Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

Huo ujinga wenu wa kukosa adabu hauwaogezei..kijana yeyote mwenye adabu aliyeelimika hawezi andika upuuzi wa namna hii..kuheshimu watu achilia mbali umri na hadhi zao zngn haihitaji kufundishwa darasani, nchi hii ina tatizo kubwa la attitude za vijana..na revolution hii ya habari ndio imeongeza ujinga mwingi kichwani, badala ya kuitumia kwa tija imekuwa jukwaa la kukejeli na kutukana watu..na tusingempata Rais tuliye naye sasa nchi hii ingefukiwa, family zetu ziko so loose wazazi wako busy na maisha malezi kwa watoto na kuwafundisha ipasavyo ni ndoto kwao..iko shida kubwa ukisoma michango ya vijana, elimu yetu haifuti ujinga tena hata ile ya chuo kikuu ni zero..angalia maneno km aliyoandika huyu..sasa huyu anaweza kuaminiwa kwa jambo lipi ukadhani atafanya vema, kwa kumtathimini kupitia maneno anayotamka tena kwa kiongozi wake wa nchi..wengine atawaheshimu huyu..
Ukweli ni kwamba tuna raisi wa ajabu sana tz.

Uropokaji na vitisho sio uongozi.
anahitaji semina elekezi.
 
kumbe na yeye anafuata ya hovyo mbona hakwenda kwenye website ya world bank, au UN au AU kaja kwenye mitandao ya hovyo ukiona hivyo ujue .........stand up for your right
HHahaha miss Chaga, HV ukikutana nae jamaa face to face unaweza kuyaongea haya uliyoyaandika kwa ujasiri? Au utadondoka chini kwa kihoro hahahaahaha, najaribu kuvuta picha tu
 
Wanabodi,

Naangalia mubashara tukio la kuapishwa kwa mawaziri, kumbe jamaa jana usiku alishinda JF, sasa kikawaida kwenye sherehe za kuapishwa hakunaga hotuba.

Lakini kufuatia rais kufuatia Jamii Forums na kilichosemwa humu kumhusu Mwakyembe,
Hivyo akamuelekeza Msigwa kutoa fursa kwa Mwakyembe asalimie kwa niaba ya wote.

Baada ya salaam za Mwakyembe Mkuu akadokeza kuhusu mitandao ya Kijamii ilivyo ya hovyo, jana ilitangazwa Mwakyembe atagomea uteuzi, hivyo amempa fursa ili watu waone.

This is good, yaani licha ya hii mitandao ilivyo ya hovyo, na hadi kutamani kugeuka malaika na kuifunga lakini bado anaisoma na hadi kubadili protokali.

This is very big impact. Hivyo tuendelee kwa nguvu sana kupeleka ujumbe nyumba kuu kupitia JF, ujumbe utafika.

Paskali
Huaminiki wewe!!
Hukawii kuandiaka article ndeeeeefu kumfagilia dikteta uchwara.
 
HHahaha miss Chaga, HV ukikutana nae jamaa face to face unaweza kuyaongea haya uliyoyaandika kwa ujasiri? Au utadondoka chini kwa kihoro hahahaahaha, najaribu kuvuta picha tu
nitapiga vijembe najifanya namsema mugabe
 
Huo ujinga wenu wa kukosa adabu hauwaogezei..kijana yeyote mwenye adabu aliyeelimika hawezi andika upuuzi wa namna hii..kuheshimu watu achilia mbali umri na hadhi zao zngn haihitaji kufundishwa darasani, nchi hii ina tatizo kubwa la attitude za vijana..na revolution hii ya habari ndio imeongeza ujinga mwingi kichwani, badala ya kuitumia kwa tija imekuwa jukwaa la kukejeli na kutukana watu..na tusingempata Rais tuliye naye sasa nchi hii ingefukiwa, family zetu ziko so loose wazazi wako busy na maisha malezi kwa watoto na kuwafundisha ipasavyo ni ndoto kwao..iko shida kubwa ukisoma michango ya vijana, elimu yetu haifuti ujinga tena hata ile ya chuo kikuu ni zero..angalia maneno km aliyoandika huyu..sasa huyu anaweza kuaminiwa kwa jambo lipi ukadhani atafanya vema, kwa kumtathimini kupitia maneno anayotamka tena kwa kiongozi wake wa nchi..wengine atawaheshimu huyu..
Tuliza povu mkuu!!! Ukionyesha heshima utaheshimiwa ila ukionyesha dharau utazaraulika mara 1000 zaidi ya ulichoonyesha!!! Tulia dawa iingie!!! Huwezi waonyesha watu dharura, kiburi, majigambo halafu utegemee atakuonyesha heshima!! Labda huko Usukumani ndio hayo yanafanyika mkuu ila huku mjini wanasema unapimiwa kadri unavyowapimia wenzio!!
 
Akiongea leo wakati anaapisha wateule wapya Ikulu. Amesema mitandao yetu ni ya ovyoovyo na inaandika mambo ya ajabu ajabu.

"Jana nimesoma kwenye mitandao ya kijamii kuwa eti Mwakyembe hawezi kuja kuapishwa, na mimi nilikuwa nasubiri asifike nione. ''Sasa si huyu hapa amefika"

Ameongeza kuwa..... "Jana kuna mwingine kapost Kinana kuongea na waandishi wa habari kesho, wakati ukweli Kinana nimemtuma India Kwa siku kumi na mbili"

Amewaonya wamiliki wa vyombo vya habari kwa kuzipa nafasi habari mbaya mbaya tu, "mfano kuna tv habari za migogoro ya wafugaji ndio wanaipa nafasi kubwa zaidi, amesema hayupo tayari kuvumilia hayo mambo.

Ameshangaa magazeti ya leo kujaza mbele picha ya mtu mmoja, na hata kurasa za ndani kujaza habari hiyo hiyo.

Amemwambia Mwakyembe akasimamie kwa umakini hasa tasnia ya habari, amesema hayupo tayari kuona nchi ikichezewa..l

Ameshangaa kutangaza kutoandika habari za mtu, wakati huo huo wanaandika mbaya tu.... "Kama hamtaki kumwandika si masiandike yote mazuri na mabaya"

Anatuaminisha tuipotezee mitandao ya kijamii wakati yeye anaifuatilia post to post ,thread to thread...kaz kweli kweli
 
Akiongea leo wakati anaapisha wateule wapya Ikulu. Amesema mitandao yetu ni ya ovyoovyo na inaandika mambo ya ajabu ajabu.

"Jana nimesoma kwenye mitandao ya kijamii kuwa eti Mwakyembe hawezi kuja kuapishwa, na mimi nilikuwa nasubiri asifike nione. ''Sasa si huyu hapa amefika"

Ameongeza kuwa..... "Jana kuna mwingine kapost Kinana kuongea na waandishi wa habari kesho, wakati ukweli Kinana nimemtuma India Kwa siku kumi na mbili"

Amewaonya wamiliki wa vyombo vya habari kwa kuzipa nafasi habari mbaya mbaya tu, "mfano kuna tv habari za migogoro ya wafugaji ndio wanaipa nafasi kubwa zaidi, amesema hayupo tayari kuvumilia hayo mambo.

Ameshangaa magazeti ya leo kujaza mbele picha ya mtu mmoja, na hata kurasa za ndani kujaza habari hiyo hiyo.

Amemwambia Mwakyembe akasimamie kwa umakini hasa tasnia ya habari, amesema hayupo tayari kuona nchi ikichezewa..l

Ameshangaa kutangaza kutoandika habari za mtu, wakati huo huo wanaandika mbaya tu.... "Kama hamtaki kumwandika si masiandike yote mazuri na mabaya"

Kama hauipend CCM ni heri usiwe na chama bcz mnadanganywa.
Angalia sasa mheshimiwa anavyowaumbua & angalia nape anavyowaumbua.
 
44031ff2d59b0c41ec15e6cee3bd4527.jpg

Haya mambo haya
 
kumbe na yeye anafuata ya hovyo mbona hakwenda kwenye website ya world bank, au UN au AU kaja kwenye mitandao ya hovyo ukiona hivyo ujue .........stand up for your right
Mheshimiwa anaongea ukwel humu tunalishana maembe mabichi.
Nape kakanusha baadhi ya screen shots.
Kinana hayupo wapuuz wanadai eti kakatazwa kuongea.
 
na kweli mtandao ya hovyo x2 badala ya kujadili vitu vya msingi tunakaa kujadili kutumbuliwa kwa nape itakusaidia nn ww

Unapost mwakyembe hata tokea kuapishwa huo ndo uhovyo mtasababishwa tufungiwe humu

Mara kinana ataongea na waandishi wa habari kumbe yupo india kwa siku 12 huo c uhovyo? Tujirekebishe tunatafuta matatizo kwa miguu yetu wenyewe
WEwe unafanya nini hapa? Hata font color ya kutumia hujui utaelewa tunayozungumza hapa kweli?
 
Yeye mwenyewe alisema ukweli ukweli sasa mbona anatetea kinyume cha ukweli. Huyo anaelekea pasipo. Washauri wake wamwambie bila kumumunya maneno. Kwamba huku unaenda pasipo. Muhimu amwondoe Makonda hapo ataenda zaidi na amrudishe Nape. Hatuwezi kuimba tunamtaka Baraba kwa unafki hapa. Kakosea kakosea tena sana.
 
Back
Top Bottom