Rais Magufuli kufanya ziara nchini Ujerumani

Alisema, waziri wa mambo ya nje na makamu wa rais wanatosha leo imekuwaje aende yeye mwenyewe?
 
Juzi juzi tuliambiwa anakwenda China,leo Ujerumani tena. Ngonja tutaona.
 
Mkuu amezungumza kwa kifupi tu maana alikuwa anamuambia barozi wa ujerumani ikiwezekana wapate mkopo wa kujenga barabara ndipo akasema "Ata ujerumani wanaweza kutusaidia hapa na kwa vile nitafanya ziara yangu Ujerumani hivi karibuni basi pesa ya kujenga barabara hii itapatikana tu."
[/QUOTE

Halafu kuna watu wanamsifia huyu mtu😂😂😂. Mtu anaeahidi kupatikana kwa fedha za ujenzi wa barabara kwa kutegemea mkopo "utakaopatikana kwa kuwa atamtembelea mkopwaji hivi karibuni" ndie kiongozi bora kuwahi kutokea nchi hii?🤣🤣🤣
 
Maji yamezidi unga,lazima aende kwa mabeberu ili mambo yaende!
Nilikuwa na Hofu na Hydroelectrically Power kule Rufiji maana kuna azimio lilipitishwa huko German kuwa Serikali yao iishawishi Tanzania kuachana na Mradi wa Rufiji lakini mwenyewe akiwa Nanyumbu muda huu amekazia lazima ule mradi ujenwe yeye hawezi kusubiri Wafadhili wampangie mambo ya kufanya na hii ni nchi huru.
 
Check up ya kiberiti 💔

1062607
 
Back
Top Bottom