Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

Wanabodi,

Naangalia mubashara tukio la kuapishwa kwa mawaziri, kumbe jamaa jana usiku alishinda JF, sasa kikawaida kwenye sherehe za kuapishwa hakunaga hotuba.

Lakini kufuatia rais kufuatia Jamii Forums na kilichosemwa humu kumhusu Mwakyembe,
Hivyo akamuelekeza Msigwa kutoa fursa kwa Mwakyembe asalimie kwa niaba ya wote.

Baada ya salaam za Mwakyembe Mkuu akadokeza kuhusu mitandao ya Kijamii ilivyo ya hovyo, jana ilitangazwa Mwakyembe atagomea uteuzi, hivyo amempa fursa ili watu waone.

This is good, yaani licha ya hii mitandao ilivyo ya hovyo, na hadi kutamani kugeuka malaika na kuifunga lakini bado anaisoma na hadi kubadili protokali.

This is very big impact. Hivyo tuendelee kwa nguvu sana kupeleka ujumbe nyumba kuu kupitia JF, ujumbe utafika.

Paskali

Kwa hiyo alimpigia Mwakyembe akamtisha???Maana sioni kwanini Mwakyembe akubali uteuzi ule kwa mwanasheria mahiri ukiangalia unayechukua nafasi yake alikuwa anatetea KATIBA na SHERIA alizoapa kuzilinda??ALitakiwa kuona je,haya hayatanikuta??Tatizo TUMBO ni shida,wasomi wetu ni bora kutokusoma ndiyo sababu JPM anashindwa kumchukulia hatua MAKONDA sababu wasomi hawana tofauti na Makonda
 
Hatari! Sisi tunaokutana mitandaoni ni dhahiri sasa 'our days are numbered', japo wazo la kufunga mitandao ya kijamii ni sawa na binadamu anayetembea na miguu miwili kuiamuru mvua inyeshe au isinyeshe!
 
Sisi tunaokutana mitandaoni ni dhahiri sasa 'our days are numbered' japo kufunga mitandao ya kijamii ni sawa na binadamu anayetembea na miguu miwili kuiamuru mvua inyeshe au isinyeshe!
It is IMPOSSIBLE unajua kuwa social media/blogs ngapi so far
 
tehe tehe tehe na kweli
wanawake hatupendi ujinga siku hizi, why kill ourself na mutu umemkuta ukiwa mukubwa? never in this generation.

Mama zetu waliweza ila sisi mmmhhhhh
 
Back
Top Bottom