Rais Magufuli mwombe Radhi Kikwete

Rais Magufuli mwombe Radhi Kikwete

Hapa duniani hatakaa atokee kiongozi atakaye kuwa mzuri kwa kila kitu na kwa kila mtu.Chamsingi ukijikuta umekuwa kiongozi .Kuwa moderate.ili usije kuwa "jack of all trade master of non."Hakun awezae fanya vyote kwa siku moja.hata roma haikujengwa kwa sk moja.kukurupuka nimoja kati ya disclfctn yakpwa uongozi.cheap populart ni balaaa.unaposali usisahau kumwomba sir god akuondolee "kukurupuka."
 
hebu subiri amalize awamu yake kwanza,
aliwekwa pale na watanzania kwa kura.
mwaka mmoja tu maneno kibao.. je akimaliza yote mitano..!
Nyota njema haionekani usiku mkuu.Hata siku moja.
unakumbuka mwaka juzi shule zlifungwa kwa kukosa chakula? unakumbuka migomo ya wanafunzi katika vyuo vya udom na udsm....hata wakati wa JK....tulipata shida saaaaaaaana ya mkopo
 
Yote hayo yalitokea lakini mkwere wa watu aliyasolve japo kwa kuchelewa.

Na idadi ya watu waliokuwa wakipokea mikopo ilikuwa kubwa kuliko hii ya sasa hvi ila mzee alipambana kutembeza bakuli kwa wahisani mapaka vijana walifanikiwa kupata mikopo wote.
Hajapunguza idadi ya mikopo kapunguza idadi ya wakopaji mikopo na katoa kigezo cha chupi kupata mikopo.
 
Wakati jpm akiingia madarakani alisema kuwa nchi ilikuwa imeoza kila sehemu akasema kuwa viongozi wabovu waliopita ndio wametufikisha hapa tulipo

Mzee wangJk hahakuwahiukutufikishawenye hali hii tutuliyopoasa
~Hali ya ukosefu wa ajira
~wanafunzi kukosa mikopo
~Pesa haipatikani
~wafanyakazi hawapandishwi madaraja
~Serikali kutoajiri mwaka na nusu sasa
~Biashara na viwanda vinakufa

Jpm mzee wangu chonde chonde mwombe samahani jk kwa kumsingizia kuwa yeye ndio aliotufikisha hapa

Wewe ndie uliyetufikisha hapa kwa mda mfupi tu.
Subiri nchi iwekwe sawa Kiongozi. Kifuatacho ni mchakamchaka wa miradi ya maendeleo hadi mtachoka. Tuvumilie ktk kipindi hiki cha mpito.
 
nilichojifunza mimi ni kitu kimoja:akiba ya maneno ndio kila kitu!

mlisema ni dhaifu!

Kenyatta hapa juzi kaitwa fisi,mushezi,mwizi na nyang'au na mbunge CORD,ila kazi anapiga na maisha yanasonga!
Sipati picha huyo mbunge angeyasema hapa tz!

CCM Hatuna mambo hayo,2020 tutampa uraisi mpaka 2025,halafu anakaa pembeni!miaka kumi inamtosha!

kuwa Mungu anazidi kuliboresha chagua lake,siku hadi siku!
Hamia kenya ukapate uhuru wa kutukana
 
naionea huruma tu bandari yangu ya dsm. kwasababu standard gauge ya kenya inaisha katikati ya mwaka huu, just months away....hapo badala ya bidhaa kufika uganda kwa zaidi ya siku moja, itafika kwa chini ya masaa 12...na hapo reli ya kati haijajengwa vizuri (kama itapona mafuriko ya masika hii) ili kucompete.....bandari itakufa kabisa, congo, burundi, rwanda na uganda watahamia kule, hadi kuja kuwarudisha wateja hao, ni miaka mingi. kwasasa bandari kavu dsm hazina dili tena bora hata biashara ya kuchoma chips, kwasababu mizigo haitoshi kwa bandari ya dsm na zile kavu ambazo ni private.

malori yasiyofanya kazi za usafirishaji hayana idadi..na hapohapo mtu anasema "...hata ikija meli moja tu kama inalipa kodi hamna shida..."....side effect yake hajaiona?
Hayo yote unayoombea yakitokea utahamia nchi gani?
 
Vyeti vya ndoa!?hkaa..Haa.Haaa
vipo kuhusu ile kauli ya sherehe za uhuru kuhusu mzee ruksa kuishi miaka mingi, au 2020 atakuwa ameshakamilisha ili aishi miaka mingi tofauti na ndoto ya Lema.
 
Hayo yote unayoombea yakitokea utahamia nchi gani?
dalili zinaonyesha sio kwamba yatatokea, yameshatokea. au hali halisi haujaiona, upo nje ya nchi nini? na kwa upande wangu, kwani sasaivi nimehamia nchi gani na hali hii ngumu? si nipo hapahapa bongo? tunachoombea Mungu tu 2020 ifike haraka ili tufanye maamuzi ya mubadala kwa amani tu.
 
unakumbuka mwaka juzi shule zlifungwa kwa kukosa chakula? unakumbuka migomo ya wanafunzi katika vyuo vya udom na udsm....hata wakati wa JK....tulipata shida saaaaaaaana ya mkopo
Hiyo ni changamoto katika kusonga,
 
dalili zinaonyesha sio kwamba yatatokea, yameshatokea. au hali halisi haujaiona, upo nje ya nchi nini? na kwa upande wangu, kwani sasaivi nimehamia nchi gani na hali hii ngumu? si nipo hapahapa bongo? tunachoombea Mungu tu 2020 ifike haraka ili tufanye maamuzi ya mubadala kwa amani tu.
Hamna mbadala wa ccm nchi hii
 
Hamna mbadala wa ccm nchi hii
pamoja na kusema hivyo, lakini hata wewe jua linakuwakia sawa tu na linavyowawakia mafisadi, hali ngumu, biashara haziendi, unasoma namba sawa tu na mabavicha.
 
Ubaya wake hata upange kumng'oa kwa kutompigia Kura 2020, Utatokea Muujiza unakuta kashinda! duh sijui huwa wanashindaje!
 
Kununua ndege nyingi kwa kutumia hela za ndani na kuanzisha uhakiki usioisha
Ndio wale watu wakiwa na hela ndani ananunua kitu bila kuangalia uhitaji, haya sasa zimenunuliwa tunaanza kutafuta wa kutukopesha Trilioni 2 kwa riba nafuu hapatikani. Wanasema
If you buy everything you want you will soon sell what you need.
 
Back
Top Bottom