Rais Magufuli kuongea na Wazee wa Dar

Rais Magufuli kuongea na Wazee wa Dar

Status
Not open for further replies.
ITV imethibitisha hivyo, na matangazo yatarushwa moja kwa moja kuanzia saa saba mchana.
Oops! Sikusoma vizuri hii post, nilifikiri mabalozi, kumbe wazee wa dar. Hapo lazma atakuwepo hata kama angekuwa anashughuli nyingine angeahirisha. Mi ni mzalendo nitaangalia TBC
 
Rais magufuli kesho ataongea na wazee wa mkoa wa dsm kuanzia saa 8 mchana diamond jubilee, yale yale ya jk yameanza

Huu ulikkuwa ni utaratibu wa Baba wa taifa, Mwalimu JK Nyerere
 
Hana jipya la kuwaambia zaidi ya blaablaa tu ya hapa ni kazi tu hii kauli isiyo na mshiko wowote hata mwenzake jk alikuwa na kauli hii.,,,,,,ari mpya,kazi mpya,nguvu mpya na ikaishia kupakia vipuru na wanyama wetu mchana kweupe zikaenda ng'ambo...........hawana jipya zaidi ya kutuona Wananchi hatujui kinachiendelea ndani ya Nchi hii ila mwomba Mungu hachoki!
 
Awe anazunguka mikoa mbalimbali, kwenye wazee sio dar pekee! Kwanza wazee wa dar washabadilika ndomana ukawa imeteka jiji,walizoea jiji kuwa la ccm na kuhis kukamata wazee wa jiji
 
Nikweli kabisa usemayo mkuu tusichoke kumuomba mungu maana tayari wamesha anza kuumbuwana tayari kila sehemu
 
Oops! Sikusoma vizuri hii post, nilifikiri mabalozi, kumbe wazee wa dar. Hapo lazma atakuwepo hata kama angekuwa anashughuli nyingine angeahirisha. Mi ni mzalendo nitaangalia TBC
Una moyo wa chuma kuiangalia hiyo tv station
 
Unajuwa hawa watu hawana ushauri makini.Sio aongee na wazee wa DSM waseme anaongea na wazee wa nchi hii.
Then wapige marufuku manguo ya kijani mule ndani,Wananchi wengi wakiziona zile rangi wanaugua.
ni kweli hujakosea, nipe 5
 
kwa hili la kuongea na wezee sio baya kwani wazee ndio nguzo ya taifa.
Hakuna aliye sema ni baya maana tayari amesharudi kutoka nje ya dsm
 
Na ni kwa mwaliko tu.

Tangozo mwisho limesema ni kwa wale walioalikwa tu.
 
Bavicha bana kila kitu kupinga huu utaratibu upo toka enzi za Nyerere rais kuongea na wazee wa Dar es Salaam.

Hao Ukawa wakichukuwa nchi watakuwa wanaongea na nani wanywa viroba?

Hamtaki rais aongee na wazee daah!!
Aongee pia na mabalozi maana ndio tunawategemea kutujazia bakuli letu
 
Awe anazunguka mikoa mbalimbali, kwenye wazee sio dar pekee! Kwanza wazee wa dar washabadilika ndomana ukawa imeteka jiji,walizoea jiji kuwa la ccm na kuhis kukamata wazee wa jiji
Sasa akaongee labda na wazee wa dodoma siyo dsm tena
 
Atengeneze pia utaratibu wa kuwa anafanya mijadala na watu was elimu juu kwenye vyuo mbali mbali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom