LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,152
- 11,201
Ushauri wangu panga lianzie pale Sua hakuna haja ya kusema tuna wataalam na Maprofesa wa kilimo wakati Hali ya bei za Vyakula ni mbaya, Sukari ndio hadi tunaishiwa tunaagiza nnje na Ardhi ipo, Nchi kama Misri ambayo ni jangwa imeweza kuwa na chakula hadi inauza nnje maana yake wataalam wao wa kilimo wapo serious
Hapo wizara ya kilimo Lipigwe panga hata nusu ya wafanyakazi waondolewe maana hawalisaidii Taifa, Nchi kusema ina wataalam alafu Sukari inatutoa jasho , mchele 3500 sio hali nzuri, nyanya moja 300, kitunguu hadi 400 kimoja utasema tunw ukame