Rais Magufuli mwombe Radhi Kikwete

Rais Magufuli mwombe Radhi Kikwete

pamoja na kusema hivyo, lakini hata wewe jua linakuwakia sawa tu na linavyowawakia mafisadi, hali ngumu, biashara haziendi, unasoma namba sawa tu na mabavicha.
Nikisema hakuna mbadala wa ccm simaanishi ccm wanafanya vizuri. Ccm ni wabovu na wameoza lkn upinzani ni wabovu zaidi.
 
Wakati jpm akiingia madarakani alisema kuwa nchi ilikuwa imeoza kila sehemu akasema kuwa viongozi wabovu waliopita ndio wametufikisha hapa tulipo

Mzee wangJk hahakuwahiukutufikishawenye hali hii tutuliyopoasa
~Hali ya ukosefu wa ajira
~wanafunzi kukosa mikopo
~Pesa haipatikani
~wafanyakazi hawapandishwi madaraja
~Serikali kutoajiri mwaka na nusu sasa
~Biashara na viwanda vinakufa

Jpm mzee wangu chonde chonde mwombe samahani jk kwa kumsingizia kuwa yeye ndio aliotufikisha hapa

Wewe ndie uliyetufikisha hapa kwa mda mfupi tu.
Pombe yangu ilikuwa kali ee!
 
hebu subiri amalize awamu yake kwanza,
aliwekwa pale na watanzania kwa kura.
mwaka mmoja tu maneno kibao.. je akimaliza yote mitano..!
kwan umeambiwa wanaolalamika ni wakenya au?
waliomchagua ndio wanaolalamika na ana wajibu wa kuwasikiliza
Mbona humpend Rais wetu ww au hujui kuwa anaekutakia mema atakueleza mapema kabla mambo hayajaharbika kama unavyotaka ww
 
Wakati jpm akiingia madarakani alisema kuwa nchi ilikuwa imeoza kila sehemu akasema kuwa viongozi wabovu waliopita ndio wametufikisha hapa tulipo

Mzee wangJk hahakuwahiukutufikishawenye hali hii tutuliyopoasa
~Hali ya ukosefu wa ajira
~wanafunzi kukosa mikopo
~Pesa haipatikani
~wafanyakazi hawapandishwi madaraja
~Serikali kutoajiri mwaka na nusu sasa
~Biashara na viwanda vinakufa

Jpm mzee wangu chonde chonde mwombe samahani jk kwa kumsingizia kuwa yeye ndio aliotufikisha hapa

Wewe ndie uliyetufikisha hapa kwa mda mfupi tu.
Chama kilekile, mfumo ule ule, katiba ile ile...hata 'mkuu wa sasa' amekuwepo serikalini muda mrefu tu.Kwahiyo elewa tu JK bado yupo sana kwakuwa tulichobadilisha katika uchaguzi ni mtu,ili kubadili mfumo mzima tuanze na katiba kwanza.[emoji38]
 
Hapa kazi tu

Hakuna vya kubebana

Mlizoea, tabu ninkwamba bado mnasubiri miuiza nchi irudi ilivyokuwa zamani mle vya wananchi bure bure.
 
Yote hayo yalitokea lakini mkwere wa watu aliyasolve japo kwa kuchelewa.

Na idadi ya watu waliokuwa wakipokea mikopo ilikuwa kubwa kuliko hii ya sasa hvi ila mzee alipambana kutembeza bakuli kwa wahisani mapaka vijana walifanikiwa kupata mikopo wote.
Je hiyo mikopo iliyokopwa na jk alilipwa kwa wenye nayo?
 
Ndio wale watu wakiwa na hela ndani ananunua kitu bila kuangalia uhitaji, haya sasa zimenunuliwa tunaanza kutafuta wa kutukopesha Trilioni 2 kwa riba nafuu hapatikani. Wanasema
If you buy everything you want you will soon sell what you need.
ni kichekesho. pamoja na kwamba alikuwa na nia nzuri tu, lakini hakuangalia kipaumbele ni kipi, ati tunashindana na randa vinchi vidogo tu vina ndege sisi hatuna. hakujiuliza wenzake miaka yote kwanini hawakununua? ndege alizoagiza ni bei gani? hapohapo anaanza kukopa hela zimeisha...ukiwa na baba kama huyo kwenye familia aisee ni shida.
 
sioni alichokifanya hata kimoja. gharama za maisha zipo juu sana yeye anahangaika na bombadia
 
Kikwete alikua rais aliyetambua nn wananchi wapate ili kelele isiwepo km sasa hv.yaani ni ukata mpk tunatamani kikwete angejirudia urais
 
unakumbuka mwaka juzi shule zlifungwa kwa kukosa chakula? unakumbuka migomo ya wanafunzi katika vyuo vya udom na udsm....hata wakati wa JK....tulipata shida saaaaaaaana ya mkopo
sio kweli, kwanza huyu amepunguza sana wanufaika wa bodi
 
Wakati jpm akiingia madarakani alisema kuwa nchi ilikuwa imeoza kila sehemu akasema kuwa viongozi wabovu waliopita ndio wametufikisha hapa tulipo

Mzee wangJk hahakuwahiukutufikishawenye hali hii tutuliyopoasa
~Hali ya ukosefu wa ajira
~wanafunzi kukosa mikopo
~Pesa haipatikani
~wafanyakazi hawapandishwi madaraja
~Serikali kutoajiri mwaka na nusu sasa
~Biashara na viwanda vinakufa

Jpm mzee wangu chonde chonde mwombe samahani jk kwa kumsingizia kuwa yeye ndio aliotufikisha hapa

Wewe ndie uliyetufikisha hapa kwa mda mfupi tu.
amuombe msamaha kwa kosa lipi alilomkosea?kwani serikali ya hawamu ya 4 kweli haikuwa mbovu,,zaifu na inanuka maovu km wafanyakazi fake,,kukumbatia maovu na mengine kibao?hacha unafki wewe
 
unakumbuka mwaka juzi shule zlifungwa kwa kukosa chakula? unakumbuka migomo ya wanafunzi katika vyuo vya udom na udsm....hata wakati wa JK....tulipata shida saaaaaaaana ya mkopo
lakini si kama sasa,hali imekuwa mbaya zaid kuliko awamu iliyopita kilichopo ni kwamb tu wanafunz hawagomi kwa sababu ambzo rais alizitoa pale mlimani kuwa wanafunz wakgoma wanafukuzwa chuo.ila ni weng tena hat waliostahil hawajapat mkopo mkuu,usiongee eti kisa hakuna migomo.pia angalia sasa je wanafunz kwani mashulen wanakula?
 
Udikteta uchwara ndiyo umetufikisha hapa na huu ni mwanzo tu gharika la nguvu linakuja.

Wakati jpm akiingia madarakani alisema kuwa nchi ilikuwa imeoza kila sehemu akasema kuwa viongozi wabovu waliopita ndio wametufikisha hapa tulipo

Mzee wangJk hahakuwahiukutufikishawenye hali hii tutuliyopoasa
~Hali ya ukosefu wa ajira
~wanafunzi kukosa mikopo
~Pesa haipatikani
~wafanyakazi hawapandishwi madaraja
~Serikali kutoajiri mwaka na nusu sasa
~Biashara na viwanda vinakufa

Jpm mzee wangu chonde chonde mwombe samahani jk kwa kumsingizia kuwa yeye ndio aliotufikisha hapa

Wewe ndie uliyetufikisha hapa kwa mda mfupi tu.
 
Full Visasi! Nchi haiendi kwa kulipa visasi vya kuwemo kwenye utendaji wa sirikali miaka 20! Tunahitaji vision! Huna vision tupishe! Hahtutaki visasi!! Period!!!
 
Back
Top Bottom