Rais Magufuli kuongea na Wazee wa Dar

Rais Magufuli kuongea na Wazee wa Dar

Status
Not open for further replies.
Ccm ni ileile eeeeee ni ile ile....... Mmeipenda wenyewe tararaaa.....

Wazee wapo Dar tu. Kwingine vijikongwe vtajiju.

Vijana mtajiju
 
Mbona nimesikia Dar hakuna Wazee.. Wazee mwisho Kibaha, Dar kila mmoja Baby.
 
Rais magufuli kesho ataongea na wazee wa mkoa wa dsm kuanzia saa 8 mchana diamond jubilee, yale yale ya jk yameanza
Huyu si JK. Huyu Rais wetu ni mkweli na ni muadilifu. Huwa napenda sana hotuba zake hasa pale ninapojiuliza tunaenda basi huwa zinanirudisha kwenye mstari wa matumaini.
 
Mtoa mada haujielew nini
Ulitaka asiongee na wazee aje kuongea na wewe
Yaani buana wana UKAWA sometimes sijui huwa tunafikiria na makitu gani
....si ni kawaida! Hata dr slaa kabla "hajapigwa ngwara" si aliongea nao, akafanyiwa na tambiko lililomtia laana....masai nae si alibwabwaja mbele yao juzi kati
 
Huyu si JK. Huyu Rais wetu ni mkweli na ni muadilifu. Huwa napenda sana hotuba zake hasa pale ninapojiuliza tunaenda basi huwa zinanirudisha kwenye mstari wa matumaini.
Shauri yako yule tayari ana ndoa yake
 
Tatizo hamuelewi nini maana ya wazee wa dar. Hao ndio walio leta uhuru wa hii nchi.
 
Rais Magufuli anatarajiwa kuongea na wazee wa Dar kesho saa nane mchana katika ukumbi wa Diamond Jubilee. Mazungumzo hayo yatakua live kupitia azamtv. Channel no 100
 
Dj kobo, hivi umetumwa na Gerson msigwa au unataka kuchukua nafasi yake?? ungesubiri Gerson athibitishe ndio kazi yake kuelezea Umma . Ahsante kwa taarifa lakini
 
Wazee wa Dsm, kuanzia miaka miaka mingapi ndo mtu anahesabika mzee. Nisaidieni jamani, nsije rudishwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom