Ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindanokuliko Magu kuongea na wazee wa moshi kwa sababu wale wazee hawana njaa lazma wamtwange maswaliKwa hiyo unalazimisha aongee na wazee wa moshi?
Lowasa alizungumza na wazee kweli lkn siyo huu unafiki mnao ufanya ebu watazame karibu 90%ni vijanaMkuu uko sahihi, hata lowassa juzi juzi tumeshuhudia akizungumza na wazee wa dar wa chama chake. Kwa kifupi wazee wa dar ndii kila kitu
Lini uliwahi kumuona magu anahutubia umma namna hiyo?sijui labda ni sangoma wamemdanganyaHivi ni kweli Magufuli hana njia mbadala ya kuongea na TAIFA, THRU TV moja kwa moja toka IKULU, hadi aongee na Wazee wa Dar, myself siipendi njia hii hata kidogo...
Rais angetumia njia ya KUONGEA NA TAIFA moja kwa moja toka IKULU... na sio kuongea kupitia WAZEE WA DAR hapo Diamond Jubilee... na Title ingekuwa RAIS KUONGEA NA TAIFA... na sio wazee wa Dar...