Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,008
- 63,098
Mlisema China
Unasubiri kwa hamu ajiaibishe. Dah, wabongo aise.Nasubiri kwa hamu aende kuji-embarrass
Kwanini aende na ndege za public wakati tuna Gulfstream G550,ambayo ikiamka Dar kituo cha kwanza ni Hamburg Ujerumani...?
Read post number 8...
Hivi hajawahi kukaa nje ya mipaka ya nchi kwa zaidi ya siku 10? (tangu aingie madarakaniBora aondoke,natamani kuona Tanzania bila uwepo wake inakuaje
Anamuogopa dogo MakondaHivi hajawahi kukaa nje ya mipaka ya nchi kwa zaidi ya siku 10? (tangu aingie madarakani
View attachment 1062546
Mh Rais Magufuli ameweka wazi juu ya ziara yake ya hivi karibuni nchini Ujerumani wakati akihutubia wananchi wa wa Wilaya ya Masasi huko mkoani Mtwara wakati akifungua kituo cha afya.
Halafu watu wanashangaa wanavyoshindwa kujieleza wakiambiwa... sasa ulichoandika hapa ni nini hiki? Si lazima uwahi bali ni muhimu uwe sahihi...
Apande ile ndege iliyochorwa twigwa kwa 5mil.
Mkuu amezungumza kwa kifupi tu maana alikuwa anamuambia barozi wa ujerumani ikiwezekana wapate mkopo wa kujenga barabara ndipo akasema "Ata ujerumani wanaweza kutusaidia hapa na kwa vile nitafanya ziara yangu Ujerumani hivi karibuni basi pesa ya kujenga barabara hii itapatikana tu."Halafu watu wanashangaa wanavyoshindwa kujieleza wakiambiwa... sasa ulichoandika hapa ni nini hiki? Si lazima uwahi bali ni muhimu uwe sahihi...
Ugonjwa gani?Ndio.