Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,597
- 5,788
Mimi niko Kahama tena hapa Mjini..... Ila kupata Vocha tu TTCL ni mtihani..... Sasa unanishawishi vipi nitumie TTCL????Uko sahihi ila bado haujasema TTCL wanafeli wapi? Offers, Miundombinu, teknolojia, Bundles, Customer care service? Hebu orodhesha vitu wanavyofeli jamaa toa facts hata uongozi wakisoma wajue kweli wamefeli ukicompare with others kwenye ushindani.
List them all.
Binafsi naona upande wa bundles wako fair mnoo.. bei chee speed ya 4G tena ukiwa na laini ya chuo unaweza hisi unamiliki kampuni nzima hongera sana Boss wa TTCL kwa hili, ila network yao haiko strong baadhi ya maeneo Dar Es Salaam hii hii . Yaani hilo gawio walilotoa ni bora wangetumia kutengeneza minara strong ya 4G kuliko kututesa wateja wao.
Sent using Jamii Forums mobile app