FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 449
- 408
Nilipita sehemu mbalimbali nikiwa ktk mizunguko ndani ya Kahama mjini,moja ya sehemu walioweka TBC taifa ni Chilla Pub jirani na bank ya N.B.C,wadada kwa wakaka wamekusikiliza na kuisifu hotuba yako pia mpaka mchina alikuwapo kukufuatilia,
Nimeamua kuliandika hili uzalendo umenishinda kwa upendo ulioonyeshwa pale,sijajua pengine
Pia mh.rais yupo mjasiliamali hapa Kahama angekufaa kuwa diwani mtarajiwa japo anahitaji kupikwa kidogo anaitwa Bi.Mariam,mmliki wa Nyumbani Pub,si rahisi chama kumuona maana kina watu wengi Ila kingemmulika kujiridhisha,japo Mimi sina chama wala kadi ya chama chochote ila mkereketwa tu
Instagram:kaukwaju