Siku ya pili ya ziara ya Rais Samia Mkoani Mtwara, awataka viongozi kuwasikliza Wananchi na kutatua kero zao

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,813
11,991
Fuatilia mfululizo wa matukio yanayoendelea kwenye siku ya pili ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Mkoani Mtwara, leo Septemba 16, 2023.


View: https://www.youtube.com/live/Ngg9uv7xEm0?si=yBBa-JQFSBF4e1QQ

Mtwara 2.jpeg

d7bfb15b-a062-44e9-b64a-d5f4f97f0cc0.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Majaliwa kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi wa Tandahimba kwenye Mkutano wa hadhara ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 16 Septemba, 2023.
36678593-88a6-4158-bb8e-19e483e96b63.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Tandahimba katika Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Majaliwa ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 16 Septemba, 2023.

Kitambaa.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi wa Ofisi za Halmashauri ya Masasi Mkoani Mtwara tarehe 16 Septemba, 2023.

15d8224e-baa2-404d-bba9-5a948c508410.jpeg

fe1c14e6-03d3-490f-9890-d40984876c22.jpeg

Shamrashamra za Wananchi wa Tandahimba wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 16 Septemba, 2023.​
 
Sidhani kama kuna mtu yuko tayari kupoteza muda na bando kufuatilia hotuba za bila kutaja Bandari zetu.
 
Back
Top Bottom