joyce mngongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 890
- 972
Mzee umeelemewa.ulitaka kututoa kwa nape na bashite,kwa vikontena vyako,ulivyoviandaa ili komedi yako iandikwe na magazeti.ila wananchi wamekushtukia.kagame kakuingiza chaka,pole sana.unavyolalama unaonyesha kbs kuumia na jinc wananchi walivyoungana kudharau na kusuca komedi zako.dawa tu ni kuweka wazi elimu ya bashite na Mali zake.pia bashite afanye km bunge linavyomuagiza.kuwaheshimu wananchi wako,nao watakuheshimu.vinginevyo utatumia dola kuvuruga amani kwakua dola inafuata maagizo yako.ila weka moja kichwani,hupendeki,hutackilizwa,hueleweki,hutakiwi na waliowengi,ss unaongeza idadi ya wakuchukiao kwa kuwatafuna hata ccm wenzio.kila anaye kueleza ukweli,kukusaidia au kuiponya nchi ww unamfanya adui.nani anapenda uonevu ?wachache uliowapa madaraka,bado wanachukia uonevu,kwakua ndg,wazazi,jamaa zao bado wanaathiriwa na uonevu wako na bashite.ucdharau na kuziita habari za mitandao ni za hovyohoyo,au ulivyoziita ww,hizi ndizo zinazopimwa na dunia yote.kwann watu wa huyu mwenzetu waandike wanayoandika km wanatendewa ipasavyo?watapata jubu kua unawaonea,nao watakutoa maanani.hujachelewa badili mwenendo,na ucone wapinzani km maidiamini kwako,wanakusaidia sana wanapokukosoa.jipime chukua hatua !