Rais Magufuli kuongea na Wazee wa Dar

Rais Magufuli kuongea na Wazee wa Dar

Status
Not open for further replies.
Oops! Sikusoma vizuri hii post, nilifikiri mabalozi, kumbe wazee wa dar. C

Huwajui Wazee wa Dar es salamm wewe.Ndio walioshika mikoba ya nchi hii.Hiyo amani na utulivu unayoiona ni kazi ya hao wazee.Wana hadhi kubwa kuliko hao mabalozi.
 
Toka nyerere afichwe na wazee hawa mwaka 1964 kwenye ghasia za jeshi marais wote wanawaheshimu hawa, hata angeingia lowasa ungesikia hivyo hivyo!
Aisee kwa hiyo wale wazee waliomficha Nyerere mpaka leo ndio hawa wano vutia marais kuzungumza nao?
 
Umesoma kichwa cha habari ukaelewa!!??? Umeambiwa anaongea na "Wazee wa Dar" kesho na sio Wazee wa CCM. Achana na mihemko ya kisiasa itakuacha mpweke au utamuacha mkeo mjane.
Uzoefu toka kwa JK ni kuwa anasema wazee wa Dar kumbe ni wazee wa ccm, ndio maana tunamu alert aache yeye tabia hiyo. Kwanza kama ni kusema chama tawala basi ccm sio chama tawala Dsm
 
Uzoefu toka kwa JK ni kuwa anasema wazee wa Dar kumbe ni wazee wa ccm, ndio maana tunamu alert aache yeye tabia hiyo. Kwanza kama ni kusema chama tawala basi ccm sio chama tawala Dsm
Basi sawa. Nikupitie twende Diamond Jubilee mchana!!??
 
Basi sawa. Nikupitie twende Diamond Jubilee mchana!!??
Hapana ndugu yangu usinipitie, nadhani sijapata sifa ya kuitwa mzee kati ya wazee wetu waliopo ingawa umri umesogea sogea mkuu.
Tusijaze nafasi bure wazee wa ukweli wakakosa pa kukaa. Nitakuwa pembeni ya Tv kumsikiliza Rais
 
asisahau kuongelea mawaziri wanafki wanaikwamisha utumbuaji wa majipu
 
Oops! Sikusoma vizuri hii post, nilifikiri mabalozi, kumbe wazee wa dar. Hapo lazma atakuwepo hata kama angekuwa anashughuli nyingine angeahirisha. Mi ni mzalendo nitaangalia TBC
Ulifikiria anakutana na mabalozi?daaaaaaa
 
Hapana ndugu yangu usinipitie, nadhani sijapata sifa ya kuitwa mzee kati ya wazee wetu waliopo ingawa umri umesogea sogea mkuu.
Tusijaze nafasi bure wazee wa ukweli wakakosa pa kukaa. Nitakuwa pembeni ya Tv kumsikiliza Rais
Inshallah mkuu. Naona Tanesco wameshazea nyaya maeneo ya kwangu. Sijui uko Kama una hiyo nishati!?
 
Huwajui Wazee wa Dar es salamm wewe.Ndio walioshika mikoba ya nchi hii.Hiyo amani na utulivu unayoiona ni kazi ya hao wazee.Wana hadhi kubwa kuliko hao mabalozi.
Safari hii hakuna bagasha ya khakiii
 
Nilishaweka angalizo hili kitambo kirefu sana , lakini badala ya kujadili hoja , kama kawaida vijana wa lumumba wakanipa kila aina ya shambulio , sasa kwa heshima na taadhima nawaomba MODERATORS muurudishe ule uzi ili tuone akili za vijana wa lumumba , nilikula nakoz za kutosha sana , kiko wapi sasa ?
 
Katika utawala au uongozi km huo wa JPM ni vita vikuu so wazee must wawe nyuma yako lah sivyo!!! ujue R.I.P soon inakusubiri
 
Safari hii ataongea nao maana ccm imepata kura nyingi sana kule pamoja na dom
mkuu Mmawia kuna uzi uliletwa na Erythrocyte humu kuhusiana na jambo hili , mapovu yaliyotolewa si ya kitoto ! sasa kama unaweza utafute ule uzi tuurudishe ili uangalie akili za lumumba , vijana hawajui lolote lakini wana roho za kutu sana ! Device ninayotumia hapa haina uwezo huo .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom