Rais Magufuli awashangaza wakazi wa Tinde

Magari 6 ina maana mkuu wa mkoa wa Tabora na mkuu wa wilaya ya Nzega na watumishi wengine hawakuwepo? Mkuu wa mkoa wa shinyanga na mkuu wa wilaya pia hakuwepo? Maafisa police nao hawakuwepo? ccm bana
Umenena mkuu. Watuambie sasa. Misifa tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom