Rais Magufuli, Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA) haitumiki vizuri

technique

Member
Feb 14, 2008
11
0
Pale mzumbe nilikopata elimu yangu ya secondary form 1~6 ni shule ya mchepuo wa kilimo kwa o'level,walimu wengi kama siyo wote wa kilimo pale wamesoma sua,kupitia kwao nilikubali kuwa sua wanatoa real practical oriented degrees,maana walitusaidia kuwa tunajipatia matunda na mbogamboga kutoka ktk bustani zetu.t Tulikuwa tuna nyenzo nyigi sana za kulimia ikiwemo vitreka vidogo vya kuongozwa kwa mikono pia trekta kubwa.

Walimu wenyewe walikuwa wana projects zao binafsi za ufugaji pamoja na kilimo,ambapo wengi walinufaika nazo kimaisha maana walikuwa wana supply pale shuleni,m.university pamoja na soko la kijiji.

Tulikuwa twapata opportunities za kutembelea mabwawa ya samaki yaliyopo karibu ambako tuliwakuta watu wengi kutoka mjini morogoro kuja kununua samaki pale,kutembelea sua kama study tour na hapo ndipo nilipoanza kugundua kuwa kumbe tuna hazina kubwa ambayo haitumiki.

Tulikuta kuna system ya kukamua maziwa ya ng'ombe kwa mashine na kusambazwa kwa mirija kwenda kwenye different collecting vessels.

Ambako yanagawanywa,yapi yawe ya mtindi na yapi yawe ya kawaida,yale ya mtindi kuna bacteria prepared kwa ajili hiyo,plus miradi mingine ya walimu kama ufugaji wa kuku juu chini samaki,in which kinyesi cha kuku chawa ni mbolea kwa chakula cha wale samaki. Kwa kweli nilijivunia wale wasomi wangu.

Pia tulibahatika kusoma na watoto wa professors wa sua through which tuliata kujua mengi kuhusu baba zao;kwa mfano prof.kilonzo ni mtaalamu wa panya,ambaye alitumiwa ktk project funded by usa ya ku train panya kutegua mabomu.

Baada ya kumaliza six,nilijichanganya mtaani,kijijini, na walalahaoi wenzangu,tofauti iliyokuwepo baina yetu ni kuwa mikmi nina madarasa kidogo kichwani,elimu yangu ya kilimo ya vidato 4 ilitosha kugundua kuwa ile ardhi pale ina rutuba ya kutosha sana na hali ya hewa yafaa kulima nyanya na mbogamboga zingine ambazo jamaa walikuwa wakifuata mbali sana,kwa bei ghali.nikaanza kushawishi wale ndugu pale,wakakubali wachache sana,nakumbuka walikuwa wa 3,tukaanza kuchapa kazi.

Mafanikio ni makubwa sana,hivi sasa lile eneo sasa ni deal kulipata,na jamaa washaanza kununua moneymaker pumps,na wengine diesel water pumps,baadhi ninao wajua wana kipato cha takribani elfu 50 kwa mwezi na knowledge yao juu ya kulima bustani inazidi kutanuka kwa sababu wanafanya consultancy kwa mabwana shamba ambao before walikuwa ni kama wako idle.

Hii influence kwa kweli niliipata sua(bila kuwasahau walimu wangu) maana hata miongozo inayosaidia ktk hizo shuguli ambazo sasa hivi zimepamba moto nilizipata kwa rafiki pale sua.

Ushauri wangu kwa serikali;

(1) Kwa kuzingatia kuwa asilimia kubwa ya wa tz ni wakulima ambao ni illiterates

( 2) Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa lolote duniani ili lendelee;maana tukilima tukawa na supply,ndio one step ya kwanza kuendelea,na hakuna nchi yoyote duniani iliyoendelea bila kutegemea kilimo either direct or indirect.

(3)% kubwa ya Tanzania land still ni virgin with plentiful of water sources

(4)tunao wataalamu wakutosha na wajuzi wazuri

Hivyo kufanyike good allocation ya funds,tu arrange preferences kwa kuangalia mzizi wa tatizo,n asiyo tuna deal na matawi tu. Mimi nilikuwa huko kijijini kipindi mamilion ya Rais JK ambapo nikafikiria serikali ingezitumia zile pesa hata kwa kuanzisha mashamba rasmi na ranches za serikali kwa kuwatumia hawa wataalamu wetu wa sua ambapo nilitarajia kungepatikana products za kutosha pia ingekuwa ni sehemu za wale wanakiji kupata elimu ya vitendo hivyo kuwajengea misingi mizuri ktk kilimo ambacho ndio kila kitu chao ktk maisha.

Kuliko kuwamwagia mipesa wafanye biashara,ipi? Nani anunue wakati wote ni wakulima wanaovuna kisichowatosha hata wao wenyewe kwa mlo.

Ni fikra tu.
 
Nakubaliana na wewe kwamba wasomo wenye ujuzi hawatumiwi vizuri (effectively) si ktk kilimo tu ila ni nyanza zote. kuhusu mafedha ya Kikwete kulenga wafanya biashara ni kulifanya Taifa lizidi kuwa na 'machinga' wengi. watu wanapewa fedha wakati hawana plan ya kuwaletea maendeleo. nadhani Serikali inategemea sana kodi, kilimo kinatoa kodi kidogo tena kwa msimu. Tujifunze CHINA, wamepata mmaendeleo kwa kujali kilimo kwa kuweka sera kwamba 'we are agrigarian society'.
 
Technique; Mawazo yako ni Mazuri. Kuna watu kama akina Professor Lema wa SUA na Dr. Olomi wa UDEC UDSM amboa wana Model nzuri ya Vijiji vya Ajasiliamali au Incubators Centre za uzalishaji vijijini . . . . . The issue is . . . who will take action?
 
Technique Hapo Umelonga,ila I Ssue Viongozi Wetu.hizi Nchi Zilizoendelea Na Kutokuwa Makini Kwa Viongozi Wetu Ni Baadhi Ya Sababu Zilizorudisha Nyuma Kilimo Tz,take An Example Nchi Nyingi Za Africa Na Tz Mojawapo Kila Siku Zinashinikizwa Na Nchi Zilizoendelea Eti Wajikite Zaidi Ktk Viwanda Na Ubinafsishaji Wakati Wao Nchi Zao Zinategemea Kilimo.inafikia Wakati Ata Hiyo Aridhi Kwa Ajiri Ya Kilimo Nao Utakwa Kubinafsishwa Asa Na Hawa Viongozi Ambao Ni Mafisadi,sasa Hiki Kilimo Tutafanyia Wapi?halafu Ni Kweli Technique Pale Sua Kuna Vichwa Vimetulia Ktk Kilimo Lkn Pia Miongoni Mwao Ni Mafisadi.
 
technique,ni dhahiri kwamba Tanzania Mwenyezi Mungu ametujaalia ardhi nzuri sana, tuna maji ya kutosha kuweza kufanya kilimo cha umwagiliaji lakini kwa bahati mbaya hatujaweza kuzitumia rasilimali hizi ipasavyo.

Serikali haina budi kukipa kilimo umuhimu wa kipekee,ukiachilia mbali chakula,kilimo kinaweza kuinua kipato cha Mtanzania kwa kasi ya ajabu kabisa iwapo kitafanyika kisayansi.

mfano ,badala ya yale Mabilioni ya Jk kwenda kwa wale wanaoitwa wajasirimali,na kila mtu kuambulia fedha chache kwa nini isingetengenezwa mechanism ya kuinject hizo pesa katika kilimo, mathalani yale mabilioni ya JK bilion 21,badala ya kuyagawa kwa mamilioni ya watu yangekopeshwa kwa watu elfu kumi tu, maana yake kila mtu angepata milioni 21, then unagawa hawa watu katika kundi la watu kumi kumi maana yake wakichanga hizo pesa zao kundi hilo litakuwa na mtaji wa milioni 210 ambao ni mtaji wa kutosha kuanzia, kabla ya kuqualify mkopo unawapa masharti ya plan yao, ikiwemo wataalamu watakaofanya nao kazi ili kufanikisha mradi, kisha unawakodisha pande la ardhi kwa masharti kwamba lazima waendeshe kilimo kisayansi, huku serikali ikifuatilia kwa karibu sana kuhakikisha wanaendesha mambo yao kisayansi la sivyo wananyanganywa hizo pesa,just imagine ni mapinduzi ya kilimo ya namna gani yangetokea, bila kusahau matajiri mangapia wangezalishwa kwa system hiyo. Then hao jamaa wakianza kulipa deni na pia kodi ya ardhi watu wengine wangekopeshwa,kwa hiyo hii cycle ingeweza kupambana na tatizo la njaa, umasikini na ukosefu wa ajira
 
