Rais Magufuli kuhutubia kutoka uwanja wa Kaitaba Bukoba

Status
Not open for further replies.
mmmh! Tarairota Mlangila wangu! waguma! unajua tunapishana malezi. Hata kama ni masuala ya upinzani lakini bado JPM atakuwa ni mkubwa kwa umri kwa MKWEPA KODI (japo simjui). si umeona alivyonijibu:
Mulangira nipo. Upinzani si uhuni. Ni kutoa hoja nzito, za kweli, za kisheria, ubinadamu, utu , heshima ukawafikirisha watu tofauti na walivyozoea, wkabadilika. Si matusi hata kidogo. Ningelikuwa BK nisingelikwenda kumsikiliza. Hilo sio tusi.
 
Ehh MAULANA MOLA WETU RHABUKA MBARIKI RAIS WETU WA JAMHURI YA TANZANIA MUHESHIMIWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI MILELE YOTE KATIKA JINA LA YAHUSHUA HA MASHAIC. ...AMEN RA
Hao akina maulana ndio jana wameua watu Uturuki wakitaja jina la mulana
 
Wana Bukoba
Toka Kitengaduro hadi Rwamishenye
Toka Izimbya hadi Igundanyondo
Jipangeni barabarani MZOEMEENI kwa nguvu Rais Magufuli
Ipuuzeni hotuba yake waende wana CCM tu
Hakuwa na utu wkt wa shida zenu na kaja huko sasa kisiasa tu ili arekebishe mambo kwa 2020
Muonyeshi kuwa yy ana dola nyie mna kura 2020
Nasisitiza tena wana Bukoba MPUUZENI msiende popote
Mbona washajaa uwanjani?
Watu tupo tunatafuna senene na tukishushia na rubisi!
Tukitoka hapa,tunaenda Linas kucheza Maisha na Muziki!
Mkuu,karibu uonje Karandarugo!
 
Chonka bojo mara Ihungo sasa ni Kaitaba duuh ngoja niende zangu Akilombe maana shule karibu kufunguliwa
 
Mulangira nipo. Upinzani si uhuni. Ni kutoa hoja nzito, za kweli, za kisheria, ubinadamu, utu , heshima ukawafikirisha watu tofauti na walivyozoea, wkabadilika. Si matusi hata kidogo. Ningelikuwa BK nisingelikwenda kumsikiliza. Hilo sio tusi.
wakora tata wakora
 
Rais Magufuli kuhutubia Taifa leo saa 5:00 asubuhi moja kwa moja kutoka uwanja wa Kaitaba Bukoba, ungana nasi AzamTWO kuanzia muda huo.

View attachment 453242
Msema ukweli ni mupemzi wa Mungu. Mimi nitaendelea kutumbua majipu tu! mpaka wanyooke na walimie meno!!. Ole wake mtu alete fyoko mimi sijaribiwi. Ninajua hapa kuna wapinzani ambao nimewakanyaga vichwa hawafurukuti. Muulize chifu anafurukuta?? Mimi ndiye John Pombe mtumbua majipu!!
 
Mbona washajaa uwanjani?
Watu tupo tunatafuna senene na tukishushia na rubisi!
Tukitoka hapa,tunaenda Linas kucheza Maisha na Muziki!
Mkuu,karibu uonje Karundarugo!
Kwenye Mwenge watu wanajitokeza lkn kwenda kumsikiriza Mwenyekiti hawaendi yaani...Katonda anawaona
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom