Rais Magufuli kufanya ziara nchini Ujerumani

Rais Magufuli kufanya ziara nchini Ujerumani

Fokker 50 ina uwezo wa kuwa juu kwa Km 2000, Kutoka Germany to Tanzania ni Km 6700 unataka afike baada ya siku ngapi wakati Dreamliner ina uwezo wa kufika Germany kwa masaa 7 tu
Nawaza kama Id yako ina uhusiana na Mwl. Isaya Mpinzire, alikuwa headmaster wangu Rubale Sec. enzi hizo....
 
Anaenda kutibiwa?
I say watu wana hesabu za mbali! Hii picha ilianza na treila ya Raisi kapigiwa simu na Kansela wa Germany!

1062628
 
Safi kabisa.
I have always said Germans owe us for colonising us! Tunatakiwa tuwe na 'special relationship' nao.

mjerumani ni mkoloni booora kabisa katika history ya dunia....hata kodi za vichwa kinankinje walikataa zilikjwa jwa ajili ya maendeleo ya tanganyika....sio mwizi kama mwingereza
 
View attachment 1062546
Mh Rais Magufuli ameweka wazi juu ya ziara yake ya hivi karibuni nchini Ujerumani wakati akihutubia wananchi wa wa Wilaya ya Masasi huko mkoani Mtwara wakati akifungua kituo cha afya.
Mission accomplished, hiyo stigler's gorge mradi wa umeme mtausikia tu 1.Bunge la Germany lapitisha azimio la kupinga mradi wa Umeme wa mto Rufiji.
2.Kansela Angela Merkel ampigia simu Magufuli
3.Magufuli ataenda Germany
Hahahahah....huwezi kushindana na wazungu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawezi kuanza kwenda ujerumani kabla ya china.

wajerumani ni wanafiki sana inabidi ajiangalie.kile kiwanda cha mbolea walocho.ahidi kina kiini macho ndani yake nchi isikulupukie sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom