Rais magufuli kesho ataongea na wazee wa mkoa wa dsm kuanzia saa 8 mchana diamond jubilee, yale yale ya jk yameanza
Kwa hiyo unalazimisha aongee na wazee wa moshi?Kwani moshi hakuna wazee?mbona huna heshima kwa wana wa moshi?yaani kukosa ubunge wa moshi ndio mnawachukia watu wa moshi kiasi hiki?
Hakuna ulazima wa maswalihao wazee ndio saizi yake. Maana hawatauliza sauli hapo!
Kwanini mkuu, kwani iliupate kuingia huko watakiwa uwe Na vigezo ganiWewe jiandae tu lkn sijui kama utaruhusiwa kuingia
Tatizo sifaMtoa mada haujielew nini
Ulitaka asiongee na wazee aje kuongea na wewe
Yaani buana wana UKAWA sometimes sijui huwa tunafikiria na makitu gani