FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
Toka nyerere afichwe na wazee hawa mwaka 1964 kwenye ghasia za jeshi marais wote wanawaheshimu hawa, hata angeingia lowasa ungesikia hivyo hivyo!
Hapana, usidanganye.
Nyerere alifichwa na kijana kabisa kwa wakati huo, kwa sasa ni mzee maarufu aitwae Kitwana Kondo.