Rais Magufuli azungumza na Wananchi wa Ubungo wakati aliporejea jijini Dar es salaam akitokea Mkoani Dodoma

Sasa Lowasa ameingiaje hapo, kila mtu mwenye average intelligence anaweza kuwa president wa Tanzania.

Naweza kusema kuwa upresident wa Mwinyi, Mkapa na Kikwete ulikuwa mgumu kidogo kwa sababu waliruhusu demokrasia, lakini kwenye utawala huu wa kichifu kuna ugumu gani.
 
Magufuli alishapata kura yangu sihitaji kusikia kampeni, namuomba Mungu anipe uhai na uzima octoba nampa zawadi yangu ya kura
 
Na sasa hivi ndio wanatakiwa wamzonge kabisa, lakini wanamwacha tu yeye pekee ndiye asikike. Na anaipenda sana hali hiyo, ndiyo maana kaanza mapema kutoa vitisho.
Kwa hiyo unasemaje Ndugu? Magu atapata more than 90 percent ya kura..
 
UKAWA ilitisha my frnd, siyo hii ya sasa. Weka mbali na watoto. CUF, CHADEMA, NCCR-M CHAUMA, NLD. Walitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…