Mkuu wasanifu waliobobea au waliopo sokoni muda mrefu wanazo blueprints tayari.Hongera JPM na Watanzania kwa hatuna hii!! Nimeshangazwa na miezi 4 usanifu na miezi 4 ujenzi Korea! Endapo ni mkandarasa sahihi wana copy na paste na options zetu huhitaji usanifu meli miezi 4!Kwa kampuni bobezi kwa meli ya kawaida sana.Kutengeneza miezi 4!!!!(huenda wanafungua na repair chakavu!!)Whatchout!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana chief kwa mchango wako wa kiuwelendi.
Ulishachunguza kwa makini sababu kuu ya waethiopia kutoka nje kutafuta maisha?
Again bear in mind that miundo mbinu mizuri ya ethiopia mingi ipo Addis Ababa Tu .
Hivi Kiswahili cha meli kujengwa ni sahihi kweli? au tunalazimika kuendana na makosa ya kimsamiati ya boss!!!!!Tenda ilishatangazwa tangu mwaka jana na ujenzi ulikuwa uwe umeanza mwanzoni mwa mwaka huu wa 2018 lakini inaonekana Rais alilipotezea lile Kampuni la Kikorea baada ya kuwepo madai ya kuongezeka kwa gharama za ujenzi hata kabla ya ujenzi kuanza.
Naona Wakorea walijifunza kuwa, huyu jamaa wakimletea ujuaji atawatolea nje, ndo maana walinywea. Unakumbuka hivi karibuni alikuja Kiongozi kutoka South Korea? So ndo hivyo.
Ipo siku tutakuja ongea lugha moja
MV Victoria ilibeba watu 1000 na MV bukoba 800 kipindi kile cha miaka ya tisini je 2018 watakosekanaje na isitoshe bk to mwanza ni rout iliyo busy San a hata mabasi .MV Victoria,Serengeti,butimba,kipepeo zilibeba watu 4000 kila siku bukoba to mwanza .Hivi katika zama hizi na maendeleo ya miundombinu tuliyonayo, hiyo meli itapata wapi hao abiria 1,200? Afadhali wangeongeza uwezo wake wa kubeba mizigo na kupunguza idadi ya abiria.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishawahi fika bukoba? Na je wazungu ni wajinga kiasi hicho kujenga bandari mbili bukobaNikajua hio meli itakua inaenda mpaka Uganda kumbe inaenda ukerewe na bukoba aisee kweli sisi hatuna maono
Bila chaka umepitia jeshi
Sijawahi kufika huko Bukoba na sidhani kama nitawahi fika maana pamoja na kutofika kwangu sidhani kama nimepungukiwa na kituUlishawahi fika bukoba? Na je wazungu ni wajinga kiasi hicho kujenga bandari mbili bukoba