kiatu kipya
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 3,269
- 1,980
Huku unafanya nini sasathat where we go wrong, we take words from unreliable sources and claim they are from Mr president. ndio maana sihamini mitandao na watu wake wajinga wa akili
Huku unafanya nini sasathat where we go wrong, we take words from unreliable sources and claim they are from Mr president. ndio maana sihamini mitandao na watu wake wajinga wa akili
Inayoangamiza taifa ni chama tawala tuna miaka 50 ya Uhuru lkn bado hatuna uhakika wa umeme, maji na elimu magumashi. Watu wanashindwa kujiajiri SBB hakuna program nzuri kwa vijana mwambie arekebishe hayo uone km kuna mtu atamsumbua.Mhe. Rais yupo sahihi mitandao ya kijamii inaliangamiza taifa letu sijui tufanyeje tunatenegeneza taifa vivu kufikiri taifa lililojaa umbea na ushabiki wa kijinga
Kwanza jifunze kiingereza vizuri hilo ni la muhimu, pili uwe unasikiliza kwanza hizo sources ambazo kwako ni reliable ili ujue pia kama na wao hawakumuonyesha au kutangaza alichosema Raisi!! TBC na AZAM tv sio reliable, hivi tv hazikumuonyesha yeye na akiwa anatamka hayo maneno kuwa kamtuma kinana India kutibiwa? Siwezi shangaa kwa kauli zako kwani hata kiingereza ulishoonyesha Ubashitethat where we go wrong, we take words from unreliable sources and claim they are from Mr president. ndio maana sihamini mitandao na watu wake wajinga wa akili
Ha ha mkuu amini tu japo unaumia lakini ni kweli kayatamka leo hayo maneno wakati akiwaapisha viongozi aliowateua.that where we go wrong, we take words from unreliable sources and claim they are from Mr president. ndio maana sihamini mitandao na watu wake wajinga wa akili
Hata majaji na mahakimu hawapendo hiki kinachoendelea.Media an magazet yajiandae ... wazo la kumuweka mwakyembe pale halikumjia tu ghafla. kun plan nyuma yake ... ni lazima ilikuwa amuweke mtu ambaye ata dili na media kama anayvotaka...kuna watu wanatafutwa wajae kwenye target zake.. mark my word media na magazet plus mitandao ya kijamii zijiangalie aina ya habar zitakazopost au kutangaza maana naona kwa mbaaali lundo la kesi zitakazofunguliwa na serikali dhidi ya media na kufungiwa kwa magazet na vyombo vya habari (radio/tv)
mawazo yangu tu haya nimeyawaza kwa sauti....
Watu wanatafakari kile rais alichosema juu ya Kinana sasa we mpuuzi mmoja unakuja na Maneno kede kama unawawekea watu bundle kwenye simu zao shut upNawe hilo nalo jambo au! Chuki za kitoto hizo wala kuandika hivyo hakikupi chakula, kazi, fedha au chochote, zaidi ya wewe kuonesha fikra zako za kitoto. Lakini kwa kuwa umejificha kwenye ID fake unajiona shujaa, kumbe mwoga kuliko.
Katika Dunia ya leo ukipenda kutukuzwa kwa kila unalolifanya basi acha kazi yako ikutangaze na si kulazimisha watu million 50 wakusifu. Pia ilitakiwa ajue karibu nusu ya wapiga kura hawakumchagua hivyo inabidi a win mioyo yao kwa kazi nzuri si amri za kikoloni.Tunapoelekea mkuu anaweza akafikia uamuzi mbaya sana juu ya mitandao ya kijamii kwa sababu haimpi habari anazotaka zitoke
Akiongea leo wakati anaapisha wateule wapya Ikulu. Amesema mitandao yetu ni ya ovyoovyo na inaandika mambo ya ajabu ajabu.
"Jana nimesoma kwenye mitandao ya kijamii kuwa eti Mwakyembe hawezi kuja kuapishwa, na mimi nilikuwa nasubiri asifike nione. ''Sasa si huyu hapa amefika"
Ameongeza kuwa..... "Jana kuna mwingine kapost Kinana kuongea na waandishi wa habari kesho, wakati ukweli Kinana nimemtuma India Kwa siku kumi na mbili"
Amewaonya wamiliki wa vyombo vya habari kwa kuzipa nafasi habari mbaya mbaya tu, "mfano kuna tv habari za migogoro ya wafugaji ndio wanaipa nafasi kubwa zaidi, amesema hayupo tayari kuvumilia hayo mambo.
Ameshangaa magazeti ya leo kujaza mbele picha ya mtu mmoja, na hata kurasa za ndani kujaza habari hiyo hiyo.
Amemwambia Mwakyembe akasimamie kwa umakini hasa tasnia ya habari, amesema hayupo tayari kuona nchi ikichezewa..l
Ameshangaa kutangaza kutoandika habari za mtu, wakati huo huo wanaandika mbaya tu.... "Kama hamtaki kumwandika si masiandike yote mazuri na mabaya"
Ha ha ha nani kamwambia wa vijijini wanamkubali ila wamjini hawamtaki? Na kwanini iwe hivyoJana alisema yeye ndie Rais na hapangiwi, leo analia kwamba nje na huko vijijini wanamu appreciate wa mjini hatumkubali!
Ile stuli aliyemvunjia mama jeska ndo inamsumbua mpaka leo.