Alexism
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 3,423
- 2,046
Hivi kula rambi rambi sio uozo kweli?Rais wa sasa ana sifa zote kupewa nafasi ya urais baada ya kipindi chake kuisha.
Sio rahis sana kuondoa uozo wa awamu ya nne kwa miaka kumi pekee
Hivi kula rambi rambi sio uozo kweli?Rais wa sasa ana sifa zote kupewa nafasi ya urais baada ya kipindi chake kuisha.
Sio rahis sana kuondoa uozo wa awamu ya nne kwa miaka kumi pekee
kampeni za 2020 zitakuwa mteremko kwa watu wengine, na mlima everest kwa watu wenye damu ya kijani.
kwa mwaka mmoja unajua tumeshakopa shingingapi, na tunatarajia kukopa tena 2.1 tril soon. hapo itakuwa ngapi? piga hesabu jk miaka 10 na hao wengine mwaka mmoja. ikifika 2020 au 2025 hahisi tutakuwa hatukopesheki tena, na uchumi wenyewe ndo huu, pamoja na kupiga rushwa lakini wamagaribi wamenyamaza kimyaaa kama hawaoni vile, hapo ndio huwa nauona unafiki wa wazungu.Ila watanzania, hivi mnajua kuwa jk alimaliza muda wake akiwa na deni la shilingi ngapi? ambapo tanzania inalipa hilo deni?
Siamini kama nchi ilioza kiasi hicho. Waliopita hawakuwa malaika wala wa sasa si malaika. Mtazamo mzuri wa kiongozi ye yote awaye ni kuendeleza mazuri na kuboresha ya mtangulizi wake. Kiongozi anayelalamika na kuponda ya watangulizi wake hawezi kufanikisha na cho chote afanyacho hakiwezi kuwa endelevu.Rais wa sasa ana sifa zote kupewa nafasi ya urais baada ya kipindi chake kuisha.
Sio rahis sana kuondoa uozo wa awamu ya nne kwa miaka kumi pekee