Rais Magufuli awashangaza wakazi wa Tinde

Jamaa aliwaambia wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya asiwaone barabarani... anataka kumuona Rpc peke yake kwenye msafara....maafsa wa polisi walikuwepo bt ilikuwa ni kwa utashi wa rpc... Afuu jamaa alipofika nzega akagundua njia nzima wapo askar mpaka mwanza akabadilisha barabara na kupitia njia ya kahama ushirombo mpaka geita..hayo maamuzi yalifanyika baada ya kutoka nzega.. yaani hakuta mambo meeengiiii kama bwana yuleeee....
Mkuu una Identities ngapi!?
 
Jpm kwa kubana matumizi yuko vzr sana.

Jpm kwa kudhibiti rushwa na ufisadi yuko vzri sana.

Jpm kwa kujenga nidhamu ktk utumishi wa umma yuko vzr sana.

Jpm kwa kuwajali wanyonge yuko vzr sana.

KASORO KUBWA ya Jpm ni kuminya demokrasia na uhuru wa kutoa maoni.
Lazima ajifunze kubana matumizi coz serikali yake imefirisika

Olea capensis
 
wawepo wanini wakati mzee alikuwa anenda zake likizo, alikuwepo RPC wa Tabora na Shinyanga tena wakiwa na matrafik wa kusimamisha magari na kuongoza msafara tu. Kweli Mzee anaishi maisha simple sana.
Katika u simplicity huo airport ya nini?
 
Hili jamaa ni li propesa lipumbavu, yaani Rais asindikizwe na magari matatu? Tena ya POLISI? Uongo wa hivi ukamsimulie mamako! Magu alikuwa na gari lake, mama la kwake, Jaffary Harniu na timu yake la kwao, DC Nzega, DC SHY, DC Kahama, RC SHY! Sasa tuambie wote hao walipanda gari moja?
 
Hivi lazima uchangie?wakati mwengine unabowa
Hutaki ukweli, nasi tukiona propaganda za kitoto hatuwezi kukubali zipite bila kukosolewa. Kama unaona kukosolewa kuna kuumiza you can put me in ignore list ili usinione maana sitasifia hata siku moja ujinga.
 
Wewe ni mwongo tena mkubwa, kiusalama tu gari ni zaidi ya 4 bado Rpc mkoa aliopitia, bado sweeper, hapa hatujamuongelea RC na dc!!!
Tatizo huwa mnadhani wote humu ni mazuzu!!!!
Tena anadhani sisi mazuzu pori kama yeye.
 
Nilikuwa nasafiri kutoka Musoma kwenda Dar kwa bus la Osaka, tulivyofika Tinde tulisimamishwa kupisha msafara wa mkubwa uliokuwa ukielekea chato. Basi kuna jamaa akaanza kubwata mara ooh msafara wake una magari mia, mara ooh kwanini asipande helkopta, mara madereva wake wanaendesha kama wehu. Mwoshowe abiria tukachoshwa na kelele za yule bwana tukaamua kushuka kwenye gari na kwenda njiapanda kushuhudia msafara wa mkuu.

Muda si mrefu JPM aliwasili magari yake yalikuwa katika mwendo wa taratibu huku sheria za barabarani zikizingatiwa, msafara wake ulikuwa na magari sita tu tena matatu yakiwa ya polisi watu walishangaa sana. Na kila mtu aliyekuwa pale alimsifu, mamalishe mmoja akawa anasema wamezoea kuona magari ya serikali yakiendeshwa kwa mwendo wa kasi sana lakini msafara huu ndio wakwanza kupita eneo la Tinde ukiwa katika mwendo wa kawaida.

Tulivyorudi kwenye bus abiria walianza kumshambulia yule bwana huku wakimkejeli kwa kumuuliza kahesabu magari mangapi kwenye msafara? yule bwana akaanza kujifaragua ati JPM kaamua kupanda gari la polisi kuokoa pesa watu wakamzomea na kuangua vicheko.
JPM yuko makini.
 
Wewe ni muongo mnafiki na mzandiki mkubwa huo msafara mimi nilikuwepo kulikuwa na magari ya kutosha na kulikuwa na magari zaid ya 11 huku zikiwepo gari tatu nyeusi zilizo kuwa zikipita kama zinashindana katikati ya barabara kwa speed kali sana na kabla ya hapo ilipita cruiser ya patrol zaid ya mara tano ikiwa na askari nyuma aisee kweli watanzania wana sifa kuu ya unafiki, au unadhani uliye lishuhudia tukio lile ulikuwa peke yako kati ya mabasi yote ya pale na yale malori yaliyo paki nyuma pale? Hata kama kujipendekeza mkuu umevuka mipaka zaid.
Mkuu ukisoma tu ile post uongo uko wazi, na sijui anamfurahisha nani!
 
Nilikuwa nasafiri kutoka Musoma kwenda Dar kwa bus la Osaka, tulivyofika Tinde tulisimamishwa kupisha msafara wa mkubwa uliokuwa ukielekea chato. Basi kuna jamaa akaanza kubwata mara ooh msafara wake una magari mia, mara ooh kwanini asipande helkopta, mara madereva wake wanaendesha kama wehu. Mwoshowe abiria tukachoshwa na kelele za yule bwana tukaamua kushuka kwenye gari na kwenda njiapanda kushuhudia msafara wa mkuu.

Muda si mrefu JPM aliwasili magari yake yalikuwa katika mwendo wa taratibu huku sheria za barabarani zikizingatiwa, msafara wake ulikuwa na magari sita tu tena matatu yakiwa ya polisi watu walishangaa sana. Na kila mtu aliyekuwa pale alimsifu, mamalishe mmoja akawa anasema wamezoea kuona magari ya serikali yakiendeshwa kwa mwendo wa kasi sana lakini msafara huu ndio wakwanza kupita eneo la Tinde ukiwa katika mwendo wa kawaida.

Tulivyorudi kwenye bus abiria walianza kumshambulia yule bwana huku wakimkejeli kwa kumuuliza kahesabu magari mangapi kwenye msafara? yule bwana akaanza kujifaragua ati JPM kaamua kupanda gari la polisi kuokoa pesa watu wakamzomea na kuangua vicheko.
Kifupi wewe ni muongo! Kwa heri
 
Jpm kwa kubana matumizi yuko vzr sana.

Jpm kwa kudhibiti rushwa na ufisadi yuko vzri sana.

Jpm kwa kujenga nidhamu ktk utumishi wa umma yuko vzr sana.

Jpm kwa kuwajali wanyonge yuko vzr sana.

KASORO KUBWA ya Jpm ni kuminya demokrasia na uhuru wa kutoa maoni.
Mimi hapo tutu ! Naanza kumfikilia kwa hicho la 3
 
Nilikuwa nasafiri kutoka Musoma kwenda Dar kwa bus la Osaka, tulivyofika Tinde tulisimamishwa kupisha msafara wa mkubwa uliokuwa ukielekea chato. Basi kuna jamaa akaanza kubwata mara ooh msafara wake una magari mia, mara ooh kwanini asipande helkopta, mara madereva wake wanaendesha kama wehu. Mwoshowe abiria tukachoshwa na kelele za yule bwana tukaamua kushuka kwenye gari na kwenda njiapanda kushuhudia msafara wa mkuu.

Muda si mrefu JPM aliwasili magari yake yalikuwa katika mwendo wa taratibu huku sheria za barabarani zikizingatiwa, msafara wake ulikuwa na magari sita tu tena matatu yakiwa ya polisi watu walishangaa sana. Na kila mtu aliyekuwa pale alimsifu, mamalishe mmoja akawa anasema wamezoea kuona magari ya serikali yakiendeshwa kwa mwendo wa kasi sana lakini msafara huu ndio wakwanza kupita eneo la Tinde ukiwa katika mwendo wa kawaida.

Tulivyorudi kwenye bus abiria walianza kumshambulia yule bwana huku wakimkejeli kwa kumuuliza kahesabu magari mangapi kwenye msafara? yule bwana akaanza kujifaragua ati JPM kaamua kupanda gari la polisi kuokoa pesa watu wakamzomea na kuangua vicheko.
Acha uongo wewe.
 
Anatembeaje mwendo wa kawaida asee? Hajui snipers wanaweza kumdungua hizo gali no V8 na itakiwa ivutwe kuepusha hatari yoyote, Wana usalama imekaaje hio?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom