Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

Huo ujinga wenu wa kukosa adabu hauwaogezei..kijana yeyote mwenye adabu aliyeelimika hawezi andika upuuzi wa namna hii..kuheshimu watu achilia mbali umri na hadhi zao zngn haihitaji kufundishwa darasani, nchi hii ina tatizo kubwa la attitude za vijana..na revolution hii ya habari ndio imeongeza ujinga mwingi kichwani, badala ya kuitumia kwa tija imekuwa jukwaa la kukejeli na kutukana watu..na tusingempata Rais tuliye naye sasa nchi hii ingefukiwa, family zetu ziko so loose wazazi wako busy na maisha malezi kwa watoto na kuwafundisha ipasavyo ni ndoto kwao..iko shida kubwa ukisoma michango ya vijana, elimu yetu haifuti ujinga tena hata ile ya chuo kikuu ni zero..angalia maneno km aliyoandika huyu..sasa huyu anaweza kuaminiwa kwa jambo lipi ukadhani atafanya vema, kwa kumtathimini kupitia maneno anayotamka tena kwa kiongozi wake wa nchi..wengine atawaheshimu huyu..
Wewe ulitaka aandike nini au unataka kazi ya editor kwake
 
Kama kweli unaamini katika elimu weka hapa cheti cha Daud bashite.
Ujue kuwa magufail ana Phd, ila anendeshwa na std 7 failure.
Asitupangie cha kujadili full stop
 
Kumbe na yeye anafuatilia mitandao ya hovyo hovyo inayoandika mambo ya ajabuajabu? Si alisema huwa hasomagi?

Rais wa ajabu kweli!
 
Nasubr tamko la kufungia mitandao ya kijamii na watanzania wana muunfollow kwa kasi bwana bashite
 
Ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku. Kuna watu wa hovyo kabisa.
 
Chongen sana wanawaona tu ngoja waje kuwachukuw na ID zenu feki mmefikiri mmejificha? Mko wazi mnaonekana kweupe
 
Kinana katumwa India kwa ajili ya matibabu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Mr president anatuma mpaka wagonjwa kwa ajili ya matibabu. Nasubiri jasusi wangu gwajima anipe ukweli kuhusu kuondoka kwa kinana na tareh aliyoondooka hapa nchini.
 
Akiongea leo wakati anaapisha wateule wapya Ikulu. Amesema mitandao yetu ni ya ovyoovyo na inaandika mambo ya ajabu ajabu.

"Jana nimesoma kwenye mitandao ya kijamii kuwa eti Mwakyembe hawezi kuja kuapishwa, na mimi nilikuwa nasubiri asifike nione. ''Sasa si huyu hapa amefika"

Ameongeza kuwa..... "Jana kuna mwingine kapost Kinana kuongea na waandishi wa habari kesho, wakati ukweli Kinana nimemtuma India Kwa siku kumi na mbili"

Amewaonya wamiliki wa vyombo vya habari kwa kuzipa nafasi habari mbaya mbaya tu, "mfano kuna tv habari za migogoro ya wafugaji ndio wanaipa nafasi kubwa zaidi, amesema hayupo tayari kuvumilia hayo mambo.

Ameshangaa magazeti ya leo kujaza mbele picha ya mtu mmoja, na hata kurasa za ndani kujaza habari hiyo hiyo.

Amemwambia Mwakyembe akasimamie kwa umakini hasa tasnia ya habari, amesema hayupo tayari kuona nchi ikichezewa..l

Ameshangaa kutangaza kutoandika habari za mtu, wakati huo huo wanaandika mbaya tu.... "Kama hamtaki kumwandika si masiandike yote mazuri na mabaya"

Transition period ..nimemwelewa sana...watz tumezoea kuishi kwa mazoea
 
Amepinda .tukazeni kamba atanyooka tu.Mitandao ya kijamii itamnyoosha kama amepinda.
 
Huyu jamaa ni mwanachama JF
Isije kuwa ni Malaria Sugu (joke)!!
In a serious note, hii mipasho yote ambayo tu nashinda tunaijadilike ni inaanzishwa na yeye mwenyewe au watu wake kama akina Makonda. Imagine kwenye hotuba kama ya leo hivi anategemea watu wakae kimya waendelee tu business as usual!!? Then tutakuwa ni Taifa la mambumbu.

Rais anawadiscourage watu kusoma mipasho ya mitaandaoni wakati yeye mwenyewe anaquote yaliyozungumziwa leo leo. Tena few hours before his speech. Ajue kwa kufanya hivyo anaipromote mitaandao pia.
 
Back
Top Bottom