Rais Magufuli: Mimi ni mzilankende muyango

kama una makabila yote hayo tukueleweje sasa. babako ni kabila gani na mamako kabila gani? hao wengine wanatoka wapi sasa hadi makabila yanazidi mawili? au you are adopted?
Siko adopted na ndivyo nilivyo. Baba ana asili mchanganiko wa makabila na pia mama ana mchanganyio wa makabila mengi. Ukija kwa mke wangu pia ni mchanganyiko wa makabila. Tulioko mijini ni adimu sana kuwapata watu wenye asili ya kabila moja.
 
Umesema sahihi MKUU. Kumbe karahisisha kazi. Sasa hatutafuti kabila lake. Tayari tumeshajua kwamba yeye ni MUHAYA.

SASA TUTAFUTE MWANGA WA KUFAHAMU UKOO WAKE KAMA NI MZILANKENDE AMA NI MUYANGO AU HATAKI PENGINE NI MCHANGANYIKO. NINAOMBA AACHE KUJIUNGAMANISHA NA WASUKUMA KWA JINSI ISIVYO HALALI. NA WATANZANAI TUACHE KUMPELEKA KWA WASUKUMA ASIOKUWA NA UHUSIANO NAO WOWOTE KWA KIDAMU ZAIDI YA UTAWALA NA UANANCHI.


Kwanza mkuu mzilankende sio kabila au ukoo. ..Ukija mfano kwa Wahaya kama kabila wana koo na koo hizo zinautamburisho wake ambao mara nyingi ni wanyama,ndege,wadudu au mema yaani mti ambazo uitwa Omuzilo...Mfano Abayango na Abahinda ambao kwa kiasi kikubwa ndio koo za kifalme wao utamburisho wao ni huyo mnyama ngedere...Nkende,kuna Abatundu wao utamburisho wao ni chui, Abajubu wao utamburisho wao ni Kiboko,Abalwani nk...sasa huyu anayesema ni kabila la mzilankende sijui Muyango wa kisukuma basi nae atakua ameanzisha labda nanili. ...Au kwakua nchi nyingi zinaongozwa na wasio wazawa
 
Narudia jina la kihaya la mukulu ni KATTO kwao ni karagwe , babu yake siyo mashalila ni mzee MACHALILA, Wa uswahilim Bukoba, ambao baadhi ya ndugu waliamia CHATO katika kutafa riziki,

Cc. Pascal mayalla,
 
Umejichanganya. Ukoo hauwezi kuwa kabila. Kwa hiyo Muyango ni ukoo na Msubi ni kabila. Katika wasubi kuna koo zinazopatikana kote mkoa wa Kagera na Uganda kwa Wanyankole. Mfano Basita, Bayango, Basindi, Bagara, Bahutu, etc. Kumbuka Msubi akiongea Mhaya na Mnyambo watamwelewa. Hii ni pamoja na Wazinza na hata Bakerewe unaelewa lugha yao. Kama labda babu yake alikuja na kufia pale si ajabu labda alikuja kama mpagazi. Kumbuka hawa Wasubi na Wazinza ni jamii ya Watsu au Bahima na si ajabu hata Wahutu kwa hiyo kama alikuja kama mpagazi wa kihutu basi ndo watoto wake wakatawanyikia Biharamulo
Tu deal na mental case. Hapo ndipo penye shida!
 
Back
Top Bottom