Rais Magufuli kutua Bukoba kesho Jumapili, kuhutubia wananchi Jumatatu

siku ya mabomu ya gongolamboto Jakaya hakuchukua hata saa 12 akatinga eneo la tukio. lakini jamaa yetu kasubiri mwaka mpya akasherehekee. kweli Tunakukumbuka Jakaya
 
Jumatatu saa 11 am- 1pm ni muda wa kazi so msisumbue walimu na wafanyakazi wa umma kuwalazimisha wala kwa hiari kuja mkutanoni. Watakaohudhuria waulizwe kazi zao wamemuachia nani
 
Kweli nimeamini kua nchi haiko pazuri huku tangazo la mkutano wa hadhara utakaofanyika shuleni Ihungo na Rais siku ya Jumatatu..hivi kweli kuna haja ya kufanya matangazo tangu mchana wote na usiku wa manane na huku watu wamekatazwa kupiga kelele kusherekea sikukuu ya kumaliza mwaka....Daah saa nane usiku hivi angekua Lowassa au Mbowe angerusiwa kufanya hivyo duuuh Tuko vibaya sana
 
Saivi ni saa sita usiku hiyo saa nane imefikaje...au bukoba masaa yenu yako mbele
 
Saivi ni saa sita usiku hiyo saa nane imefikaje...au bukoba masaa yenu yako mbele
Aaah mpaka sasa matangazo yanaendelea huku mabomu ya machozi yakilindima mtaa wa Rwamishenye na Kagondo...Na ikifika hasubui endeleeni na matangazo ila Ihungo mtakua wenyewe...Hivi unajua maana ya usiku wa manane au
 
Ukishazoea kula nyama ya mtu tu utaendelea. Ukizoea kuvunja sheria na taratibu zilizopo kwa kuwa wewe ndio mbabe, utaendelea kuvunja tu hata kwa sababu zisizo na maana. Mtoa mada umeelewa? Usivunje sheria huyo ndio mkuu wa nchi.
 
Kweli nimeamini kua nchi haiko pazuri huku tangazo la mkutano wa hadhara utakaofanyika shuleni Ihungo na Rais siku ya Jumatatu..hivi kweli kuna haja ya kufanya matangazo tangu mchana wote na usiku wa manane na huku watu wamekatazwa kupiga kelele kusherekea sikukuu ya kumaliza mwaka....Daah saa nane usiku hivi angekua Lowassa au Mbowe angerusiwa kufanya hivyo duuuh Tuko vibaya sana
Ulivyo mjinga hujui hata kuangalia saa yako iliyo juu ya kiscren cha tecno yako.
 
Back
Top Bottom