Pale mzumbe nilikopata elimu yangu ya secondary form 1~6 ni shule ya mchepuo wa kilimo kwa o'level,walimu wengi kama siyo wote wa kilimo pale wamesoma sua,kupitia kwao nilikubali kuwa sua wanatoa real practical oriented degrees,maana walitusaidia kuwa tunajipatia matunda na mbogamboga kutoka ktk bustani zetu.t Tulikuwa tuna nyenzo nyigi sana za kulimia ikiwemo vitreka vidogo vya kuongozwa kwa mikono pia trekta kubwa.
Walimu wenyewe walikuwa wana projects zao binafsi za ufugaji pamoja na kilimo,ambapo wengi walinufaika nazo kimaisha maana walikuwa wana supply pale shuleni,m.university pamoja na soko la kijiji.
Tulikuwa twapata opportunities za kutembelea mabwawa ya samaki yaliyopo karibu ambako tuliwakuta watu wengi kutoka mjini morogoro kuja kununua samaki pale,kutembelea sua kama study tour na hapo ndipo nilipoanza kugundua kuwa kumbe tuna hazina kubwa ambayo haitumiki.
Tulikuta kuna system ya kukamua maziwa ya ng'ombe kwa mashine na kusambazwa kwa mirija kwenda kwenye different collecting vessels.
Ambako yanagawanywa,yapi yawe ya mtindi na yapi yawe ya kawaida,yale ya mtindi kuna bacteria prepared kwa ajili hiyo,plus miradi mingine ya walimu kama ufugaji wa kuku juu chini samaki,in which kinyesi cha kuku chawa ni mbolea kwa chakula cha wale samaki. Kwa kweli nilijivunia wale wasomi wangu.
Pia tulibahatika kusoma na watoto wa professors wa sua through which tuliata kujua mengi kuhusu baba zao;kwa mfano prof.kilonzo ni mtaalamu wa panya,ambaye alitumiwa ktk project funded by usa ya ku train panya kutegua mabomu.
Baada ya kumaliza six,nilijichanganya mtaani,kijijini, na walalahaoi wenzangu,tofauti iliyokuwepo baina yetu ni kuwa mikmi nina madarasa kidogo kichwani,elimu yangu ya kilimo ya vidato 4 ilitosha kugundua kuwa ile ardhi pale ina rutuba ya kutosha sana na hali ya hewa yafaa kulima nyanya na mbogamboga zingine ambazo jamaa walikuwa wakifuata mbali sana,kwa bei ghali.nikaanza kushawishi wale ndugu pale,wakakubali wachache sana,nakumbuka walikuwa wa 3,tukaanza kuchapa kazi.
Mafanikio ni makubwa sana,hivi sasa lile eneo sasa ni deal kulipata,na jamaa washaanza kununua moneymaker pumps,na wengine diesel water pumps,baadhi ninao wajua wana kipato cha takribani elfu 50 kwa mwezi na knowledge yao juu ya kulima bustani inazidi kutanuka kwa sababu wanafanya consultancy kwa mabwana shamba ambao before walikuwa ni kama wako idle.
Hii influence kwa kweli niliipata sua(bila kuwasahau walimu wangu) maana hata miongozo inayosaidia ktk hizo shuguli ambazo sasa hivi zimepamba moto nilizipata kwa rafiki pale sua.
Ushauri wangu kwa serikali;
(1) Kwa kuzingatia kuwa asilimia kubwa ya wa tz ni wakulima ambao ni illiterates
( 2) Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa lolote duniani ili lendelee;maana tukilima tukawa na supply,ndio one step ya kwanza kuendelea,na hakuna nchi yoyote duniani iliyoendelea bila kutegemea kilimo either direct or indirect.
(3)% kubwa ya Tanzania land still ni virgin with plentiful of water sources
(4)tunao wataalamu wakutosha na wajuzi wazuri
Hivyo kufanyike good allocation ya funds,tu arrange preferences kwa kuangalia mzizi wa tatizo,n asiyo tuna deal na matawi tu. Mimi nilikuwa huko kijijini kipindi mamilion ya Rais JK ambapo nikafikiria serikali ingezitumia zile pesa hata kwa kuanzisha mashamba rasmi na ranches za serikali kwa kuwatumia hawa wataalamu wetu wa sua ambapo nilitarajia kungepatikana products za kutosha pia ingekuwa ni sehemu za wale wanakiji kupata elimu ya vitendo hivyo kuwajengea misingi mizuri ktk kilimo ambacho ndio kila kitu chao ktk maisha.
Kuliko kuwamwagia mipesa wafanye biashara,ipi? Nani anunue wakati wote ni wakulima wanaovuna kisichowatosha hata wao wenyewe kwa mlo.
Ni fikra tu.