawajibika kiimani kuongoza juhudi za kulijenga taifa hili na kuziba mpasuko. Kuchukua wajibu huu sio udhaifu na kujishusha Ila ni kuonyesha njia na kuwajibika. Utakumbukwa zaidi ukilifanikisha ili kuliko kuamua kukaa kimyaa. Heri wapatanishi maana wataitwa wana wa Mungu.

LISSU- Kama mwanasiasa unawajibika kikatiba kuilinda amani ya taifa hili. Unawajibika kiimani kusamehe na kuachilia. Unawajibika kiraia kutii na kukubali kunyenyekea mamlaka. Utakumbukwa zaidi kwa kuongoza maridhiano ya kitaifa kuliko kufanikisha mashindano .

Kwa wanaowazunguka wawili hawa, mnao wajibu wa kutuliza majeraha, kuponya nafsi zao, na kusisitiza malidhiano, na sio kuwajaza sifa, hasira na viburi.

Msione kwa kuwa mnafaidika leo kwa kushabikia umwamba huu mkaona haya ndo maisha. Hakika hiyo itakua dhambi kubwa sana mbele za Mungu na Jamii ya watanzania.

Tunapenda kuona umoja na mshikamano wa taifa hili kuliko uhasama na maumivu tunayoyashuudia leo katika kona nyingi za taifa hili.

Mwisho wa waraka huu, nitoe rai kwa wanajeshi wanobeba silaha kwa jina la Tanzania kamwe mtusaidie kurejesha tumaini na heshima ya taifa hili. Tulisifiwa na mataifa mengi duniani coz jeshi letu liliheshimu uhai wa raia zake , na liliwalinda kwa adui awaye yote. Ila leo ni haibu kuona raia zetu wanauawa na wanajeshi wetu na maafisa usalama. Tafadhari mjizuie, mtangulize weledi na utu na muwalinde raia wa taifa hili bila upendeleo.

Nashusha kalamu yangu chini. Nimetimiza wajibu wangu na ninaomba record iwekwe bayana.

Heri mpatanishi maana ataitwa mwana wa Mungu.

Ainone:

1: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Jonh Pombe Magufuli

2: Mh. Tundu Antipas Lissu

3: Marais wastaafu

4: Wakuu wa majeshi ya Tanzania

5: Viongozi wa vyama vya siasa

6: Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Pureman2
Umemaliza kusema tu, lakini tuna watu "conservative" kama hawa jamaa hapa👇👇👇 chini...
Lissu hapana kabisa huyo nia yake ovu ni dhahiri mbele ya macho ya kila mmoja ni bora Mbowe ana uzalendo fulani sema amepigwa pin sababu amekuwa mlezi wa vibaraka na mawakala wa shetani huku Lissu na genge lake la kina Robert Amsterdam wakina ndio vinara
Rais akutanishwe na kibaraka wa mabeberu ili iweje? Acheni kumtafutia promo za kitoto hapa. Amekimbia, amejipanga kuichafua nchi yetu kwa kutumiwa na mabeberu wanotaka kuja kuchuma. Hana uzalendo wowote kwa nchi yetu. Yeye aishi huko huko, hatumhitaji.
Tutaijenga upya CHADEMA aliyoibomoa. Let him go to hell

1. Hivi wewe Dp800 na mwenzio UmkhontoSizwe, mnaelewa hata maana ya "beberu ama ubeberu" kweli ama mmelishwa tu maneno hayo nanyi mnabugia? Kaeni vizuri na tumieni vichwa vyenu vizuri kufikiria..

2. Na hebu tuweni honest, ndugu zangu, tujaribu kuusema ukweli japo hata kwa dakika moja..

Kwamba kwa kilichotokea na kinachoendelea kutokea, ni nani kati Tundu Lissu na CHADEMA upande huu na John Pombe Magufuli, serikali yake na CCM upande huu wenye NIA OVU na nchi na wananchi wa nchi hii?

Tukiwaomba mthibitishe NIA OVU ya Tundu Lissu na CHADEMA, mimi nina hakika hamtaweza kufanya vile...!!

Lakini kama mnataka sisi tunaopinga matokeo ya uchaguzi huu wa juzi wa kuiweka serikali hii iliyopo sasa madarakani tuthibitishe NIA OVU ya watawala hawa waliopo hapo kwa nguvu ya dola kwa kutumia kivuli cha uchaguzi wa damu, tunaweza kufanya vile mchana kweupe...!!

Kwa kuanzia, hebu tazama "series" ya matukio maovu ambayo Rais Magufuli ametendea huyu ndugu Tundu Lissu tangu alipoingia madarakani 2015...

Amejaribu mpaka kutaka kuuchukua uhai wa Tundu Lissu, bahati nzuri kuwa Mungu Yehova ni mkuu sana na amemkatalia kutimiza nia yake hiyo...

Kasa kwa hilo tu, mtu yeyote anaweza kui - define NIA OVU ya Magufuli kwa urahisi na ufasaha kabisa...

Kumbukeni kuwa huyu ni Rais mwenyewe "supreme powe and authority" katika nchi na anaweza kuamuru chochote KIOVU ama KIZURI kifanyike na kikafanyika..

Ndiyo alivyofanya kwa Tundu Lissu..

On the other hand, tujiulize, hivi kosa la Tundu Lissu ni nini hasa hata astahili such harsh treatment kutoka kwa Rais wa nchi yake?

Kiukweli HAKUNA KOSA LOLOTE isipokuwa ni KUWAKOSOA WATAWALA TU baasi....!

Hii ndiyo imezaa uchaguzi mkuu 2020 wa hovyo kabisa kuwahi kutokea. Uchaguzi uliojaa wizi mtupu mwanzo mwisho kwa sababu wanaogopa kitawaliwa na mtu mwingine ili asije akaanza kuwahukumu kwa madhambi yao ya tangu mwaka 1961...!

Kama kuna makosa ya Tundu Lissu hebu yawekeni hapa tulinganishe na makosa ya John Pombe Magufuli kisha tuombe Mungu wa haki amhukumu kila mmoja...
 
Tunaweza kukataa na kupinga Ila dalili zote ziko bayana Taifa limemegeka kisiasa, kihisia, kimitazamo, na kivitendo.

Kuna roho ya ubinafsi na majivuno inazidi kusimika mizizi katika taifa hili. Kuna wanojiona ni bora na wanastahili vyote, na wengine wanajiona kuchukiwa, kutotambulika, kutokuwa na haki hata ya kuheshimiwa mitazamo yao.

Kilichotufikisha hapa hakijaanza leo wala jana. Tunachokishuudia ni matokeo ya roho iliyopaliliwa na kunyeshewa maji kwa muda Sasa. Na kadri tunavyochelewa kuchukua hatua hali itakua mbaya Sana.

Siasa zetu zimekua chanzo Cha utengano huu. Sio kwetu tu siasa imekua chanzo Cha anguko la umoja wa kitaifa bali duniani kote siasa ugawa watu. Hili utokea kwa kuwa siasa pasina shaka ni ulaji na mamlaka. Wahenga husema palipo na ulaji hapakosi fitina, Ila ni wajibu wetu kuonyesha ustaarabu na utu.

Wazee wako kimya, watumishi wa Mungu tayari wamekubali ku take side na kuendeleza mpasuko huu. Wasomi wamekubali kubaki neutral. Wengine wamechagua kuwa kimyaa kabisaa ili kuzipa amani fake familia zao na kujihakikishia mkate mezani. Kifupi njaa na uchu wa madaraka umefubaza kalamu zao na kuamua kuisariti Taifa hili.

Nani anaweza kututoa kwenye janga hili?

Bila kupepesa macho JPM na LISSU wanaweza kulisahidia Taifa hili.

JPM- unazo nyenzo, unawajibika kikatiba, unawajibika kisiasa, na unawajibika kiimani kuongoza juhudi za kulijenga taifa hili na kuziba mpasuko. Kuchukua wajibu huu sio udhaifu na kujishusha Ila ni kuonyesha njia na kuwajibika. Utakumbukwa zaidi ukilifanikisha ili kuliko kuamua kukaa kimyaa. Heri wapatanishi maana wataitwa wana wa Mungu.

LISSU- Kama mwanasiasa unawajibika kikatiba kuilinda amani ya taifa hili. Unawajibika kiimani kusamehe na kuachilia. Unawajibika kiraia kutii na kukubali kunyenyekea mamlaka. Utakumbukwa zaidi kwa kuongoza maridhiano ya kitaifa kuliko kufanikisha mashindano.

Kwa wanaowazunguka wawili hawa, mnao wajibu wa kutuliza majeraha, kuponya nafsi zao, na kusisitiza malidhiano, na sio kuwajaza sifa, hasira na viburi.

Msione kwa kuwa mnafaidika leo kwa kushabikia umwamba huu mkaona haya ndo maisha. Hakika hiyo itakua dhambi kubwa sana mbele za Mungu na Jamii ya Watanzania.

Tunapenda kuona umoja na mshikamano wa taifa hili kuliko uhasama na maumivu tunayoyashuudia leo katika kona nyingi za taifa hili.

Mwisho wa waraka huu, nitoe rai kwa wanajeshi wanobeba silaha kwa jina la Tanzania kamwe mtusaidie kurejesha tumaini na heshima ya taifa hili. Tulisifiwa na mataifa mengi duniani coz jeshi letu liliheshimu uhai wa raia zake , na liliwalinda kwa adui awaye yote. Ila leo ni haibu kuona raia zetu wanauawa na wanajeshi wetu na maafisa usalama. Tafadhari mjizuie, mtangulize weledi na utu na muwalinde raia wa taifa hili bila upendeleo.

Nashusha kalamu yangu chini. Nimetimiza wajibu wangu na ninaomba record iwekwe bayana.

Heri mpatanishi maana ataitwa mwana wa Mungu.

Ainone:

1: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Jonh Pombe Magufuli

2: Mh. Tundu Antipas Lissu

3: Marais wastaafu

4: Wakuu wa majeshi ya Tanzania

5: Viongozi wa vyama vya siasa

6: Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Yaani JPM eti akutanishwe na mlamba miguu ya mabeberu? Yaani msaliti akutane na Rais wetu?
 
Tuijenge nchi yetu, Uchaguzi umepita Watanzania wamefanya uamuzi hakuna sababu ya kupendekeza kutaka kwenda kinyume na Watanzania! Chapa kazi Kwa masilahi ya taifa letu uone Kama wazungu hawatatuogopa!
We unaona ni rahisi unavyo fikiria,hakuna taifa lililokosa haki likabaki salama,
MFANO,
BURUNDI
RWANDA
UGANDA
ZIMBABWE
ETHIOPIA
NIGERIA
ZAMBIA
N.K
baada ya viongozi kulilia lilia AMANI ya bandia bila HAKI hawapo salama kansa ya political instability ilisha watafuna siku nyingi.
AMANI NI TUNDA LA HAKI(MBEGU)

VIONGOZI tafuta haki si amani amani italetwa HAKI peke yake.
 
Wenye viwanda, biashara , wachimbaji Madini, Wasafirishaji wa Mizigo kwa Malori, Bodaboda n.k wote wanaundiwa 'Makongamano huru' kusifia hali nzuri ya kibiashara na

AskProfWolff: Mussolini: From Socialism to Fascism

Source: Democracy at work
 
pureman2 umeanzisha mjadala murua kabisa wa kizalendo hujulikani upo upande upi,umesimama katikati ya maslahi mapana ya taifa,Hao ni wanasiasa wawili wanaosigana,na wote wana wafuasi wengi wasioelewa maslahi mapana ya taifa,ama wamejitoa ufahamu ili kufanya upotoshaji kwa ajili ya maslahi yao binafsi,pengine wanatumikia ajira zao, ndoyo maana wanapinga na kubeza maridhiano.Hii nchi si ya wawili hao wala kikundi fulani,nchi ni ya watanzania katika ujumla wao.Maridhiano ni haiba njema kisiasa
Umenielewa Sana mkuu
 
Back
Top Bottom