labda anaenda kutibiwa badala yake yeye hawez kwenda kutibiwa katuma mwakilishi
Ha ha ha!!! Yaani mnachekesha nyie.Maana yake ni kwamba yeye Rais ndio ANAUMWA so amemtuma Kinana kwenda KUTIBIWA kwa niaba yake.
Sio kuchafkwa ni kusema ukweliHhaahahaha watu wamechafukwaaaaaaaaaaaaaaa
Loh hatari!!!kupatwa kwa Tanzania......
Tatizo mnapenda kumuudhi rais wangu kwa kumzungumza vibaya kijana wake wa pekee wa kolomije ndyo sababu ya kuichukia mitandao ya kijamii
that where we go wrong, we take words from unreliable sources and claim they are from Mr president. ndio maana sihamini mitandao na watu wake wajinga wa akili
Ujinga huu watanzania utatucost hivi kama umeona sio habari why umecoment? Ukiambiwa mjinga unakasirika!! Ukiona kitu sio cha maana unaachana nacho na ndio hulka ya watu wastaarabu na walioelimikahii nayo umeona ni habari?
NaloliMomumo
Kasema hapangiwi na mtu. Sisi tunemuacha. Sasa naona kaamua kutupangia na ssAsitupangie kwa maana hatudai, ila sisi tutampangia kwa maana tunamdai ahadi alizotuahidi kutimiza.
Matibabu ya chama.Nimemsikia rais akisema kwamba amemtuma Kinana kwenda India kutibiwa.
Hivi jamani mtu atatumwaje kwenda kutibiwa? Siku hizi haeleweki kabisa huyu mzee.