--PALE MZUMBE NILIKOPATA ELIMU YANGU YA SECONDARY FORM 1~6 NI SHULE YA MCHEPUO WA KILIMO KWA O'LEVEL,WALIMU WENGI KAMA SIYO WOTE WA KILIMO PALE WAMESOMA SUA,KUPITIA KWAO NILIKUBALI KUWA SUA WANATOA REAL PRACTICAL ORIENTED DEGREES,MAANA WALITUSAIDIA KUWA TUNAJIPATIA MATUNDA NA MBOGAMBOGA KUTOKA KTK BUSTANI ZETU.TULIKUWA TUNA NYENZO NYIGI SANA ZA KULIMIA IKIWEMO VITREKA VIDOGO VYA KUONGOZWA KWA MIKONO PIA TREKTA KUBWA.
WALIMU WENYEWE WALIKUWA WANA PROJECTS ZAO BINAFSI ZA UFUGAJI PAMOJA NA KILIMO,AMBAPO WENGI WALINUFAIKA NAZO KIMAISHA MAANA WALIKUWA WANA SUPPLY PALE SHULENI,M.UNIVERSITY PAMOJA NA SOKO LA KIJIJI.
---TULIKUWA TWAPATA OPPORTUNITIES ZA KUTEMBELEA MABWAWA YA SAMAKI YALIYOPO KARIBU AMBAKO TULIWAKUTA WATU WENGI KUTOKA MJINI MOROGORO KUJA KUNUNUA SAMAKI PALE,KUTEMBELEA SUA KAMA STUDY TOUR NA HAPO NDIPO NILIPOANZA KUGUNDUA KUWA KUMBE TUNA HAZINA KUBWA AMBAYO HAITUMIKI.
---TULIKUTA KUNA SYSTEM YA KUKAMUA MAZIWA YA NG'OMBE KWA MASHINE NA KUSAMBAZWA KWA MIRIJA KWENDA KWENYE DIFFERENT COLLECTING VESSELS.AMBAKO YANAGAWANYWA,YAPI YAWE YA MTINDI NA YAPI YAWE YA KAWAIDA,YALE YA MTINDI KUNA BACTERIA PREPARED KWA AJILI HIYO,PLUS MIRADI MINGINE YA WALIMU KAMA UFUGAJI WA KUKU JUU CHINI SAMAKI,IN WHICH KINYESI CHA KUKU CHAWA NI MBOLEA KWA CHAKULA CHA WALE SAMAKI.KWA KWELI NILIJIVUNIA WALE WASOMI WANGU.
---PIA TULIBAHATIKA KUSOMA NA WATOTO WA PROFESSORS WA SUA THROUGH WHICH TULIPATA KUJUA MENGI KUHUSU BABA ZAO;KWA MFANO PROF.KILONZO NI MTAALAMU WA PANYA,AMBAYE ALITUMIWA KTK PROJECT FUNDED BY USA YA KU TRAIN PANYA KUTEGUA MABOMU.

---BAADA YA KUMALIZA SIX,NILIJICHANGANYA MTAANI,KIJIJINI, NA WALALAHAOI WENZANGU,TOFAUTI ILIYOKUWEPO BAINA YETU NI KUWA MIKMI NINA MADARASA KIDOGO KICHWANI,ELIMU YANGU YA KILIMO YA VIDATO 4 ILITOSHA KUGUNDUA KUWA ILE ARDHI PALE INA RUTUBA YA KUTOSHA SANA NA HALI YA HEWA YAFAA KULIMA NYANYA NA MBOGAMBOGA ZINGINE AMBAZO JAMAA WALIKUWA WAKIFUATA MBALI SANA,KWA BEI GHALI.NIKAANZA KUSHAWISHI WALE NDUGU PALE,WAKAKUBALI WACHACHE SANA,NAKUMBUKA WALIKUWA WA 3,TUKAANZA KUCHAPA KAZI.MAFANIKIO NI MAKUBWA SANA,HIVI SASA LILE ENEO SASA NI DEAL KULIPATA,NA JAMAA WASHAANZA KUNUNUA MONEYMAKER PUMPS,NA WENGINE DIESEL WATER PUMPS,BAADHI NINAO WAJUA WANA KIPATO CHA TAKRIBANI ELFU 50 KWA MWEZI NA KNOWLEDGE YAO JUU YA KULIMA BUSTANI INAZIDI KUTANUKA KWA SABABU WANAFANYA CONSULTANCY KWA MABWANA SHAMBA AMBAO BEFORE WALIKUWA NI KAMA WAKO IDLE.
---HII INFLUENCE KWA KWELI NILIIPATA SUA(BILA KUWASAHAU WALIMU WANGU) MAANA HATA MIONGOZO INAYOSAIDIA KTK HIZO SHUGULI AMBAZO SASA HIVI ZIMEPAMBA MOTO NILIZIPATA KWA RAFIKI PALE SUA.
USHAURI WANGU KWA SERIKALI;
(1)KWA KUZINGATIA KUWA ASILIMIA KUBWA YA WA TZ NI WAKULIMA AMBAO NI ILLITERATES

( 2)KILIMO NI UTI WA MGONGO WA TAIFA LOLOTE DUNIANI ILI LENDELEE;MAANA TUKILIMA TUKAWA NA SUPPLY,NDIO ONE STEP YA KWANZA KUENDELEA,NA HAKUNA NCHI YOYOTE DUNIANI ILIYOENDELEA BILA KUTEGEMEA KILIMO EITHER DIRECT OR INDIRECT
.
(3)% KUBWA YA TZ LAND STILL NI VIRGIN WITH PLENTIFUL OF WATER SOURCES

(4)TUNAO WATAALAMU WAKUTOSHA NA WAJUZI WAZURI

---HIVYO KUFANYIKE GOOD ALLOCATION YA FUNDS,TU ARRANGE PREFERENCES KWA KUANGALIA MZIZI WA TATIZO,N ASIYO TUNA DEAL NA MATAWI TU.MIMI NILIKUWA HUKO KIJIJINI KIPINDI MAMILION YA THE HON.MR,PRESIDENT JK AMBAPO NIKAFIKIRIA SERIKALI INGEZITUMIA ZILE PESA HATA KWA KUANZISHA MASHAMBA RASMI NA RANCHES ZA SERIKALI KWA KUWATUMIA HAWA WATAALAMU WETU WA SUA AMBAPO NILITARAJIA KUNGEPATIKANA PRODUCTS ZA KUTOSHA PIA INGEKUWA NI SEHEMU ZA WALE WANAKIJI KUPATA ELIMU YA VITENDO HIVYO KUWAJENGEA MISINGI MIZURI KTK KILIMO AMBACHO NDIO KILA KITU CHAO KTK MAISHA.KULIKO KUWAMWAGIA MIPESA WAFANYE BIASHARA,IPI?NANI ANUNUE WAKATI WOTE NI WAKULIMA WANAOVUNA KISICHOWATOSHA HATA WAO WENYEWE KWA MLO.

NI FIKRA TU.

Mshikaji nimekupata sana na nimekubali yote uliyoyasema. Ila sasa nafikiri Itatumika vizuri maana rafiki mkubwa wa Mzee Mwanakijiji ndio kashikilia wizara baada ya Kuzugazuga ELIMU YA JUU.
 
technique,

...serikali yetu ina tatizo kubwa sana kwenye PRIORITIES........ukisoma manifesto ya CCM (chama tawala) kuna mengi yamezungumzwa mle.........ubaya ni kuwa MAFISADI wamezidi waungwana wazalendo

viongozi wenye maamuzi wangekuwa wanasikiliza na kutekeleza yale wanayoshauriwa technically.......leo hii tusingekuwa na madudu kama RDC et al vile vile kama wangekuwa wanasikiliza mashauri ya wataalamu wa kilimo.......neno njaa tungelisahau

Tatizo kuna watu na interest zao wakishirikiana wafanyabiashara (ndani na nje) MATAPELI, na kufikiri wao wameumbwa kuongoza wengine milele (wengine watasema ndio price ya demokrasia)...............hii demokrasia inayoturudishia akina Lowassa et al kila kukicha haitufai

Ni kweli ukiangalia research na practicals zilizofanywa na wataalamu wetu ktk kilimo nyingi ni nzuri ila zimekosa utekelezaji in a larger scale

hope one day watasikia ushauri na kutekeleza.........tusichoke kuwaambia na kuwakoma mchana kweupe bila huruma
 
Hon.technique Thanx 4 Giving Us Ur Experience
Mkuu Umenikumbusha Vitu Kadhaa:
Kuna Rafiki Yangu Ni Graduate Wa Sua In Vertinary Medicine,alipata Ajira Katika Vertinary Center Moja Pale Dsm,siku Moja Akaniambia Amepata Dili Kutoka Wizara Ya Kilimo Ya Kwenda Kufanya Research Ktk Livestock Production Mikoa Ya Mbeya Na Iringa,akaniambia Kuwa Hiyo Research Ilitakiwa Ifanywe Na Wizara Yenyewe Lakini Kwa Kukosa Wataalam Ndio Inabidi Kama Wakodiwe Wao Na Aliniambia Angeweza Kutengeneza Pesa Ya Kuweza Kununua Gari -mark2,hakuainishani Kiasi Gani,kutokana Na Hilo Nikapata Yafuatayo:
(1)yawezewkana Kuwa Ni Kweli Kuwa Zile Ofisi Za Wizara Zimekaliwa Na Vilaza,na Kuwaacha Wanaostahiki Nje.ama Wataalamu Wapo Ila Waliopo Wanawafukia Ili Kuendesha Ufisadi Bila Matatizo.kitu Ambacho Ni Kurudisha Nyuma Taifa.
(2)pesa Zinazotolewa Ni Nyingi Sana Katika Hiyo Miradi,maana Kama Yeye Aweza Kununua Mark2 Kwa Hiyo Safari Moja,sasa Sijui Huyo Bosi Wa Wizara Aliyekuwemo Kwenye Hiyo Safari Alipata Kiasi Gani.
Pia Nilipata Kusikia Kuwa Wachina Waliomba Wapewe Bonde La Mto Rufiji Ambapo Wangelima Mpunga Wakutosha Kulisha Afrika Mashariki Yote,mimi Nilihisi Kuwa Yawezekana Maana Sometimes Twala Mchele Kutoka Kwao Na Japan Licha Ya Kuwa Wao Ni Wengi Sana Kuliko Sisi.sasa Kama Hilo Ni Possible Kwa Nini Sisi Tusitumie Wataalam Wetu Kujiufaisha Na Hizo Mali Asili?
Lakini Sishangai Sana Maana Kuna Nyeti Niliipata Kutoka Ktk Wizara Ya Miundombinu Kuwa Kulikuwa Na Kutosana,kuna Wadau Waliongea Na Southkorea Kuhusu Tractors Na Wengine Waliongea Na Marekani Ktk The Same Deal,ikaja Kugundulika Kuwa Wote Wana Maslahi Yao Binafsi,kwa Hiyo Kila Mmoja Alikuwa Akivutia Kwake.
 
Hon.technique Thanx 4 Giving Us Ur Experience

Mkuu Umenikumbusha Vitu Kadhaa:
Kuna Rafiki Yangu Ni Graduate Wa Sua In Vertinary Medicine,alipata Ajira Katika Vertinary Center Moja Pale Dsm,siku Moja Akaniambia Amepata Dili Kutoka Wizara Ya Kilimo Ya Kwenda Kufanya Research Ktk Livestock diseases Mikoa Ya Mbeya Na Iringa,akaniambia Kuwa Hiyo Research Ilitakiwa Ifanywe Na Wizara Yenyewe Lakini Kwa Kukosa Wataalam Ndio Inabidi Kama Wakodiwe Wao Na Aliniambia Angeweza Kutengeneza Pesa Ya Kuweza Kununua Gari -mark2,hakuainishani Kiasi Gani,kutokana Na Hilo Nikapata Yafuatayo:

(1)yawezewkana Kuwa Ni Kweli Kuwa Zile Ofisi Za Wizara Zimekaliwa Na Vilaza,na Kuwaacha Wanaostahiki Nje.ama Wataalamu Wapo Ila Waliopo juu Wanawafukia Ili Kuendesha Ufisadi Bila Matatizo.kitu Ambacho Ni Kurudisha Nyuma Taifa.
(2)pesa Zinazotolewa Ni Nyingi Sana Katika Hiyo Miradi,maana Kama Yeye Aweza Kununua Mark2 Kwa Hiyo Safari Moja,sasa Sijui Huyo Bosi Wa Wizara Aliyekuwemo Kwenye Hiyo Safari Alipata Kiasi Gani.
Pia Nilipata Kusikia Kuwa Wachina Waliomba Wapewe Bonde La Mto Rufiji Ambapo Wangelima Mpunga Wakutosha Kulisha Afrika Mashariki Yote,mimi Nilihisi Kuwa Yawezekana Maana Sometimes Twala Mchele Kutoka Kwao Na Japan Licha Ya Kuwa Wao Ni Wengi Sana Kuliko Sisi.sasa Kama Hilo Ni Possible Kwa Nini Sisi Tusitumie Wataalam Wetu Kujiufaisha Na Hizo Mali Asili?
Lakini Sishangai Sana Maana Kuna Nyeti Niliipata Kutoka Ktk Wizara Ya Miundombinu Kuwa Kulikuwa Na Kutosana,kuna Wadau Waliongea Na Southkorea Kuhusu Tractors Na Wengine Waliongea Na Marekani Ktk The Same Deal,ikaja Kugundulika Kuwa Wote Wana Maslahi Yao Binafsi,kwa Hiyo Kila Mmoja Alikuwa Akivutia Kwake.

PIA KUNA MRADI WA UVUVI WA PRAWNS KULE MAFIA UNAOMILIKIWA NA WAHINDI,WANANCHI WANALALAMIKA SANA JUU YA KUTOFAIDIKA NA CHOCHOTE KWENYE HUO MRADI,LAKINI WADAU HUSIKA WAKO PAMOJA NA WALE WAHINDI,KINACHOTIA HASIRA ZAIDI NIKUWA BAAADHI YA MAMBO TUNGEWEZA KUFANYA WENYEWE,TUNA KILA KITU CHA KUWEZESHA,LAKINI HAWA VIONGOZI WANAJIFANYA WAO VILAZA MAKUSUDI,ILI KUTUPUMBAZA SISI TUSIJUE KUWA THRU HIYO MIRADI NDIMO WANAPATA KUSOMESHEA WATOTO wao NJE,KUJIRUNDIKIA UTAJIRI N.K

MKUU TECHNIQUE VIONGOZI WOTE WANAJUA UMUHIMU WA KILIMO KTK MAENDELEO YA NCHI,UKITAKA UJUE HILI NITAFUTIE WAZIRI AMA MBUNGE AMBAE HANA SHAMBA,HUYO LOWASA NI TAJIRI WA MIFUGO,UKIJA KWA SUMAYE NDIO USINIELEZE,MAANA YEYE ANA taaluma YA KILIMO,JUST B4 KUMALIZA UWAZIRI MKUU WAKE SUMAYE AMENUNUA HECTRES MIA KADHAA KULE MSIRIRI-MTWARA,ENEO KARIBU NA BONDE LA MTO RUVUMA,VERY FERTILE.KWA HIYO WOTE WANAJUA ILA WANAJIFANYA HAWAJUI ILI WAENDELEE KUTUFANYA VILAZA.
 
Siyo Ofisi Tu Zilizokaliwa Na Vilaza Hata Wizara Yenyewe Hakuna Anayejua Anafanya Nini Zaidi Ubinafsi Uliwowajaa Nashangaa Tanzania Leo Utasikia Mvua Imeleta Mafuriko Na Baada Ya Wiki Mbini Utasikia Ukame Unalitishia Taifa It Means Hawana Mbinu Mpya Kuna Baathi Ya Wizara Ambazo Wanatakiwa Wakabidhiwe Wamachinga Maana Wao Hawajui Longo Wao Ni Utendaji Tu
 
Siyo Ofisi Tu Zilizokaliwa Na Vilaza Hata Wizara Yenyewe Hakuna Anayejua Anafanya Nini Zaidi Ubinafsi Uliwowajaa Nashangaa Tanzania Leo Utasikia Mvua Imeleta Mafuriko Na Baada Ya Wiki Mbini Utasikia Ukame Unalitishia Taifa It Means Hawana Mbinu Mpya Kuna Baathi Ya Wizara Ambazo Wanatakiwa Wakabidhiwe Wamachinga Maana Wao Hawajui Longo Wao Ni Utendaji Tu

INAKUWAJE WASOMI ETU WANAKUWA WABINAFSI NA WASOMI WA INCHI NYINGINE WANAKUWA NA UAFADHARI. MIMI NINADHANI NI HISTORIA ILIYOJENGEKA AMBAYO INABIDI TUIBADIRISHE SISI WENYEWE. CHUO SISIONE UFAHARI KUANDAA WASOMI NA BAADAYE KUWA WABINAFSI. NINADHANI HELIMU HIYO HAIKUWAKOMBOA, NA HIVYO HAIKUTUMIKA VILIVYO.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom