Rais Magufuli kuhutubia kutoka uwanja wa Kaitaba Bukoba

Status
Not open for further replies.
Thread imejaa mihemko. Tuelezeni anachosema mh rais. ccm haitawaita tena nyumbu , matendo yenu ystaamua by Slowslow
 
Wana Bukoba
Toka Kitengaduro hadi Rwamishenye
Toka Izimbya hadi Igundanyondo
Jipangeni barabarani MZOEMEENI kwa nguvu Rais Magufuli
Ipuuzeni hotuba yake waende wana CCM tu
Hakuwa na utu wkt wa shida zenu na kaja huko sasa kisiasa tu ili arekebishe mambo kwa 2020
Muonyeshi kuwa yy ana dola nyie mna kura 2020
Nasisitiza tena wana Bukoba MPUUZENI msiende popote
Tatizo uelewa wenu mdogo. Hao viongozi wa selikari walioenda huko walitumwa na nani? Nani aliidhinisha hizo safari kama si yeye? Unafikiri Rais anajitokea tuuuu kama wewe unavyotoka kwako kwenda Bar? Msimchonganishe Rais na watu wake bila sababu. Kama ni natural disaster mbona zipo kila mara? Ataenda ngapi? Au ya Bukoba ndiyo ya muhimu kuliko zingine? Mnataka mjenhewe nyumba kwa natural disaster, hao wa Mwakata na kwingineko walijengewa nyumba? Morogoro walikumbwa na mafuriko miaka ya mwanzo ya utawala wa Kikwete walijengewa nyumba na selikari? Acheni huo upuuzi. Fanyeni kazi acheni maneno yasiyo jenga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom