ngumba njeche
Senior Member
- Jan 22, 2017
- 184
- 146
Hivi kwanini ze comed awapo?maana watu wanazinguaa
that where we go wrong, we take words from unreliable sources and claim they are from Mr president. ndio maana sihamini mitandao na watu wake wajinga wa ak
Wewe mwenye akili nzuri unafanya nini kwa wajinga, acha kukurupuka.
Anajipa moyo tu. Au anaongelea wasukuma wenzakeHa ha ha nani kamwambia wa vijijini wanamkubali ila wamjini hawamtaki? Na kwanini iwe hivyo
Hahahaha. Baby nimechoka halafu nataka kukojoa!!Maana yake ni kwamba yeye Rais ndio ANAUMWA so amemtuma Kinana kwenda KUTIBIWA kwa niaba yake.
Kavurugwa hakyamungu Mungu huyu yaani zile push up Leo zimepoteaJana alisema yeye ndie Rais na hapangiwi, leo analia kwamba nje na huko vijijini wanamu appreciate wa mjini hatumkubali!
Asitupangie kwa maana hatudai, ila sisi tutampangia kwa maana tunamdai ahadi alizotuahidi kutimiza.
PossibleWalisahau kumpa dawa si kulikuwa na ugeni mapema asubuhi