Niko job ngoja nimtume dogo wa depo jipya alete vocha haraka nicheki live
Sasa povu la nini kama na wewe umejilockdown pia?
Hopeless
😂 😂 😂 😂 😂Yaani vita dhidi ya coronavirus itaongozwa toka Chato, Mkoani Geita Tanzania !
Kama kwenu mnakaa kwenye gari ndiyo hivyo hivyoYaah ata akiwa kwenye gari anakua Ikulu..endelea kuwapa elimu
KINACHONIFURAHISHA ZAIDI SIO TU HII POST BALI HIYO PICHA YA ID YAKO, SALUTE MKUUUjinga bado ni tatizo kubwa Tanzania. Stupidity is still common in Tanzania.
Mtu anatoka kule ameshiba utumbo wa bata anaandika mambo ya hovyo hovyo na ajabu unakuta ni mzazi ana watoto wanamtegemea kujifunza kutoka kwake.
Hizi nchi zetu kuendelea bado sana kwa sababu ujinga bado ni tatizo kubwa kiliko hata magonjwa.
Anayetaka lockdown hajazuiwa, ni hiari.Halafu kuna watu wanawaza lockdown duh! hata kwa mzizi hakuna lockdown
Duuuh kweli matarumbeta akili mmeweka mfukoni!Hamuangalii USA wanavyoteketea?Eri hakuna haja ya kupima,seriously?Sasa si mtangaze tu maisha yaendelee kama kawaida na haya mambo yaishe ya kuambiana kuhusu Corona na sijui tahadhari!Kichwa maji mkubwa!
Pensioners wengi ndiyo victims wa huu ugonjwa, nichelee kusema nikiangalia ni kana kuna hidden agenda, wakuu wanataka ku-wipe OFF pensioners, as pension funds zina matundu..Bottomline ya Rais ni kuwa let nature take its course. Natural selection take its course, survival for the fittest! atakayebaki basi anatosha mimi kutawala! Lakini no lockdown, economic activities to continue as normal. Vinginevyo huwezi kusema maneno kama hayo!
Na kweli tutapukutika vilivyo in the world history! Kinachoonekana kuzisaidia Europe na USA ni kockdown. South Amrica walifanya kama Jiwe, maiti zinaokotwa barabarani!.. Equador Pascal Mayalla au unasemaje rafiki
Wafanyakazi wa afya akili kichwani mwenu,,,,... kuishi au kufia kazini
Wanapimwa ili watengwe ili wasiambukize watu zaidi punguani wahed wewe!Kwa akili yako wewe ukishapima,ukagundua watu wana corona virus,then unafanya nini?Una dawa?Una facility za kutosha?Kama watu hawaumwi,nini kinakuwasha kupima?
Sent using Jamii Forums mobile app