Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 12,594
- 17,725
Duduwasha upo siulifungiwa na jf.Wakae nyumbani au waendee hakubadirishi kitu atabaki kuwa rais wa wote
Duduwasha upo siulifungiwa na jf.Wakae nyumbani au waendee hakubadirishi kitu atabaki kuwa rais wa wote
Wewe na nani?Wakawasombe wanyambo na wanyayangiro huko hatuna time na mtu
Rais hafanyi kazi kwa shinikizo.Mitandao ya kijamii inatimiza wajibu tuendelee kupaza sauti
Sijawahi pigwa ban mkuuDuduwasha upo siulifungiwa na jf.
Aisii!
Pombe kachemka sana
Ni jambo jema. Hongera kwa aliyetoa wito uliokuwa na lengo la kumkaribisha
Mlemavu alipewa kazi na wahanga wa kujitetemesha ya kumleta Mwenye kaya.Wahaya kaeni majumbani kwenu.
Kwenye nini?Unashawishi mgomo?
Wasihudhurie mkutano wa raisKwenye nini?
Ndio wanakokaaga siku zoteKwa sababu gani wakae majumbani?
Basi kesho watoke kwenda kumpokea kipenzii chao/chakoNdio wanakokaaga siku zote
Unajuaje bila mashaka kuwa post yangu inalenga mkutano. Nimemjibu nani?Wasihudhurie mkutano wa rais
Kesho utapata majibuSawa wewe unayejua hadi aliyoyasema, haya tuambie pesa za wahanga wa tetemeko atawapatia?
Kwani alikuwa na kazi gani?
Pole sanawacha uzuzu,huwezi acha watuwako kwenyeshida usiende wapa pole na faraja eti umkabidhi mtu. Mbona amehudhuria misiba kadhaa au kunawatu muhimu na wengine (tenawengi) wasio? Kwavyovyote iwavyo alikosea saana na hatutaki hilo lijitokeze Tena maana linasikitisha. Watu washapoa Sasa ukienda inakuwanini?? Tuoneshane upendo hasa kipindi cha shida kwako raha. Ingetokea Pindi kampeni zinaendelea tungewahi chap, banaeeh mi nimemind sana namwongelea trump lakini