Rais Magufuli: Mimi ni mzilankende muyango

Kwanza mkuu mzilankende sio kabila au ukoo. ..Ukija mfano kwa Wahaya kama kabila wana koo na koo hizo zinautamburisho wake ambao mara nyingi ni wanyama,ndege,wadudu au mema yaani mti ambazo uitwa Omuzilo...Mfano Abayango na Abahinda ambao kwa kiasi kikubwa ndio koo za kifalme wao utamburisho wao ni huyo mnyama ngedere...Nkende,kuna Abatundu wao utamburisho wao ni chui, Abajubu wao utamburisho wao ni Kiboko,Abalwani nk...sasa huyu anayesema ni kabila la mzilankende sijui Muyango wa kisukuma basi nae atakua ameanzisha labda nanili. ...Au kwakua nchi nyingi zinaongozwa na wasio wazawa
 
Siku hizi ni tumbo! Zamani Uhayani ilikuwa na aibu kusikia kuwa eti mtoto wako ni Polisi! It was shame, lakini sasa, Mh! polisi ni kazi ya heshima tena ya hela kweli kweli- kila mmoja anaomba mtoto wake awe traffic police!
uko sahihi . so polisi tu hata jeshi. zilikuwa kazi za hovyo
 

Yule jamaa mwenye shingo ndefu ambae alisema anatujua mpaka ndani, isije kuwa watu wenyewe wanaotujua mpaka ndani ndio hawa!!......
 
Magufuli ni Mzilankende! Huyu ni muhaya pure! Mushaija huyu!
Hakuna wahaya wa dizaini yake! Labda kama ni mkimbizi (Mrundi, au myarwanda).

Halafu; hivi mnafahamu kwamba yule wa Rwanda ni mjomba wake!

-knowledge matters-
 
Kama wahaya tungekuwa na MIJITU kama huyo! Basi kagera pasingekuwa mahali salama pa kuishi. Nenda popote duniani walipo wahaya,, hakuna watu wa aina yake. Magufuli anajua mwenyewe alikotokea. Ni kama OBAMA tu alivyoficha utambulisho wake hadi Leo!
Kujua kuongea kabila Fulani haikufanyi kuwa MTU wa kabila hilo!

Kagame ni mjomba wake! Did you know?! Maana yake ni kwamba his mom ni from Kigali!.

Kwa wakati huo (enzi za kina mama yake), ilikuwa ni vigumu sana na kwa vyovyote vile isingewezekana eti mhaya aoe mrundi au myarwanda! Hii kitu hata Leo bado iko japo siyo sana. Ukionekana umeoa myarwanda hata kijiji kinaweza kukutenga aise. Labda huku mijini kwa Sasa!

Maana yake ni kwamba huyo mamayake kwa vyovyote vile aliolewa na mtu wa kwao! From Rwanda ambaye alikuwa na Mishe zake hapa tz long back ago!

Otherwise, twende turudi, tukubali tukatae, genetically then man is made in KIGALI
 
kipindi kile cha kampeni walisema yeye ni mzinza au msubi lakini mama yake ni msukuma na amelelewa na mama yake ndio maana anajua kisukuma. hata hivyo kabila kwangu si kitu.
 
Mimi ndio usiseme. Hata kujitambulisha napata shida sana. Msambaa nipo, Mzaramo nipo, Mdigo nipo, Msukuma nipo.
kama una makabila yote hayo tukueleweje sasa. babako ni kabila gani na mamako kabila gani? hao wengine wanatoka wapi sasa hadi makabila yanazidi mawili? au you are adopted?
 
wasukuma wakabila sana. waliibuka sana na kujisifu kuwa wametoa rais, juzi kawaumbua kwamba yeye hata babu yake kazikwa pale bukoba...hahaha. wamebaki midomo wazi. akili za wasukuma zinajulikana, ziko smart kama zile za yule mbunge wa geita aliyeongea bungeni kwamba tuhalalishe bange....sijui anaitwa nani yule. pia aliongea star tv ati makabila mengine tulikuwa tunawaita wao mang'ombe...hahahahaha. nilicheka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…