Rais Magufuli kuhutubia kutoka uwanja wa Kaitaba Bukoba

Status
Not open for further replies.
Watajiunga
Yaani TV ya Taifa ndo inajiunga kwenye TV za watu binafsi? Mimi nilitegemea TBC Taifa ndo ingehodhi hiki kitu na TV zingine ndo zijiunge? Au mimi sijaelewa hapo mkuu? Inajishushia sana heshima hii TV bora hata wangemteu Paskali Mayalla awe Mkurugenzi kuliko huyu Ayubu Rioba!!
 
Wakuu mwenye link ya kuiona Azam TV live msaada tafadhari
 
Mungu wangu msaidie huyu mtu leo asome hotuba aliyoandikiwa, lazima atateleza tu, maana hana kipaji cha kutoa hotuba za kichwani! Leo atatumbuliwa mwingine, subirini mtanieleza!!
 
Anaenda kuwachoma mioyo tena Jana kuna jambo alilisahau kusema wajiandae na kombora jingine.

Yaani siku hizi ukisikia rais anahutubia ujue ni kombora tu hakuna matumaini toka kwake.
 
Mwambie afute hilo neno please
mmmh! Tarairota Mlangila wangu! waguma! unajua tunapishana malezi. Hata kama ni masuala ya upinzani lakini bado JPM atakuwa ni mkubwa kwa umri kwa MKWEPA KODI (japo simjui). si umeona alivyonijibu:

Wewe kama huwezi kutoa mawazo yako kwa kujitegemea acha kunukuu maoni ya wanaume, unatafuta sifa kupitia maoni ya wanaume acha hizo mama
 
Amekuwa akisemwa hovyo tangu "tetemeko" asisikie yeye nani.? Bado ni binadamu nje ya vazi la cheo, tena cha kupimiwa miaka........ JF endelea kupaza sauti. Hata juzi Lowassa na Sumaye wameenda kwa Lema, tuzidi kukumbushana tu hakuna mjuvi wa yote...... sema kuna namna tu kwa mkubwa kuambiwa akatii.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom