Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

Akiongea leo wakati anaapisha wateule wapya Ikulu. Amesema mitandao yetu ni ya ovyoovyo na inaandika mambo ya ajabu ajabu.

"Jana nimesoma kwenye mitandao ya kijamii kuwa eti Mwakyembe hawezi kuja kuapishwa, na mimi nilikuwa nasubiri asifike nione. ''Sasa si huyu hapa amefika"
Kumbe huwa anasoma aiseeee
 
Ndio maana bando wamezipunguza ili tusitumie mitandao. Washindwe walegee
 
At least Jembe B.W.Mkapa alikuwa anasoma critically na akiona kuna upotoshaji, anaingia front na kuandika makala na zinakuwa published. Huyu wenu sijui hata kama anajua kilichoandikwa kwenye dissertations zake, especially ile ya PhD
 
ENDAPO KAMA UNAONA KITU FULANI HAKIFAI, JE KWANINI UNAKITUMIA / KUSOMA????

MFANO MIMI BINAFSI NI KWAMBA SIWEZI KUSOMA GAZETI UHURU, MZALENDO NA PIA KUANGALIA TBC, HIVYO HUWEZI KUNIKUTA NATUMIA KWA SABABU SIVIPENDI HIVI.

NA WENGINE PIA MJIFUNZE KWANGU
 
Huyu si alisema hafuatilii udaku wa mitandao? Anajikita tu eti kwenye maendeleo? Sasa kumbe sio kwamba wewe ni mfuatiliaji mkubwa bali pia uko busy kushindana na maneno ya udaku unayoyasoma... chaaaaa... Kaaazi unayo...
 
Mara kasema Hana cha kuzungumza,Mara kazungumza sijui niamini lipi.
 
Sasa kama ya hovyo hovyo unaifuatilia ya nini? ? Tushachoka mipasho ya taarabu sisi! !
 
Ukiangalia mfano jf hapa na kuona ID ya mwaka 2008 lazima unamheshimu sana kuwa ni miongoni mwa walioanza kufaidi mitandao siku nyingi wakati huo wengine walikuwa wanasikiliza habari za vichwa vya magazeti redioni na habari za saa 2 RTD, wengi wao wamekuwa brainwashed mpana utawahurumia!
Endelea kupotoshana tu wakati hata shirika kubwa kama BBC mwisho wa post yoyote wanakubembeleza uliyesoma kushare article yao. Na wanaenda mbali zaidi kukuomba kushare nao story au picha uliyonayo.
 
Akiongea leo wakati anaapisha wateule wapya Ikulu. Amesema mitandao yetu ni ya ovyoovyo na inaandika mambo ya ajabu ajabu.

"Jana nimesoma kwenye mitandao ya kijamii kuwa eti Mwakyembe hawezi kuja kuapishwa, na mimi nilikuwa nasubiri asifike nione. ''Sasa si huyu hapa amefika"
Mzee wa mipasho,....! Kiukweli Kaja tu kufunika kombe mwanaharamu apite
 
Mitandao ya hovyo hovyo lkn mpaka Rais anaisoma...
 
Back
Top Bottom