Rais Magufuli: Mimi ni mzilankende muyango

Angalau sasa ninapata picha kwa mbali kwa nini Wasukuma wanalalamika sana anapojinasibu kwamba ni msukuma. Sasa ukweli umejulikana. MHESHIMIWA RAISI SIYO MSUKUMA. Tunaze kutafuta makabila ya huko Bukoba kama ni Mzilankdende, ama Muyango.

Tusonge mbele, ila uskumani HAPANA. TUWAACHE WASUKUMA WA WATU WASIOKUWA NA MAKUU SALAMA SASA.
Kwanza mkuu mzilankende sio kabila au ukoo. ..Ukija mfano kwa Wahaya kama kabila wana koo na koo hizo zinautamburisho wake ambao mara nyingi ni wanyama,ndege,wadudu au mema yaani mti ambazo uitwa Omuzilo...Mfano Abayango na Abahinda ambao kwa kiasi kikubwa ndio koo za kifalme wao utamburisho wao ni huyo mnyama ngedere...Nkende,kuna Abatundu wao utamburisho wao ni chui, Abajubu wao utamburisho wao ni Kiboko,Abalwani nk...sasa huyu anayesema ni kabila la mzilankende sijui Muyango wa kisukuma basi nae atakua ameanzisha labda nanili. ...Au kwakua nchi nyingi zinaongozwa na wasio wazawa
 
Siku hizi ni tumbo! Zamani Uhayani ilikuwa na aibu kusikia kuwa eti mtoto wako ni Polisi! It was shame, lakini sasa, Mh! polisi ni kazi ya heshima tena ya hela kweli kweli- kila mmoja anaomba mtoto wake awe traffic police!
uko sahihi . so polisi tu hata jeshi. zilikuwa kazi za hovyo
 
Mimi binafsi siamini kama huyu jamaa ni mtanzania hasa tabia zake na ni mtu ambaye hana utu, huruma wala kauli nzuri, watanzania kiasili hatuko hivyo hata kidogo huwa tunajaliana sana pale panapokuwa na matatizo hata kama uwezo ni mdogo.... Bil. 17 za rambi rambi tena zilizochangwa na wasamaria wema zitumike kutengeneza miundombinu wakati wananchi hawana pa kulala ni ajabu sana! Mkwere wetu tunamkumbuka sana apart from everything alikuwa na huruma na utu!

Yule jamaa mwenye shingo ndefu ambae alisema anatujua mpaka ndani, isije kuwa watu wenyewe wanaotujua mpaka ndani ndio hawa!!......
 
Magufuli ni Mzilankende! Huyu ni muhaya pure! Mushaija huyu!
Hakuna wahaya wa dizaini yake! Labda kama ni mkimbizi (Mrundi, au myarwanda).

Halafu; hivi mnafahamu kwamba yule wa Rwanda ni mjomba wake!

-knowledge matters-
 
Aiseee wahaya kama mnamtaka mchukueni tu sie wasukuma hatuna watu wa aina yake wenye kuchomokwa na maneno... wasio wapole wanyenyekevu wenye jazba mi nadhan kwel ni mzilankende mchukueni tu alishatuchosha sie inawezekana aliitwa msukuma ili apat kura za wasukuma... lakin kama mnamchukua ilu muonekane mmetoa raisi na nyie kabilA lenu utakula kwenu kwani atawanyea tu pyaaa hana breki mjomba
Kama wahaya tungekuwa na MIJITU kama huyo! Basi kagera pasingekuwa mahali salama pa kuishi. Nenda popote duniani walipo wahaya,, hakuna watu wa aina yake. Magufuli anajua mwenyewe alikotokea. Ni kama OBAMA tu alivyoficha utambulisho wake hadi Leo!
Kujua kuongea kabila Fulani haikufanyi kuwa MTU wa kabila hilo!

Kagame ni mjomba wake! Did you know?! Maana yake ni kwamba his mom ni from Kigali!.

Kwa wakati huo (enzi za kina mama yake), ilikuwa ni vigumu sana na kwa vyovyote vile isingewezekana eti mhaya aoe mrundi au myarwanda! Hii kitu hata Leo bado iko japo siyo sana. Ukionekana umeoa myarwanda hata kijiji kinaweza kukutenga aise. Labda huku mijini kwa Sasa!

Maana yake ni kwamba huyo mamayake kwa vyovyote vile aliolewa na mtu wa kwao! From Rwanda ambaye alikuwa na Mishe zake hapa tz long back ago!

Otherwise, twende turudi, tukubali tukatae, genetically then man is made in KIGALI
 
Hicho Kizinza hata hakijui na mara zote tangu wakati wa Kikwete na kipindi chote cha kampeni alipofika kwenye vijini vya Wazinza wilaya ya Sengerema alikuwa anaongea Kisukuma. Ukweli ni kuwa Magufuli ni Msukuma.
Kabila la Wasukuma ni kubwa na hakuna ambaye ukoo wake haujatokana na kabila jingine. Kuna Wasukuma waliotokea visiwa vya Ukelewe na kwingineko, mfano muna koo za Watimba, hawa wapo Wasukuma, Wajita, Wakerewe nk. Lakini kabila la mtu ni lile alilozaliwa akakuta wazazi wanaliongea.
Wakati wa kampeni alipokuwa Misungwi alisema babu yake aliishi pale mpaka uzee wake. Tusijidanganye, Magufuli ni Msukuma.
Na watu wengi sana wamebadili makabila yao na kuwa Wasukuma kutokana na eidha kuoa Wasukuma au muolewa. Wengi waliooa kwa Wasukuma vizazi vyao vimebadilika na kuwa Wasukuma.
kipindi kile cha kampeni walisema yeye ni mzinza au msubi lakini mama yake ni msukuma na amelelewa na mama yake ndio maana anajua kisukuma. hata hivyo kabila kwangu si kitu.
 
Mimi ndio usiseme. Hata kujitambulisha napata shida sana. Msambaa nipo, Mzaramo nipo, Mdigo nipo, Msukuma nipo.
kama una makabila yote hayo tukueleweje sasa. babako ni kabila gani na mamako kabila gani? hao wengine wanatoka wapi sasa hadi makabila yanazidi mawili? au you are adopted?
 
Anajua kizinza vizuri sana. Tatizo ni hujawahi kumsikia wewe. Unajua kwanini amekuwa converted to sukuma, kwa sababu wasukuma muna ukabila sana, so anaogopa kulipoteza kundi kubwa la wasukuma kwenye uchaguzi. Na wasukuma ni wabovu sana mku tayari kumchagua msukuma mwenzenu hata kama ni uwezo wake wa kuongoza ni mdogo. Angalia wabunge wa usukumani hakuna mwenye uwezo hata mmoja anza na Charles Kitwanga, nenda kwa Jacob Dalali (Dashi) na n.k uwezo wao ni mdogo muno na hakuna lolote la kushika walilo lifanya kwenye jimbo lao ila wanapendwa na wanazidi kushinda na usishangae 2020 Kitwanga akashinda tena. Ila tusibishane sana muda ututupa ukweli, na muda huwa haudanganyagi.
wasukuma wakabila sana. waliibuka sana na kujisifu kuwa wametoa rais, juzi kawaumbua kwamba yeye hata babu yake kazikwa pale bukoba...hahaha. wamebaki midomo wazi. akili za wasukuma zinajulikana, ziko smart kama zile za yule mbunge wa geita aliyeongea bungeni kwamba tuhalalishe bange....sijui anaitwa nani yule. pia aliongea star tv ati makabila mengine tulikuwa tunawaita wao mang'ombe...hahahahaha. nilicheka sana.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom