Rais Magufuli azungumza na Wananchi wa Ubungo wakati aliporejea jijini Dar es salaam akitokea Mkoani Dodoma

Mimi usinichanganye kwenye hilo kundi la watanzania wanaomtegemea Magufuli.
Wewe ni mkimbizi.ulikuja kupewa hifadhi Tanzania wakati mlipokua mnachinjana Rwanda.kwahiyo maguful akuhusu.
Mungu mbariki mtumishi wako Rais wetu kipenzi Magufuli.
 
Eeenh, hiyo imetegeshewa maksudi, tena hapo hapo kwenye eneo hilo.

Yeye alianza kampeni 2015, na bado anaendelea huku wenzie haijulikani wataruhusiwa lini.

Hili nalo linahitaji mtu kuwa na akili nyingi kichwani kulitambua?
 
Wewe ni mkimbizi.ulikuja kupewa hifadhi Tanzania wakati mlipokua mnachinjana Rwanda.kwahiyo maguful akuhusu.
Mungu mbariki mtumishi wako Rais wetu kipenzi Magufuli.

Ni kweli kabisa, tena kimetokea jimbo la gitega.
 
Kumbe wewe ni mjinga kiasi hiki?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Wewe ni miongoni wa hao wenye za kuvukia barabara na kutafuta ugali wa Leo tu na ndo maana magu akaona akuweka lockdown mtakufa kwa njaa maana leo usipoenda kupiga debe au kuendesha basi kwenda moro ukapewa posho kesho huwezi kula
 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Ubungo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili wakati akitokea Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James kuhusu changamoto ya Usafiri wa Bajaji aliyokuwa akiomba kupewa ili imsaidie kuendesha familia yake.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Nyangoma James Mama mwenye Ulemavu wa miguu msaada wa Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya kununulia Bajaji ili imsaidie kuendesha Maisha yake. Pia Rais Dkt. Magufuli aliendesha Mchango kwa Wananchi wengine ambapo waliahidi kumchangia mama huyo kiasi cha Shilingi Milioni 3.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James mara baada ya kumchangia kiasi cha Shilingi Milioni 5. kushoto aliyekaa ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makore

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James mara baada ya kumchangia kiasi cha Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya ununuzi wa Bajaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza Wimbo wa hamasa pamoja na Wananchi wa Ubungo mara baada ya kuwahutubia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika eneo la Ubungo Darajani mara baada ya kuzungumza na Wananchi.

PICHA NA IKULU

Ombaomba wa kutegesha. Mimi Magufuli ananikera tu na aina ya siasa anazofanya! Huwa anapenda kufanya matukio simple ili kufunika mambo mazito anayotakiwa kujibu!
 
Madictator bana kwa kuhadaa umma kuwa wanakubalika hawajachacha.
Kinachoshangaza ni kuwa na watu wanaoamini hadaa za aina hii.

Mtu kaamua apitie hapo kama sehemu ya kampeni yake ambayo aliianza siku nyingi. Watu wakakusanywa hapo darajani aonekane hapo na picha zienezwe kwenye TV, ambazo anazimiliki yeye toka 2015.
Bado kuna watu wanaamini kapitia tu hapo kwa bahati bahati, na kwa kuonyesha anavyokonga roho za watu, kundi zima hapo linamsherehekea!

Sasa naanza kujua kwamba kuna tatizo kwenye upinzani, kwa sababu wakati huu anapokampeni yeye anatakiwa awe anajibiwa hapo kwa hapo kwa njia yoyote ile inayowezekana.
Hawa wanasubiri watangaziwe kuanza kwa kampeni, huku mwenzao akiwa siku zote kwenye kampeni?
 
Ombaomba wa kutegesha. Mimi Magufuli ananikera tu na aina ya siasa anazofanya! Huwa anapenda kufanya matukio simple ili kufunika mambo mazito anayotakiwa kujibu!
Na kwa bahati mbaya sana, hakuna mwenye uthubutu wa kuyaeleza hayo wananchi wayatambue yalivyo.
 
Tanzania itafanikiwa sana, kwenye uongozi wa Rais huyu. Ukimheshimu Mungu, kibali machoni pake na machoni pa watu unapewa.
Unamheshimu vipi Mungu kwa kuwatesa wanaokupinga. Hao anaowatesa wameumbwa na Mungu, alitakiwa awe na huruma, aache ukatili
 
Ni kweli kabisa, tena kimetokea jimbo la gitega.
Wakimbizi wote mnafahamika vizuri mliokuja na waliozaliwa.ni kwa sababu Tanzania ni mama mlezi wa East Africa ndo maana mnachkulia poa.
Ila mkilikologa tunawaanzishia mtaa kwa mtaa nyumba kwa nyumba mtu kwa mtu.
 
Wakimbizi wote mnafahamika vizuri mliokuja na waliozaliwa.ni kwa sababu Tanzania ni mama mlezi wa East Africa ndo maana mnachkulia poa.
Ila mkilikologa tunawaanzishia mtaa kwa mtaa nyumba kwa nyumba mtu kwa mtu.

Anzeni jioni hii, kesho mbali.
 
Watu siku hizi wanajua siri ya serikali? Walijuaje Rais anatoka makao makuu ya nchi kwenda Dar na kukusanyika kiasi hiki!
 
TUTUPE TAULO TU. MCHEZO UMEKWISHA.......... Wamachinga wote wako JPM. Wanaojihita wanyonge wote kwa JPM. Bodaboda kwa JPM. Walokole wa Gwajima na Mlima wa mto kwa JPM. Mashekh 3/4 kwa JPM. Asikudangane mtu kuhusu ukabila. Wasukuma 3/4 Wako kwa JPM. Askari 100% wako kwa JPM. Tutupe taulo ulingoni tu. Atuwezi
 
Back
Top Bottom