Goheki
JF-Expert Member
- Aug 23, 2011
- 447
- 387
Ile ya China imefutwa?View attachment 1062546
Mh Rais Magufuli ameweka wazi juu ya ziara yake ya hivi karibuni nchini Ujerumani wakati akihutubia wananchi wa wa Wilaya ya Masasi huko mkoani Mtwara wakati akifungua kituo cha afya.
Sent using Jamii Forums mobile app